Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
itakuwa hivyo lkn si unajua isreal kawauwa sana hapo syriaHuenda walikamilisha kilichowapeleka wakarudi kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa hivyo lkn si unajua isreal kawauwa sana hapo syriaHuenda walikamilisha kilichowapeleka wakarudi kwao.
Hao hamna kitu mkuu...hata wazee wetu wakuvunja matofali kwa kichwa wanawamudu vizuri sana tuu
Ni kweli wamehujumiwa sana! Ila kwani wanakaa ndani ya kambi moja na wapiganaji wa Hizboullah wakiwa huko Syria?
hivi unajua kuwa israel huwa anatarget silaha za iran zilipo(lzm zilindwe na makomando)Ni kweli wamehujumiwa sana! Ila kwani wanakaa ndani ya kambi moja na wapiganaji wa Hizboullah wakiwa huko Syria?
Inaonesha itachukua muda sana kwa Iran kumiliki jeshi la anga la kisasa kuchuana na Israel maana inahitaji wataalamu na gharama kubwa sana na ndio maana anaposhambuliwa huko Syria anashindwa kujibu.hivi unajua kuwa israel huwa anatarget silaha za iran zilipo(lzm zilindwe na makomando)
so zilipo ndipo makomando walipo na ndipo panapopigwa na israel
Sent using Jamii Forums mobile app