Irani yakamata Meli ya mafuta ya UK

Irani yakamata Meli ya mafuta ya UK

Wakidundana Iran na USA + Allies basi watu waanze kununua baskeli na wenye nazo wazitoe mavumbi.
 
Ni kitu kimoja watu kukuzushia halafu watake kuanzisha ugomvi kama US ilivyojaribu watu watakuonea huruma na pili awawezi ku support vita itakayo waathiri wao kiuchumi.

Hila ni jambo lingine kukamata mali ya uingereza au US kimabavu; wao washatengeneza kesi Grace 1 ilikuwa inapeleka mafuta kwenye refinery lenye pipe linalofika mpaka Syria na hiyo nchi ina EU sanctions isiuziwe mafuta.

Kukamata meli yao ni kuwajaribu mno waingereza ambao ni very bad losers waliposhindwa tu ku host World Cup walianzisha mzozo huo mpaka uongozi wa FIFA ukabadilishwa.

Na kwa upande wa Iran tayari marekani anawashwa kumtwanga , adui zake Middle East wapo tayari kumtwanga; asipoitoa hiyo meli na UK akiweka nia ya kumtwanga lazima achezee kichapo hawa watu awapendi direct intimidation kwa mtu ambae wanamuona ni inferior kwao.

Regardless of the consequences isitoshe nchi tajiri zina policy ya three month oil reserves in two months Iran wanamtwanga walau kuwa na uwezo wa kui control strait of hormuz na kuendelea kupata supply with minimal impact to their economies, wakati wanaendelea na mashambulizi mengine ya ndani.
 
Kukamata meli yao ni kuwajaribu mno waingereza ni very bad losers waliposhindwa tu ku host World Cup walianzisha mzozo huo mpaka uongozi wa FIFA ukabadilisha.

Na kwa upande wa Iran tayari marekani anawashwa kumtwanga , adui zake Middle East wapo tayari kumtwanga; asipoitoa hiyo meli na UK akiweka nia ya kumtwanga lazima achezee kichapo hawa watu awapendi direct intimidation kwa mtu ambae wanamuona ni inferior kwao.

Regardless of the consequences isitoshe nchi tajiri zina policy ya three month oil reserves in two months Iran wanamtwanga walau kuwa na uwezo kui control strait of hormuz na kuendelea kupata supply with minimal impact to their economies, wakati wanaendelea na mashambulizi mengine ya ndani.
Kwahiyo Vikwazo vya EU dhidi ya Syria, IRAN inawajibika kuvifata? Kwani IRAN ni member states wa European Union? Kwahiyo wazungu wakiweka vikwazo vinakua ni vikwazo vya UN? IRAN inajaribu kuwaonesha hawa mabeberu kua zama za Ukoloni zimeisha? Unaweka vikwazo dhidi ya Assad au wananchi wanaohitaji mafuta kwa ajiri ya ujenzi wa Nchi yao? Big up Iran
 
Walio nyuma ya Iran ni Russia, China na North Korea.
Walio nyuma ya Uingereza ni, Marekani, Japan, Canada, France, Germany, Israel na Spain, sasa piga hesabu nani atashinda vita?
Mkuu umewasahau wakandaaa Pakistan,Afghanistan,Iraq na Lebanon (Hizbollah bwana wa Israel ).
Huyo mchina na zile Deofeng ballistic missiles mtoe atawaumiza,Russia sidhan km anaweza kuwa nao maana jamaa ndumi la kuwili.
Walete hao G7 .
Wakutane na Pakistan,Afghanistan,Iraq,Lebanon na Iran.
Uone km hyo G7 haijawa G4 au 3
 
Kwahiyo Vikwazo vya EU dhidi ya Syria, IRAN inawajibika kuvifata? Kwani IRAN ni member states wa European Union? Kwahiyo wazungu wakiweka vikwazo vinakua ni vikwazo vya UN? IRAN inajaribu kuwaonesha hawa mabeberu kua zama za Ukoloni zimeisha? Unaweka vikwazo dhidi ya Assad au wananchi wanaohitaji mafuta kwa ajiri ya ujenzi wa Nchi yao? Big up Iran
Complicated kidogo yes Iran aitakiwi kufuata ata Grace1 si meli ya Iran bali ni ya Panama wote hao sanctions za EU aziwahusu.

Kesi yao ni kwamba hiyo meli ilikuwa inapita ndani ya mipaka ya EU kwa nia ya kupeleka mafuta nchi ambayo ina sanctions za EU kwa hiyo wanauhalali wa kuizuia.

Ukitaka kujua ukoloni umeisha au la ngoja kwanza Iran akatae kuitoa hiyo meli kwa njia za diplomasia halafu uone watavyomfanya.
 
Pompeo, akiwa ziarani Latin America amesikika akisema anazitaka nchi za Russia, China, Cuba na Iran zitoke Venezuela ili US iijenge nchi hiyo. Kwa maneno ya mbali Iran ipo pia a few kilometres from US border. Sina hakika kama wairan wapo Venezuela kutalii ama la.
===
Nikirudi kwenye hoja yako, ninakubali kabisa kuwa tukio la sasa la mgogoro kati ya US/UK dhidi ya Iran ni litmus paper kujua kama kuna maji ama asidi kwenye guduria la ngebe za US/UK. Jana nasikia kikao cha Cobra(UK) kilikaa mara mbili.
 
