Irani imekomaa hadi kuiangusha Republican!

Irani imekomaa hadi kuiangusha Republican!

Trump na Vance wamesema Iran ndio imesababisha waanguke vita sasa tukusikilize wewe au wenye marekani yao?

Tukubali ile vita ilikua haina tija, maana hakuna malengo waliyotimiza na sasa democrats wameingia hawatopitisha muswada wa kuingia vitani
Vita hiyo imekuwa na tija sana Maana viongozi waaandamizi wa IRGC zaidi ya 600 walifyekelewa mbali akiwemo Gaidi Ali Khamenei !!!!!!
 
Siasa sio mchezo wa kitoto.TRUMP amepambana sana kujikwamua kwenye mtego wa Netanyahu japo imeshindikana.
Usichojua Marekani na Israel ni mitual bemeficial countries. Hiyo ndio sera ya Marekani kwenye ulinzi
 
Siasa sio mchezo wa kitoto.TRUMP amepambana sana kujikwamua kwenye mtego wa Netanyahu japo imeshindikana.
Ukishabikia Iran na udikteta ma mauaji wanayofanya ni kutokuelewa. Tuwe makini kushabikia vitu ambavyo hatuvijui . Unajua wanachofanyiwa wana Iran? Unajua Iran kupata nuklia mabomu itaimanisha nini kwa Dunia?
 
Waislamu mnashida sana. You are too much fresh!! Ndio maana mnawatukana wakristo wao wanawaangalia tu, mnataka kila kitu mtawale ninyi, wao wanawaangalia tu. Mnataka kuua watu na kulazima kwa nguvu kuwa uislamu ndio dini, wao wanawaangalia tu. mnaanzisha vita wao wanawaangalia tu. Ukiristo ni zaidi ya dini.
Kwann mnaleta mijadala ya kidini humu?
 
Ni ujinga na Upumbavu kufikiria kuwa Iran wameiangusha Republican!!!
Tatizo kubwa hapa nilishalisema kuwa Ulaya na Marekani Wame akiwa na Wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati na Mila na Desturi zao kutekwa nyara kwa nguvu na Waislamu!!
wewe kweli akili imejaa mavi
rudia kusoma ulichoaandika na mada iliopo mezani
 
Back
Top Bottom