IRAN Yashambuliwa kwa Drones

But Israel inashutumiwa sana koz mosad ndo wahusika wakuu
 
BREAKING: The drone attack last night against a military facility developing 'advanced weapons' in the Iranian city of Isfahan "was a tremendous success", Western intelligence sources and foreign sources say - Jerusalem Post

jpost.com/middle-east/ir…
 
But Israel inashutumiwa sana koz mosad ndo wahusika wakuu
Of course, Israel inashutumiwa. Ila tulichokuwa tunajadili ni kuhusu maana sahihi ya neno "ugaidi".

Kila mmoja humu anaweza kuwa na maana yake tofauti. Hata nchi mbalimbali duniani zina tafsiri na sheria zake tofauti-tofauti kuhusu suala la ugaidi. Kwa maana hiyo, sio sahihi sana kujikita katika tafsiri na sheria hizo.

Kwa maoni yangu, ni sahihi zaidi kutumia maana na vigezo vinavyokubalika katika ngazi ya kimataifa (jumuiya ya kimataifa) ambayo pia ina sheria, mikataba pamoja na miafaka mbalimbali inayohusu suala la ugaidi duniani.
 
Yeaah apo tafsiri ya ugaid ni changamoto but mara nyingi inhushwa na uislamu yaan ikitokea mauwaji yoyote kama aliyeua si muislamu inakua so shida but akiwa muslim that is terrorist........ dunia ina mambo😁
 
Kama unadhania shambulio la kwenye ile ndege lilikua la bahati mbaya kazi ipo

Sio vizuri ila kwenye usalama wa taifa lolote ikibidi watu 200 mufe ili million 90s wabakie salama basi mtakufa tuuu

Ndio kilo tokea kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kimsboy iran ina teketea uko
Hakuna mwingine bali Israel akisaidiwa na shoga zake wa magharibi. Hapo ndiyo mimi huwa nawadharau Waarabu, maana wao wanamchukia Muirani kwa sababu dhehebu lake la dini ya Kiislamu ni tofauti na Waarabu. Divide and rule inafanya kazi kweli. Ila sasa naona BRICS inakuwa tishio kwa Magharibi. BRICS ikiimarika vikwazo vyote vya madharibi vitakufa kifo cha mende.
 
Katafute mtandaoni ipo.
[emoji1130][emoji95][emoji91]The Mejlis of Iran will send a commission to Isfahan to investigate the UAV attack on a military plant

Majlis (Parliament) Iran will send a special commission to Isfahan to investigate an attack on one of the objects of the Ministry of Defense using drones. This was announced on Sunday by the deputy chairman of the Majlis Committee on National Security and Foreign Policy, Abbas Muktadai, referred to by the Iranian State Broadcasting Corporation (IRIB).

"The incident in Isfahan was thoroughly analyzed at today's meeting with a number of officials, and the National Security Committee will send a commission to Isfahan to prepare a report on the basis of which further decisions will be made," Muktadai said.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran kapigwa tena usiku huu
Kapigwa Syria na Iran IRGC HQ
 
Shambulio la jana kwenye drone factory halikuzaa matunda
 
The explosion, just now, that wiped out the headquarters of Iran's
• Islamic Revolution Guard Corps is a MASSIVE event which may be a sign that the theocratic Regime's central authority is going to be targeted next.
 
sraeli [emoji1134] state channel reports that a convoy of 25 Iranian [emoji1130] trucks has just been hit in the Abu Kamal area on the border of Iraq [emoji1131] and Syria [emoji1238].
 
Hiki ndicho kilichotokea Iran, mengine ni propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…