Irani yakamata Meli ya mafuta ya UK

Irani yakamata Meli ya mafuta ya UK

Mbona hamtandiki?
Haitakuwa vita vya dunia Iran hana support ya Mrusi na certainly USA akiamua kumtandika Iran, itakuwa mwisho wa utawala huu wa Iran. History ni kama neno lenyewe, history.
 
Mm ningelikua Raisi wa Marekani ningewaheshimu Iran na nisingelipeleka majeshi mashariki ya kati, ningeheshimu haki za binaadamu, ningeepusha majeshi yng kuuwawa
Kwa hiyo wewe ungekuwa Rais wa USA ungeamua kuitandika Iran?
 
Tofautisha kati ya Iran na Syria, Iran haihitaji misaada, iko imara, tofauti ya Iran na N.korea ni ndogo sana, Ndio maana Iran anafanya anavyotaka Mashariki ya kati na hatetereki, yaani yuko taari kwa lolote, mda wowote
Walisema hivyo hivyo Syria.
 
Haya 2kubaliane hapa ina maana kama haja achia wataka nambia iran atapigwa
IRAN ana waaibishaga sana mabeberu ila hawakomi tu View attachment 1158966
USsailors.jpeg
 
Mm ningelikua Raisi wa Marekani ningewaheshimu Iran na nisingelipeleka majeshi mashariki ya kati, ningeheshimu haki za binaadamu, ningeepusha majeshi yng kuuwawa
Swali langu hukulielewa. Kama wewe ungekuwa Rais wa USA na drone yako imetunguliwa, ungeishambulia Iran ?
 
Labour shadow justice minister Richard Burgon said the UK should avoid becoming Donald Trump's "sidekicks" and warned a US-backed conflict with Iran could be worse than the Iraq War.

Huyo ni Muingereza mwenyewe anatambua hilo, ila wamerekani wa Tanzania wao kila kitu wanawaza picha za commando kutoka kwa American actors na ndio tunazozijua basi
Source BBC News
 
Tofautisha kati ya Iran na Syria, Iran haihitaji misaada, iko imara, tofauti ya Iran na N.korea ni ndogo sana, Ndio maana Iran anafanya anavyotaka Mashariki ya kati na hatetereki, yaani yuko taari kwa lolote, mda wowote
Hapa hukuelewa swali pia. Urusi ilitoa mkwara huko Syria kuwa yeyote atakayetuma missile Syria, watatungua missiles hizo na kule zilikotokea. USA wakafanya yao Urusi kimya.
 
Je missiles alizozituma Us zilifikia malengo?
Hapa hukuelewa swali pia. Urusi ilitoa mkwara huko Syria kuwa yeyote atakayetuma missile Syria, watatungua missiles hizo na kule zilikotokea. USA wakafanya yao Urusi kimya.
 
Nisingeishambulia, ningetulia kama maji ya mtungi
Ni hekima kuwa anayejijua kuwa ana uwezo mkubwa wa kupiga, ana exercise restraint anapochokozwa. Ni kama mwenye black belt ya judo, akichokozwa kidogo na layman, huvumilia tu kwani anajua akijibu mashambulizi, hutajulikana umepotelea wapi.
 
Back
Top Bottom