Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,645
Duu kwani Komando kwenye picha anatakiwa aonekanaje? Ndio ujue ni Komando?Sioni komando hapo. Watachinjwa kama kuku halafu utarudi tena hapa kupiga mayowe.
Duu kwani Komando kwenye picha anatakiwa aonekanaje? Ndio ujue ni Komando?Sioni komando hapo. Watachinjwa kama kuku halafu utarudi tena hapa kupiga mayowe.
Huyu kakurupuka jamani..sio bure anahitaji msaada tu anapenda mambo makubwa ila upeo wake ni mdogo mnooYani wewe ni bonge la zwazwa unatia aibu kuita Iran ni waarabu
Nilimuambia akajifunze kwanza halafu aje kuropokaHuyu kakurupuka jamani..sio bure anahitaji msaada tu anapenda mambo makubwa ila upeo wake ni mdogo mnoo
mkuu chanzo cha hii habari ni hiyo website ya Debka ambayo ni ya waisrael,Nilijua mujahidinas na ayatullahs mngekuja speed hapa mkitokwa na povu. Israeli makomandoo wao wanahistoria pevu ya kufanya vitu adimu duniani. Kukomboa mateka wao kwenye ardhi ya adui, mfano mmoja wapo Ni entebbe raid !
Kuonyesha kwamba hata hujui unachoongea pia unadhani kwamba Iran ni Waarabu...
Iran siyo Waarabu mkuu kajihabarishe zaidi.
Unawaita urojo watu ambao wanazidi pata influence mashariki ya kati kiasi kwamba wanawapa presha USA, Saudi Arabia na Israel?
Sasa anayepiga kelele juu ya mwenzake nani?US hana presha na iran, ni sawa na kusema UK ina presha na zimbabwe kisa vioja vya mgabe
Tayar inan baba yao.kama umeona wazir wamambo yanje wa marekan amewaomba waarabu uidhibiti iran kutokana na ushawishi wake mashariki yakati.jamaa wapo vizur kwasasa asikwambie mtu.
Wamewasaidia wahauthi wa yemen mpaka leo saudia imeshindwa kuwatoa.kumbuka pia kuna hilikundi ameanzisha iraq linaitwa ashdu shahabi limewapiga is balaa mpaka marekan anahaha kwasasa anataka lifutwe rudi sirya kuna hiz bullah usipime.hiyo ndo iran b
jamaa una hoja ila mwandiko wako ndio usiosomeka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa anayepiga kelele juu ya mwenzake nani?
Huyu kasema yeye anataka tengeneza vinu vya nuclear huyu kaanza kelele mara vikwazo mara makubariano mara kashika mali zake sasa kama hana shida naye kinacho mfanya anahangaika nini?
Unajua wahuthi lengo lao lilikuwa nini Yemen? Wamefanikiwa?Tayar inan baba yao.kama umeona wazir wamambo yanje wa marekan amewaomba waarabu uidhibiti iran kutokana na ushawishi wake mashariki yakati.jamaa wapo vizur kwasasa asikwambie mtu.
Wamewasaidia wahauthi wa yemen mpaka leo saudia imeshindwa kuwatoa.kumbuka pia kuna hilikundi ameanzisha iraq linaitwa ashdu shahabi limewapiga is balaa mpaka marekan anahaha kwasasa anataka lifutwe rudi sirya kuna hiz bullah usipime.hiyo ndo iran banaa
usilinganishe Iran na zimbabwe.US hana presha na iran, ni sawa na kusema UK ina presha na zimbabwe kisa vioja vya mgabe
anaepiga kelele ni Netanyau,Sasa anayepiga kelele juu ya mwenzake nani?
Huyu kasema yeye anataka tengeneza vinu vya nuclear huyu kaanza kelele mara vikwazo mara makubariano mara kashika mali zake sasa kama hana shida naye kinacho mfanya anahangaika nini?
Yani anamfukuza mwizi kimya kimya kelele atapiga mwizi mwenyewe.anaepiga kelele ni Netanyau,
utamwona sikuhizi hatulii,mara huyo kwa Putin kumuomba azuie iran isineze influence syria,putin anamsikiliza halafu anakauka,
kidogo anaibukia washington,anamjaza uzushi Trump,
trump nae alivyo zoba anapokea tu majungu,
kidogo tena unamsikia yuko moscow,wana putin tena,na hachoki,
iran wao wako kimya wanafanya yao,
juzi wamekamata mji wa wakurdi kule iraq,kirkuk,
ndo mji unaongoza iraq kwa kutoa mafuta,wakurdi waliukama toka kwa ISIS,
sasa wakawa na uhusiano mzursana na israel,
israel anafundisha wakurdi na kuwapa silaha pia,
kisha wakurd wanamuuzia mafuta israel,
wakurdi wakataka kuufanya huo mji ni wao,mbaya zaidi wakajitangazia uhuru,kujitenga na iraq,
mpaka sasa wanajilaumu maana majeshi ya iraq na militias wa naosuppotiwa na iran,wako kilomita chache toka mji mkuu wa iraq kurdistan,
marafiki wa wakurdi israel na marekani hawajui wafanye nini mpaka sasa
Some Persians are Jews,immigrated there from slavely in acient Bagdad.Do they compare with Israel's special forces, Sayeret Matcal or US SEALS or British SAS?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]anaepiga kelele ni Netanyau,
utamwona sikuhizi hatulii,mara huyo kwa Putin kumuomba azuie iran isineze influence syria,putin anamsikiliza halafu anakauka,
kidogo anaibukia washington,anamjaza uzushi Trump,
trump nae alivyo zoba anapokea tu majungu,
kidogo tena unamsikia yuko moscow,wana putin tena,na hachoki,
iran wao wako kimya wanafanya yao,
juzi wamekamata mji wa wakurdi kule iraq,kirkuk,
ndo mji unaongoza iraq kwa kutoa mafuta,wakurdi waliukama toka kwa ISIS,
sasa wakawa na uhusiano mzursana na israel,
israel anafundisha wakurdi na kuwapa silaha pia,
kisha wakurd wanamuuzia mafuta israel,
wakurdi wakataka kuufanya huo mji ni wao,mbaya zaidi wakajitangazia uhuru,kujitenga na iraq,
mpaka sasa wanajilaumu maana majeshi ya iraq na militias wa naosuppotiwa na iran,wako kilomita chache toka mji mkuu wa iraq kurdistan,
marafiki wa wakurdi israel na marekani hawajui wafanye nini mpaka sasa
Umejuaje waliuwawa?
Huenda walikamilisha kilichowapeleka wakarudi kwao.