Irani yakamata Meli ya mafuta ya UK

Irani yakamata Meli ya mafuta ya UK

Yule mwehu anatakiwa apigwe haswa na hivo viboti vyake
 
Kama huyo Uingereza ana nguvu hizo mbona mwaka 1956 kwenye mgogoro wa Suez alinywea mbele ya Marekani pale alipolazimishwa na Marekani yeye pamoja na Israel na Ufaransa waache kuishambulia Misri? Huyo hana jipya enzi zake zilishapita usimkuze.
Walikuwa wametoka kupigana vita ya pili ya dunia hawakua na resources, kulikuwa na vuguvugu kwenye empire nchi nyingi zilikuwa zinadai uhuru na alishuka hata kimabavu baada ya vita.

Sasa hivi keshajijenga upya.
 
Ni kweli kajijenga! ila bado hana nguvu alizokuwa nazo hapo awali kumbuka bado brexit inambana,kiuchumi kazidiwa hadi na ujerumani pia kijeshi bado tegemezi kwa Marekani kumbuka NATO ni kama himaya ya Marekani maana ndio mchangiaji mkuu kifedha na vifaa usisahau na joto la kisiasa hapo UK (Maana muungano wa UK pia una migogoro ya ndani) sidhani kama yuko tayari kwa sarakasi za Mashariki ya kati ambayo mdau mkubwa ni Marekani sio yeye.
 
Muingereza ni sungura mjanja anajua kujipanga kutokana na nafasi yake, anaelewa nguvu zake kama world super power zilipotea kwa sasa yeye kajikita kwenye influence na allies but Britian is not militarly slouch by any means.

Europe nor UK hakuna mwenye appetite ya kuivamia Iran; kosa la Iran ni kuwatishia nyau waingereza sasa kama unawajua tabia zao wanapotishiwa throughout history they won’t take that kindly.

Mgogoro wa Scotland hizo ni siasa zingine, so is the BREXIT na hiyo backstop conundrum ambazo story zake nindefu.

Lakini hawa wanatabia moja wanapolumbana wao kwa wao akitokea adui wa nje wanapose wanamalizana na huyo alien kwa pamoja halafu wanarudi tena kuendelea na migogoro yao.
 
Complicated kidogo yes Iran aitakiwi kufuata ata Grace1 si meli ya Iran bali ni ya Panama wote hao sanctions za EU aziwahusu.

Kesi yao ni kwamba hiyo meli ilikuwa inapita ndani ya mipaka ya EU kwa nia ya kupeleka mafuta nchi ambayo ina sanctions za EU kwa hiyo wanauhalali wa kuizuia.

Ukitaka kujua ukoloni umeisha au la ngoja kwanza Iran akatae kuitoa hiyo meli kwa njia za diplomasia halafu uone watavyomfanya.
Kama kuvamiwa ingeshavamiwa muda sana ila wamechelewa sana kwan Iran imejiandaa kisawasawa kivita
 
Kwa ivyo we unaamini Iran anaweza pambana na US.

Ngoja USS Gerald Ford atie nanga hapo ndio utajua military capabilities za US

Ha ha hao jamaa wametungua ki drone cha iran mpaka raisi Trump ametangaza, drone tena wanasema waliionya kuwa wataitungua, waajemi siyo waarabu mzee, Iran anadinda na US atainama tuu, sooner or later
 
Inasemekana, hiyo meli iliyochukuliwa na Iran ilikuwa inalindwa na Jeshi la wanamaji la Uingereza...Jeshi hilo lilijaribu kuwazuia Wairan wasichukue meli hiyo bila mafanikio. Hapo ghuba ya uajemi kuna manoari na meli vita kadhaa za UK.

===
The IRGC spokesman alleged that the Royal Navy ship intervened to try to stop Iran's naval commandos, including by flying helicopters in the vicinity.

Sharif emphasized that the IRGC's actions during Friday's incident were in strict accordance with international maritime laws governing behaviour in the Persian Gulf and the Strait fo Hormuz. According to the spokesman, 'some foreign vessels' failed to comply with these regulations, engaging in behaviour which he described as 'arrogant, provocative and threatening.'

Suala si kushinda bali suala ni madhara ya vita hivyo ktk nchi zote zitakazotia mguu.
Walio nyuma ya Iran ni Russia, China na North Korea.
Walio nyuma ya Uingereza ni, Marekani, Japan, Canada, France, Germany, Israel na Spain, sasa piga hesabu nani atashinda vita?
 
Wairan tunawaomba usilete Vita kwanza maana sisi Liverpool atujachukua ubingwa msubili jamani tutashindwa kubeti ooooh alisikika mlevi mmoja
 
Inasemekana, hiyo meli iliyochukuliwa na Iran ilikuwa inalindwa na Jeshi la wanamaji la Uingereza...Jeshi hilo lilijaribu kuwazuia Wairan wasichukue meli hiyo bila mafanikio. Hapo ghuba ya uajemi kuna manoari na meli vita kadhaa za UK.

===
The IRGC spokesman alleged that the Royal Navy ship intervened to try to stop Iran's naval commandos, including by flying helicopters in the vicinity.

Sharif emphasized that the IRGC's actions during Friday's incident were in strict accordance with international maritime laws governing behaviour in the Persian Gulf and the Strait fo Hormuz. According to the spokesman, 'some foreign vessels' failed to comply with these regulations, engaging in behaviour which he described as 'arrogant, provocative and threatening.'

😂😂😂😂 Inaelekea Iran walisema liwalo na liwe alishushwa commander wa kwanza akapigiwa salute ndio wakaanza kushuka kama mvua !!
 
