Common sense kwa Iran nikuiacha hiyo meli jana waziri wa ulinzi wa UK kasema wasipoitoa hiyo meli lazima kutakuwa na consequences.
Iran hana ubavu wakusimama na military power za US alone, let with combined forces za UK.
Put it this way watu kama China kukabiliana na US walirusha satelite angani halafu wakaitungua kwa malengo ya kuongeza space junk hili US wapunguze satellite launch kwa uoga m wa collision maana military strategies za sasa zimeamia angani.
Leo US inafanya research ya namna ya kusafisha space junk, and that is not only complicated business but very expensive mission too.
Sasa kweli mission ya kumtwanga Iran itawasumbua, hizo meli zao za vita zina laser beams zinazoweza pasua vile viboti vinavyozagaa strait of Hormuz wakiwa at long distance achilia mbali ammunition’s zingine zilizo na nguvu zaidi.
Kinachowazuia kumvaa Iran ni supply of energy security hata ya muda mfupi mafuta ndio kila kitu kwenye uchumi wa dunia na Iran ana uwezo wa kusumbua kwa miezi kadhaa upatikanaji wake kutokana na proxy wars, lakini kutwanga tu yeye mwenyewe wala sio shughuli kwao.