TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,077
- Thread starter
- #61
Ndiyo wanaanza kuua hiyo petrol dollar. Iran atampa mafuta ghafi, Urusi atampa teknolojia na vifaa vigine. Venezuela itakuwa hivyo hivyo. Philipino kwa Durtete kunauwezekano huo pia. Us alikataa kumuuzia Durtete bunduki 277,000 za kisasa kwa sasa ameamua kwenda Urusi na Juzi inasemekana walisaini mikataba ya maana 11 ; pia Russia imetumika wataalamu wa kivita kumsaidia Durtete na vita dhidi ya magaidi huko kwake.
NdiySubiri uone km kuna kitu ambacho kitabadilika unadhan Marekani alikua hajui km siku hii itafika?!. Cha kuangusha Us dollar kwa sasa ni labda waue huu mfumo wa Petrodollar.