Iran hana ubavu wakusimama na military power za US alone, let with combined forces za UK.
Mkuu ukipata nafasi pitia maelezo haya hapa chini kutoka Global Research.org
===
Sudakov’s analysis published by Pravda provides important details regarding the June 19-20 incident, focussing on Iran’s air defense capabilities as well as the vulnerability of the US in the case of an air attack.

It just so happens that the 15-ton giant drone worth $220 million with a wingspan of 40 meters failed to escape from an Iranian missile. Iran has ceased to reckon with the United States. Amir-Ali Hajizade, the head of the Revolutionary Guard’s aerospace division, said that there was a P-8 Poseidon military aircraft flying next to the US UAV. The P-8 Poseidon was carrying 35 people on board. The military aircraft, the official said, invaded Iranian air space too, but Iran chose not to shoot the airplane down. Instead, Iran shot down the drone.
While the drone was brought down with an upgraded version of an outdated Soviet era technology, Iran is in possession (since 2015) of the S-300 Air defense system, which is considered to be more advanced than the US Patriot system:

In 2016, Iran bought four divisions of S-300 Favorit anti-aircraft missile systems from Russia. Each division includes 12 launchers. The Favorit (“Favorite”) range reaches 200 km; the system can easily eliminate all aircraft, including medium-range missiles.

It is worthy of note that Russia readies to launch a new generation of air defense systems known as S-500 Prometei (Prometheus), while the United States has not been able to design anything that could be superior to Russia’s S-300 missile complex. The THAAD system has a different purpose – to strike trans-atmospheric ballistic missiles. The Patriot system clearly lags behind the S-300. (Dmitriy Sudakov, Pravda Report, July 15, 2019)

According to Sudakov, “Iran can launch a total of about 400 S-300 missiles to distances up to 200 kilometres and 1,500 missiles – up to 40 kilometers.” What this suggests is that Iran has the ability to trigger extensive damage to US military installations in The Persian Gulf (including US military bases located in Kuwait, Bahrain and Saudi Arabia).

===
 
Mkuu ukipata nafasi pitia maelezo haya hapa chini kutoka Global Research.org
===
Sudakov’s analysis published by Pravda provides important details regarding the June 19-20 incident, focussing on Iran’s air defense capabilities as well as the vulnerability of the US in the case of an air attack.

While the drone was brought down with an upgraded version of an outdated Soviet era technology, Iran is in possession (since 2015) of the S-300 Air defense system, which is considered to be more advanced than the US Patriot system:

In 2016, Iran bought four divisions of S-300 Favorit anti-aircraft missile systems from Russia. Each division includes 12 launchers. The Favorit (“Favorite”) range reaches 200 km; the system can easily eliminate all aircraft, including medium-range missiles.

It is worthy of note that Russia readies to launch a new generation of air defense systems known as S-500 Prometei (Prometheus), while the United States has not been able to design anything that could be superior to Russia’s S-300 missile complex. The THAAD system has a different purpose – to strike trans-atmospheric ballistic missiles. The Patriot system clearly lags behind the S-300. (Dmitriy Sudakov, Pravda Report, July 15, 2019)

According to Sudakov, “Iran can launch a total of about 400 S-300 missiles to distances up to 200 kilometres and 1,500 missiles – up to 40 kilometers.” What this suggests is that Iran has the ability to trigger extensive damage to US military installations in The Persian Gulf (including US military bases located in Kuwait, Bahrain and Saudi Arabia).

===
Shukran kiongozi
 
Walio nyuma ya Iran ni Russia, China na North Korea.
Walio nyuma ya Uingereza ni, Marekani, Japan, Canada, France, Germany, Israel na Spain, sasa piga hesabu nani atashinda vita?
Mkuu nawe upo kiushabiki sasa hujiulizi miaka na miaka NATO 28 +USA countries wamemshindwa murusi huyo japani na canada hata wakiongezeka watasaidia nini??
 
Common sense kwa Iran nikuiacha hiyo meli jana waziri wa ulinzi wa UK kasema wasipoitoa hiyo meli lazima kutakuwa na consequences.

Iran hana ubavu wakusimama na military power za US alone, let with combined forces za UK.

Put it this way watu kama China kukabiliana na US walirusha satelite angani halafu wakaitungua kwa malengo ya kuongeza space junk hili US wapunguze satellite launch kwa uoga m wa collision maana military strategies za sasa zimeamia angani.

Leo US inafanya research ya namna ya kusafisha space junk, and that is not only complicated business but very expensive mission too.

Sasa kweli mission ya kumtwanga Iran itawasumbua, hizo meli zao za vita zina laser beams zinazoweza pasua vile viboti vinavyozagaa strait of Hormuz wakiwa at long distance achilia mbali ammunition’s zingine zilizo na nguvu zaidi.

Kinachowazuia kumvaa Iran ni supply of energy security hata ya muda mfupi mafuta ndio kila kitu kwenye uchumi wa dunia na Iran ana uwezo wa kusumbua kwa miezi kadhaa upatikanaji wake kutokana na proxy wars, lakini kutwanga tu yeye mwenyewe wala sio shughuli kwao.
Mkuu ni vema kusoma nyakati na huo mgogoro wa mashariki ya kati kwa undani,USA akimgusa tu irani jua ndio vita ya 3 ya dunia hiyo na USA atakuwa sio superpower tena wa dunia,najua historia unaijua vizuri maana urusi yupo venezuela china ndio huyo wana mgogoro wa kibiashara anasubiri mu take advantage.
Man to man USA ana uwezo mkubwa tena sana wakumpiga irani,tatizo ni kwamba akiamua kumpiga nae ndio unaweza kuwa mwisho wake.
 
Back
Top Bottom