TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 24,747
- 24,794
Update:08/01/2022
====
Kutokana na Mauaji ya Kamanda Soleiman, miaka miwili iliyopita. Iran yawawekea vigogo 51 wa masuala ya usalama wa US.
UPDATE: 25/08/2019
=====
Irani imeiwekea vikwazo Marekani kwa kuifungia 'think tank' ya nchi hiyo iitwayo Foundation for Defense of Democracies (FDD) na mkurugenzi wake mkuu. Vikwazo hivyo, vinatokana na FDD kutumika kuratibu na kuielekeza Marekani kufanya vitendo vya ugaidi na kuanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya taifa la Iran. Vikwazo hivi vinaipa Iran nguvu ya kisheria kuwashitaki FDD na mkurugenzi wake mkuu na wote wanaoshirikiana katika mahaka za nchi hiyo. Habari hii ni kwa mujibu wa Wizara ya mashauri ya kigeni ya Iran.
- - -
Nadhani, wakipatikana na hatika wanaweza kukamatwa na kuwekwa ndani na mali zao kutaifishwa.
====
May 22, 2017
-----
Habari kutoka tovitu ya wizara ya mambo ya nje ya Irani, zinaonyesha kuwa Iran imeiwekea vikwazo Marekani. Vikwazo hivyo vitaiathiri Marekani katika utekelezaji wake wa shughuli za kijasusi. Kwa habari zaidi fuatilia link hapa chini.
====
Iran releases list of banned US real, legal entities
Foreign Ministry released list of newly-banned real and legal entities in response to the US illegal move in adding a number of Iranian individuals and firms to the list of missile sanctions.
==ministry of foreign affairs - Islamic Republic of Iran
===
Upadate: Iran yapiga marufuku matumizi ya dollar (US monies)

US military leaders sanctioned
Iran has sanctioned 51 Americans, including some of the US’ top military officials, that it blames for the killing of Qassem Soleimani two years ago. The sanctions come amid simmering nuclear tension between Tehran and the West.
www.rt.com
UPDATE: 25/08/2019
=====
Irani imeiwekea vikwazo Marekani kwa kuifungia 'think tank' ya nchi hiyo iitwayo Foundation for Defense of Democracies (FDD) na mkurugenzi wake mkuu. Vikwazo hivyo, vinatokana na FDD kutumika kuratibu na kuielekeza Marekani kufanya vitendo vya ugaidi na kuanzisha vita vya kiuchumi dhidi ya taifa la Iran. Vikwazo hivi vinaipa Iran nguvu ya kisheria kuwashitaki FDD na mkurugenzi wake mkuu na wote wanaoshirikiana katika mahaka za nchi hiyo. Habari hii ni kwa mujibu wa Wizara ya mashauri ya kigeni ya Iran.
- - -
Nadhani, wakipatikana na hatika wanaweza kukamatwa na kuwekwa ndani na mali zao kutaifishwa.
Iran imposes sanctions on US think tank over economic terrorism
Iran adds the US Foundation for Defense of Democracies and its chief executive to its list of sanctions.
www.presstv.com