amygdala
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,082
- 997
kuwa na mawe si tatizo.....isssue ni kuwa una system ya kureinforce hzo sanction zako? mawe kila mtu anayoIran huwajui wana mawe sanaaa
kuwa na mawe si tatizo.....isssue ni kuwa una system ya kureinforce hzo sanction zako? mawe kila mtu anayoIran huwajui wana mawe sanaaa
kwanza Iran namarekani hawana kabisa mahusiano ya kidiplomasia kabisa, so issue ya russia haifanani kabisa na hiiObama aliwatimua maofisa wa urusi Washington DC baada ya kugundua urusi wali hack emails za dem ,moja ya sanction ilikuwa ni hiyo
Tatizo mnakariri mkisikia vikwazo mnadhani za uchumi au pesa..
Iran wamewatimua maofisa na majasusi wa USA nchini kwao ndio vikwazo moja wapo ,kizuizi "kuwaondoa majasusi wao ndio sanction yenyewe hiyo
Tehe!
North Korea yaiwekea vikwazo China
Haya ni matokeo ya Issue ya juzi nini?Juz wametoka kununua Boeing mia moja pamoja na Airbus leo hii wanamwekea vikwazo baba wa dunia
et mashine ya kukoboa
Imawezekana... Maana Iran kalaani sana lile dili la silaha kwa Saudia na kusema kwamba Marekani imeuza silaha kwa gaidi.Haya ni matokeo ya Issue ya juzi nini?
Marekani wataisoma namba.
Hiyo ni miscalculation subirini yakiwarudi mtasahau utamu wa pesa watu hao hawaaminikiImawezekana... Maana Iran kalaani sana lile dili la silaha kwa Saudia na kusema kwamba Marekani imeuza silaha kwa gaidi.
Ila Saudia mshenz sana kajua kujipanga yan kanunua kila sekta Missile defenses (THAAD & Patriot), bombs, warships, missile mpk jana Israel nae kalalamika kwa Marekani kuwauzia Saudia silaha hzo za kisasa
Haha!,et mashine ya kukoboa
Imawezekana... Maana Iran kalaani sana lile dili la silaha kwa Saudia na kusema kwamba Marekani imeuza silaha kwa gaidi.
Ila Saudia mshenz sana kajua kujipanga yan kanunua kila sekta Missile defenses (THAAD & Patriot), bombs, warships, missile mpk jana Israel nae kalalamika kwa Marekani kuwauzia Saudia silaha hzo za kisasa
Ana wasiwas kwamba hzo silaha siku moja zinaweza kutumika dhid yake,kumbuka Saudia na Israel ni maadui wakubwa ila wanashirikina kinafki tu kwa kua wanashare adui mmoja (Iran).Naona Mu Israel nae mpaka kalalamika, lakini wasiwasi wake ni nini? Maana yeye si atakuwa anapata first class technology toka kwa Mmarekani!
Ana wasiwas kwamba hzo silaha siku moja zinaweza kutumika dhid yake,kumbuka Saudia na Israel ni maadui wakubwa ila wanashirikina kinafki tu kwa kua wanashare adui mmoja (Iran).
Thubutuuuuu,hpo tumenyimwa misaada kdogo tu bila vikwazo bajet imetekelezeka kwa 34% watu mpk wanatumia rambiramb za watu (,kagera & arusha) je tukiwekewa vikwanzooooo c tutakulana wenyw kw wenywTanzania yaiwekea vikwazo Umoja wa Ulaya
Yah lazma maaana waarab akili zao wanazjua wenyeweI see!, wanakuwa cautious.