Common sense kwa Iran nikuiacha hiyo meli jana waziri wa ulinzi wa UK kasema wasipoitoa hiyo meli lazima kutakuwa na consequences.

Iran hana ubavu wakusimama na military power za US alone, let with combined forces za UK.

Put it this way watu kama China kukabiliana na US walirusha satelite angani halafu wakaitungua kwa malengo ya kuongeza space junk hili US wapunguze satellite launch kwa uoga m wa collision maana military strategies za sasa zimeamia angani.

Leo US inafanya research ya namna ya kusafisha space junk, and that is not only complicated business but very expensive mission too.

Sasa kweli mission ya kumtwanga Iran itawasumbua, hizo meli zao za vita zina laser beams zinazoweza pasua vile viboti vinavyozagaa strait of Hormuz wakiwa at long distance achilia mbali ammunition’s zingine zilizo na nguvu zaidi.

Kinachowazuia kumvaa Iran ni supply of energy security hata ya muda mfupi mafuta ndio kila kitu kwenye uchumi wa dunia na Iran ana uwezo wa kusumbua kwa miezi kadhaa upatikanaji wake kutokana na proxy wars, lakini kutwanga tu yeye mwenyewe wala sio shughuli kwao.
 
Unapoongea hii KAULI yako kumbuka miaka ya 1980s US alimsaidia Iraq kijeshi na kivifaa tena advanced apigane na Iran.
Nadhan unakumbuka nn kiliwakuta US na Iraq.
Walishindwa ilhal wao wapo wawili Iran alone.
Je sasa hv Iran atakuwaje??
Halafu mkuu kumbuka unaowataja hao US na UK wana wagomvi palepale Persian gulf ambao ni allies wa Iran.
Nahisi unawajua.
Muhajemi sio mwarabu mkuu.
 
Story nyingi za nini?Soln Uk itatoa meli iliyoikamata ya Iran na Iran watafanya hivyo hivyo full stop.

Kama Hamtaki rusheni hata risasi 1 kwenda Iran.
Ni kitu kimoja watu kukuzushia halafu watake kuanzisha ugomvi kama US ilivyojaribu watu watakuonea huruma na pili awawezi ku support vita itakayo waathiri wao kiuchumi.

Hila ni jambo lingine kukamata mali ya uingereza au US kimabavu; wao washatengeneza kesi Grace 1 ilikuwa inapeleka mafuta kwenye refinery lenye pipe linalofika mpaka Syria na hiyo nchi ina EU sanctions isiuziwe mafuta.

Kukamata meli yao ni kuwajaribu mno waingereza ambao ni very bad losers waliposhindwa tu ku host World Cup walianzisha mzozo huo mpaka uongozi wa FIFA ukabadilishwa.

Na kwa upande wa Iran tayari marekani anawashwa kumtwanga , adui zake Middle East wapo tayari kumtwanga; asipoitoa hiyo meli na UK akiweka nia ya kumtwanga lazima achezee kichapo hawa watu awapendi direct intimidation kwa mtu ambae wanamuona ni inferior kwao.

Regardless of the consequences isitoshe nchi tajiri zina policy ya three month oil reserves in two months Iran wanamtwanga walau kuwa na uwezo wa kui control strait of hormuz na kuendelea kupata supply with minimal impact to their economies, wakati wanaendelea na mashambulizi mengine ya ndani.
 
Unapoongea hii KAULI yako kumbuka miaka ya 1980s US alimsaidia Iraq kijeshi na kivifaa tena advanced apigane na Iran.
Nadhan unakumbuka nn kiliwakuta US na Iraq.
Walishindwa ilhal wao wapo wawili Iran alone.
Je sasa hv Iran atakuwaje??
Halafu mkuu kumbuka unaowataja hao US na UK wana wagomvi palepale Persian gulf ambao ni allies wa Iran.
Nahisi unawajua.
Muhajemi sio mwarabu mkuu.
Kwa ivyo we unaamini Iran anaweza pambana na US.

Ngoja USS Gerald Ford atie nanga hapo ndio utajua military capabilities za US
 
Story nyingi za nini?Soln Uk itatoa meli iliyoikamata ya Iran na Iran watafanya hivyo hivyo full stop.

Kama Hamtaki rusheni hata risasi 1 kwenda Iran.
Mie sina upande hila safari hii Iran anawapa sababu
 
Mabeberu yamekamatika.
Kwanza yalianza kuaibika kwa NK ka nchi kadogo wanaokasingizia ndio masikini kuliko lakini marekani baada ya kuona kitu cha hydrogen bomb na intercontinental missiles akaamua kuomba wayamalize kwa maneno.

Sasa kakutana na baba lao Iran kafyata tena.
Hawa jamaa imebaki na sisi TZ tuwavamie tuwatawale... mimi ntahamia pale chicago tukishakuwa watawala..

#piga mabeberu yaho
 
Ningependa atuambia je ni kawaida kwa meli kubwa kupiga u-turn kali ya 45°
Kwa speed kubwa ama imegeuzwa na sumaku!!View attachment 1157739
Usitegemeye kuwa atatokea hapa hayupo sawa tangu Iran waseme walipiga pigo moja tu ile Drone ghali na ya technology ya ghali zaidi Duniani!!1
Yaaani pro trump wanateseka sana 2 asee ina maana kuna uwezekano hata huu mjimeli ulipigwa u turn kiteknolojia mzee baba ama ?!

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom