error term
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 388
- 624
Malkia anakula hela za bure tu za walipe kodi. Lakini ingekuwa ufalme mwengine wangeupiga vitaMalkia anakujichana makuku na mawine prime minister anaumiza kichwa
Bado unayaamini maneno haya!?Iran kamchokoza malkia. Ategemee kupigwa na G7. USA, Canada, England, France, Italy, Germany na Japan