Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Hapa sasa kanunua ugomvi mwingereza fitna anaijua subiri.
Kwamba unadhani nchini mwao uliwataja hawana mambo ya msingi,ujinga ujinga sku hizi hakuna,chokoza watu utapambana nao kivyaakoIran kamchokoza malkia. Ategemee kupigwa na G7. USA, Canada, England, France, Italy, Germany na Japan
Germany, France, na Italy, hawajatia neno kiasi cha kuwalazimu US kuwabwatukia...eti kwa nini hawaisemi Iran!!! Nadhani nchi tajwa tatu zimeisha usoma mchezo...kuwa ni wakipuuzi!Iran kamchokoza malkia. Ategemee kupigwa na G7. USA, Canada, England, France, Italy, Germany na Japan
Acha kupayuka mkuu, unawajua walio nyuma ya Iran!!? Marekani ilipoamua kurudi nyuma dk chache kabla ya kuidhambulia Iran, baada ya drone yake kutunguliwa, hao G7 hawakuwepo!!? Unapoangalia Jambo usitumie macho mawili TU ongeza na latatu na ndo ufahamu zaidi kuliko hayo mawili...Iran kamchokoza malkia. Ategemee kupigwa na G7. USA, Canada, England, France, Italy, Germany na Japan
Walio nyuma ya Iran ni Russia, China na North Korea.Acha kupayuka mkuu, unawajua walio nyuma ya Iran!!? Marekani ilipoamua kurudi nyuma dk chache kabla ya kuidhambulia Iran, baada ya drone yake kutunguliwa, hao G7 hawakuwepo!!? Unapoangalia Jambo usitumie macho mawili TU ongeza na latatu na ndo ufahamu zaidi kuliko hayo mawili...
nadhani inabidi ifike sehemu waeshimiane.Iran wananifurahisha sana. Wapo Konkii. Yaani ni nipe nikupe. Hapigi mtu magoti.
Mfalme Suleimani aliwahi kusema hivi "hata mjinga akinyamaza huhesabiwa kuwa na hekima". Mkuu siyo lazima uchangie kila kitu: Kama hujui kitu ni muhimu kunyamaza na kujifunza kutoka kwa wanaojua.Wakipasuana wewe unapata hasara gani kwa mfano,acha uoga wa kimama
Japan ampige Muirani kwasababu gani ?Iran kamchokoza malkia. Ategemee kupigwa na G7. USA, Canada, England, France, Italy, Germany na Japan
It sounds WOOOOW. Baada ya US na pro Trump kumwaga mboga IRAN sasa wameanua kuondoka na ugali kabisa. Kama mbwai iwe mbwai.Ningependa atuambia je ni kawaida kwa meli kubwa kupiga u-turn kali ya 45°
Kwa speed kubwa ama imegeuzwa na sumaku!!View attachment 1157739
Usitegemeye kuwa atatokea hapa hayupo sawa tangu Iran waseme walipiga pigo moja tu ile Drone ghali na ya technology ya ghali zaidi Duniani!!1
Trump amekua akiibeza sana Iran, lakini hajiulizi kwa nini Obama alikubali kuzungushwa 5yrs hadi kufikia deal la nuclear? Iran miaka yote wanajua muda wowote wanaweza kuvamiwa na maadui wake hivo wamekua wakijiimarisha kijeshi siku ha siku.Pempo aomba mazungumzo View attachment 1157804
Mkuu kukosekana kwako ktk hili jukwaa, wengi tumekosa darasa kutoka kwako mkuu.Mfalme Suleimani aliwahi kusema hivi "hata mjinga akinyamaza huhesabiwa kuwa na hekima". Mkuu siyo lazima uchangie kila kitu: Kama hujui kitu ni muhimu kunyamaza na kujifunza kutoka kwa wanaojua.
Was no otherwise, and always Iran leaders warned UK if not releases its vessel then that seizure will not remain unanswered. This stupid mentality of UK and US believing that they can do anything to anyone anywhere should stop. Hopefully Iran would be a good lesson.After UK pirated Iranian tanker without any legal ground ,Iran decided to use diplomatic channels, first they kept ship for 14 days but after today decision to held ship for one month,Iran decided to respond
IRGC imesema imekamata meli ya mafuta ya UK Stena Impero
Habari zinasema Stena Impero iliacha maji ya kimataifa na kwenda kwenye visiwa vilivyopo Iran
Meli ilikuwa inaelekea Saudi Arabia.
Hatua hii inafuatia baada ya UK kuikamata Meli ya Iran Grace 1 na Iran iliahidi kulipiza kisasi.
My take mashariki ya Kati inakalibia kulipuka .Hekima,burasa na Maombi vitumike kuepusha balaa.
Link
![]()
Iran confiscates British tanker in Strait of Hormuz – IRGC
The Islamic Revolutionary Guard Corps has seized the British oil tanker Stena Impero in the Strait of Hormuz, Iranian media reported. UK authorities said the tanker had ‘veered off course’ before capture.www.rt.com
UPDATES
Uingeleza imethibitisha Iran imekata meli yake nyingine.
Ivyo Irani imekamata meli mbili za mafuta za Uingeleza.
Usiangalie idadi angalia uwezo.Walio nyuma ya Iran ni Russia, China na North Korea.
Walio nyuma ya Uingereza ni, Marekani, Japan, Canada, France, Germany, Israel na Spain, sasa piga hesabu nani atashinda vita?
Nipo mkuu, majukumu ndiyo yamenitinga.Mkuu kukosekana kwako ktk hili jukwaa, wengi tumekosa darasa kutoka kwako mkuu.
Au upo Tukuyu huko una lima Miwa...?
Ongezea koloni lake la Tz