Iran vs. US military capabilities

Mtu anayeitwa mwislam wa imani kali usimchukulie poa hata siku moja, hawanaga cha kupoteza wale, kwanza yy mwenywe ni silaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ni utayari wa mpiganaji from its heart ndio hutoa matokeo, mfano uchukue kundi la wakurya au wamasai 100 wapambane na wazaramu 150 wote wawe na siraha sawa si ajabu hao wengi wakashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi raia hawapendi jeshi lao... Sijui Kama unaelewa .. Nchi takribani zote raia hupenda jeshi lao, hata hapo Sudan baada ya kupinduliwa rais raia walikuwa side to side na jeshi ... Kwahiyo usipime kupendwa jeshi na raisi ni vitu viwili tofauti..

Utitiri wa watu kwenye mazishi ya mwanajeshi na mapenzi Yao kwa rais ni vitu viwili tofauti...


Hayo mengine uliyosema sitaki kuongeza neno...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Napenda watu wanaofikiri kama wewe na kutema madini. Maana wengine humu wanakua waropokaji tu.
Thank you Mkuu.
 
Wanataka kutumia njia za hekima, Sasa subiri walipe kisasi na waue wamarekani wengi uone kitakachotokea
Kila lililo na mwanzo halikosi mwisho US waliwazunguka sana sio Iran pekee,mataifa mengi sasa majibu ya mizunguko yao inarudi.............''One day American state will gate a taste of it's own poison.(saddam Hussein).
 

Hawa waarabu ni wapiga ramli tu. Hawana lolote. Hapa wanatoa ujumbe kua mwisho wa dunia sasa Umeshafika. Sasa ni muda wa wao kujiua na kuua waamerika eneo lao.

Wameshajiaminisha na kujiridhisha kua wakiishinda America kwenye hiyo region ndio mwisho ndipo imamu mahdi atawajia.
Asipokuja sijui watafanyaje? Hata kushinda, tu hawataweza.

Watu wa Middle East sikuzote wakitafuta uungwaji mkono, wanatumia mgongo Dini kwenye Harakati zao batili. Wanatumia mob psychology, kwasababu average ya watun wa Middle east hawajui kuhoji kwasababu moja wapo ya hawana shule.

Ukisoma historia ya Utumwa wa Mtu mweusi barani africa. Utagundua kipindi kile Waarabu walinazuiwa na wazungu kuendesha biashara ya Utumwa. Walijiapiza kufanya jihadi hivyo hivyo na walipambana hivyo hivyo wakidai ni sehemu ya dini yao. Hii Leo hawathubutu kuutetea Utumwa wakihofia public mockery.

Watu wa middle east, wanamajivuno sana kana kwamba Mungu kawapa wao special privileges over other races and other religions as well.

Lakini mwishowe ndio wao wanaopigwa zaidi kwasababu wanaenda wakifuata moyo wao, huku wame-sacrifice akili zao.
 
Kila lililo na mwanzo halikosi mwisho US waliwazunguka sana sio Iran pekee,mataifa mengi sasa majibu ya mizunguko yao inarudi.............''One day American state will gate a taste of it's own poison.(saddam Hussein).

Tolea mfano taifa lipi ambalo mizunguko imerudi?.


Whidh poison?
 
Tolea mfano taifa lipi ambalo mizunguko imerudi?.


Whidh poison?
Hapa namaanisha kuwa hawa magaidi na vitimbi vyao US wanamkono mkubwa juu ya uwepo wao sasa wamewatumi weee ule wakati wa kupoteza ushahidi ukaanza maana mpaka wao madhara wameyapata.
 
Basi 2seme mapenzi kwa khamenei maana takwimu zinaonesha ndio mtu mwenye ushawishi zaidi ndani ya IRAN P Pia Ikumbukwe Yakwamba Khamenei Ndio Ana Mamlaka Makubwa Kuliko Hata Huyo Rais Wenye Unae Muongelea Hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Wamashariki Yakati Wawe Hawana Elimu Halafu Eti Wewe Uwe Nayo


Shkamoo Bradha.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu mnadhani hayo mavitu ndio anapigana tu? hivi mnajua marekani wasingekua na technolojia wangekua wa mwisho kijeshi duniani? Hivi wa Vietnam walikua na hayo madege mnayosema mbona marekani waliwaondoa. Kinachopigana ni tactics ,strategies ,lakini na reason to fight . Je wamarekani wana genuine reason to fight that gives the morale to the fighters. So msije kushangaa ikawa aibu kwa marekani
 
Hahaha eti Tactics wewe endelea kupanga Karate mwenzio anakudondoshea Missile moja kwa kutumia remoti akiwa kwenye sofa pale Pentagon mkononi akiwa kashika kikombe Cha kahawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…