TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,270
- 27,942
- Thread starter
- #81
Kama wanadhani wanatania basi hao 51 waliozuiwa wakaombe visa ya kwenda Teheran wakashuhudie majibu watakayopewa. Wao si ndiyo wana miliki hela ya dola? Wakaombe visa hiyo.Maajabu ya dunia haya unaiwekea vikwazo USA wakati pesa yake US dollars ndio unatumia