elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
It's a day alreadyMbona unavunja makubaliano?
Si tulisema 'lets call it a day'?
It's a day alreadyMbona unavunja makubaliano?
Si tulisema 'lets call it a day'?
Lets give it a name!It's a day already
Hao waarabu hawana kitu zaidi ya kupenda misifa !That was then this is now...
Hata Japan aliwah kutawala China yuko wapi sasa?
Hata Germany nusura aitawale dunia.
Hata Roma iliwahi kutawala ulimwengu.
Hata jeshi la Tz lilimpiga Idd Amina akakimbia nchi yake.
Weka mahaba ya kuangalia na kujenga hoja kwa kuzingatia sijui hawa ni wajahidin sijui hawa ni wakina nani...
Huwezi kuwa under-estimate uwezo wao kwasasa hawa Waajemi.
Aliye kwambia Iran waarabu nani...?Waarabu walivyolegea hivyo kuna commando hata mmoja ? Kitu gani makomandoo wa Iran walishawahi Fanya duniani zaidi ya kujihusisha tu na ugaidi ?
acha upuuzi unahisi akili zako ziko juu ya watu wa irani wanaohangaika na nyukilia wewe unamlilia magufuli njaa?Washamba tu!
Iran ina jeshi lenye wanajeshi kama laki tano lakini walivyo washamba mkuu wa majeshi ana cheo cha meja jenerali ?!!
Halafu kamanda wa landforces ni brigedia! Wakati katika well civilized countries brigedia ni field officer !
Hujuw kabisa Iran kumbe wewe eeehh pole sana...Hivi kinachopigana ni jina la cheo au ni ubora wa jeshi?
How do you define civilization?
Are you living in the past?Kwanza kumbukeni vita vya Iran na Iraq... Kama kuna baadhi yenu hata mlikuwa mmezaliwa??? [emoji115] [emoji87] nadhani msinge subutu kutamka hizo cheapest blah blah zenu [emoji113].... And now Iran has won in Syria
Kwa wewe unavyojua kuwa Iran ni waarabu??Halijapatikana jina zuri la kuanzishia vita! Iran ni urojo tu.
Watu weupe wote ni wanyama lakini waarabu licha ya unyama lakini pia ni wakatili sana. Ni hasara kwa dunia.
Yani wewe ni bonge la zwazwa unatia aibu kuita Iran ni waarabuHao waarabu hawana kitu zaidi ya kupenda misifa !
Ni waajemi!Kwa wewe unavyojua kuwa Iran ni waarabu??
Waajemi na waarabu wanalingana??Huoni kama imebadili kitu??Ni waajemi!
Inabadili nini.
Sawa na wakenya na watanzania wote ni waafrika tu hao.Waajemi na waarabu wanalingana??Huoni kama imebadili kitu??
Kama uelewa wako ni mdogo kiasi hicho basi haki yako kubishaSawa na wakenya na watanzania wote ni waafrika tu hao.
Syria Assad hawezi kuondoka...wamechanganyana sana. Wameua sana. Hakuna namna kuna team mpya itaingia paleVita ya Syria itatuambia nani bingwa Middle East.
Ok!Kama uelewa wako ni mdogo kiasi hicho basi haki yako kubisha
Kwani Green Berets ndio Navy Seals? Au hujasoma mada?Do they compare with Israel's special forces, Sayeret Matcal or US SEALS or British SAS?