Iran Threatens To Strike First! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran Threatens To Strike First!

Discussion in 'International Forum' started by jmushi1, Feb 22, 2012.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,993
  Trophy Points: 280
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  I spoke to a Persian friend akasema internally Govt haina kabisa support ya population... sasa sijui wanataka kufanya nini kwa kweli.
   
 3. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Sawa, naona Sare nzuri za kijeshi Lakini such preemptive actions yaonyesha wako na jambo wanafanya sio haki
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,993
  Trophy Points: 280
  Lets wait and see, sometimes ni rhetorics tu ili kujilinda na maadui, however Iran si wa kupuuziwa, sidhani kama west wataingia kichwa kichwa...

  @Mwali, ni kweli unayosema, serikali yao hina sapoti kubwa sana ya wananchi kama wanvyoamini ama kutaka kutuminisha, hakuna mwananchi atakayetaka kuona vita vya kibeberu, unless kama na wao washakuwa brainwashed.
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mungu aepushe hili!
   
 6. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,993
  Trophy Points: 280
  Obama baada ya kupata taarifa hizo, alifanya kikao cha dharura na waziri wake wa ulinzi Pannetta.

  Kiukweli Iran naona wameamua iwe mbaya, na hiyo ni a smart move kwa upande wao, kwasabu kama nilivyosema huko nyuma, subiri subiri kwa Iran wont be on their side.

  This is the time wanatakiwa ku make it or break it, kama ni kweli wanahisi kuwa interests zao ziko hatarini, basi ni bora tu wa strike first kwasababu wako kwenye position ambayo ni better kuliko baadae endapo vikwazo vitawa cost na kuwadhoofisha ama kama Europe na washirika wake wataregain influence na momentum ya hoja yao against mpango wa nyuklia wa Iran, kuhusiana na uvamizi ili kuufuta mpango hu nk.
   
 7. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Iran walikuwa washa kadiria miltary action kitambo walikuwa wanatafuta kisingizio. wajumbe wakutafuta vifaa vya kinyuklia wamezozana na kuzuiawa kutofanya upelelezi katika site moja ya kijeshi.
   
 8. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,993
  Trophy Points: 280
  Obvious wameamuwa iwe mbaya, wamewazuia wakaguzi wa UN kukagua site ya nukes, nadhani wanahisi kuna CIA na MOSSAD ndani.

  Na wanajuwa kuwa this will provoke more tensions.
   
 9. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Salute to Ahmad Nijad
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,993
  Trophy Points: 280
  Jamaa ni mjanja sana, ngoja tusubiri west na Israel kama watafanya kitu gani, sema moto kila mahali huko middle east, na Syria nako Iran yumo.

  Sasa tatizo ni kama Iran wataanza kuattack first kama wanavyodai, what will be the reaction?

  Halafu ni miaka imepita mingi tu huku kila mara wakisema Iran ina either miaka miwili or so kabla ya kuwa na bomu la nyuklia, na wao Israel and west wanajiridhisha kuwa mashambulizi ya hapa na pale ambayo wamekuwa wakiyafanya kwenye sites hizo pamoja na kuwauwa baadhi ya wanasayansi, wanaamini kuwa ndivyo vimewarudisha nyuma wairan kwenye speed yao ya ku posses neuclear bomb, lakini hawajui for sure uwezo halisi wa muiran.

  Na pia ile technolojia waliyoitumia ya kui manipulate system na kui guide ile ya predator drone na kuishusha bila kuipiga bomu wala kuharibika, iliwashtua sana US, kwasababu wana amini kuwa wairan watakuwa wamejifunza mambo mengi sana kuhusiana na technology hiyo pamoja na inteligensia kutoka kwenye vifaa vya mawasiliano vya hiyo drone.
   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Iran pia imejifunza mengi, hasa katika vita ya mwezi mmoja vya Hizbulah na Israel. Tanks za kuaminika zaa Israel ziliharibiwa kwa wingi kiasi cha kuwashangaza wazayuni!
   
 12. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,195
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Iran vs Mabeberu vs Mazayuni sie twabaki watazamaji............wifee where is my popcorn
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Du Iran kama ni noma iwe noma
   
 14. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,309
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Bora wakinukishe kwanza mimi sa hivi sina muvies za kuangalia torrents zote nimeshaona so I'm ready for the live show
   
 15. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ajaribu aone jama ajajuta maisha lake lote .
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,993
  Trophy Points: 280
 17. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  utaona kuwa hii miaka yote Iran imekuwa ikijikakamua kujiundia silaha kali na kujiandaa vilivyo. hata utakuta watu wao wanalala njaa. hii ndio tatizo kubwa za nchi za kigaidi. US defence mechanisms leaked ambapo Marekani watakua na kibarua kigumu.


  [​IMG]
   
Loading...