Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

Israel kama hajipendi achukue kabom kadogo atupe huko Iran hata maeneo ya porini.

Hebu ifikie hatua muache kushabikia vita hivi kuna mbabe wa vita? unaelezwa vita isikieni kwa magazet na tv, vita ya tz na ug unajua mpakaleo ukiwauliza walio kuwapo hawana ham tena na suala vita! bas wale islael na iran hakuna wakusema yeye jemedari ktk vita no
 
kuna post ililetwa ikidai Netanyau ametukana sana waafrica,kabla sijachangia naomba kueleweshwa kama ni kweli alithubutu kutukana Waafrica na kwa nini?
 
Mwarabu ukitaka kumpiga kirahisi we msifie,

sio waarabu wale,ni wairan.kumbuka iran iliwahi kuwa empire eneo lote hilo na wanarekodi ya kutawala mpaka jerusalem kipindi fulani.at least lakini hawana rekodi mbaya ni mfalume koreshi wa uajemi aliewaruhusu wayahudi kurudi jerusalem toka babylon utumwani na akasaidia kujengwa kwa temple la solomon lilikua limebomolewa.
 
sio waarabu wale,ni wairan.kumbuka iran iliwahi kuwa empire eneo lote hilo na wanarekodi ya kutawala mpaka jerusalem kipindi fulani.at least lakini hawana rekodi mbaya ni mfalume koreshi wa uajemi aliewaruhusu wayahudi kurudi jerusalem toka babylon utumwani na akasaidia kujengwa kwa temple la solomon lilikua limebomolewa.

Hv wairani si waarabu?,km wapalestina mnawaita waarabu,waturuki pia inakuaje useme wairani si waarabu,mh nijuze mkuu
 
Hv wairani si waarabu?,km wapalestina mnawaita waarabu,waturuki pia inakuaje useme wairani si

waarabu,mh nijuze mkuu
WAPALESTINA ni waarabu Lakini Wa-Iran sio waarabu Wa-Iran ni Wafarsi Sio Waarabu unaweza

kuwaita Wa-Iran ni Waajemi. Unakumbuka Vita Vilivyotokea Mwaka 1980 kati Ya Wa-Arabu Wa Irak na Wa-Farsi WA-Iran Waarabu wote

walikuwa wanamuunga Mkono Saddam Hussein Kiongozi wa Ki-Irak alikuwa ni Muarabu Mwenziwao. Mkuu politrix Amka.... Wa-Turuki Sio Waarabu........
 
WAPALESTINA ni waarabu Lakini Wa-Iran sio waarabu Wa-Iran ni Wafarsi Sio Waarabu unaweza

kuwaita Wa-Iran ni Waajemi. Unakumbuka Vita Vilivyotokea Mwaka 1980 kati Ya Wa-Arabu Wa Irak na Wa-Farsi WA-Iran Waarabu wote

walikuwa wanamuunga Mkono Saddam Hussein Kiongozi wa Ki-Irak alikuwa ni Muarabu Mwenziwao. Mkuu politrix Amka.... Wa-Turuki Sio Waarabu........

Kwa tafsiri hii wapalestina hawapaswi kuitwa waarabu wanapaswa kuitwa wapalestina,
 
Kwa tafsiri hii wapalestina hawapaswi kuitwa waarabu wanapaswa kuitwa wapalestina,
Asili ya neno Palestina ni nchi ya kaanan na neno Wapalestina ni wakaazi wa hiyo nchi ya Palestina na ni waarabu wanaoishi hapo Palestina. Hata katika Kitabu cha Biblia Takatifu wametajwa hao Wapalestina na kama unajuwa kusoma lugha ya kiingereza Soma hapa History ya Wa-Palestina.


From Wikipedia, the free encyclopedia
This article is about the historical geographic region. For the state (country), see State of Palestine. For the West Bank and the Gaza Strip, see Palestinian territories. For other uses, see Palestine (disambiguation).





Boundaries of Roman Syria Palaestina, where dashed green line shows the boundary between Byzantine Palaestina Prima (later Jund Filastin) and Palaestina Secunda (later Jund al-Urdunn), as well as Palaestina Salutaris (later Jebel et-Tih and the Jifar)
Borders of Mandatory Palestine
Borders of the State of Palestine (West Bank and Gaza Strip)



Palestine (Arabic: فلسطين‎ Filasṭīn, Falasṭīn, Filisṭīn; Greek: Παλαιστίνη, Palaistinē; Latin: Palaestina; Hebrew: פלשתינה Palestina) is a geographic region in Western Asia between the Mediterranean Sea and the Jordan River. It is sometimes considered to include adjoining

territories. The name was used by Ancient Greek writers, and was later used for the Roman province Syria Palaestina, the Byzantine Palaestina Prima and the Umayyad and Abbasid

province of Jund Filastin. The region is also known as the Land of Israel (Hebrew: ארץ־ישראל Eretz-Yisra'el), the Holy Land or Promised Land, and historically has been known as the Southern portion of wider regional designations such as Canaan, Syria, as-Sham and the Levant.

Situated at a strategic location between Egypt, Syria and Arabia, and the birthplace of Judaism and Christianity, the region has a long and tumultuous history as a crossroads for religion, culture, commerce, and politics. The region has been controlled by numerous peoples,

including Ancient Egyptians, Canaanites, Israelites, Assyrians, Babylonians, Persians, Ancient Greeks, Romans, Byzantines, the Sunni Arab Caliphates, the Shia Fatimid Caliphate, Crusaders, Ayyubids, Mameluks, Mongols, Ottomans, the British and modern Israelis and Palestinians.

The boundaries of the region have changed throughout history. Today, the region comprises the State of Israel and Palestinian territories in which the State of Palestine was declared.
Source.Palestine - Wikipedia, the free encyclopedia
 
jaribu kuchunguza ndege yeyote ya kijeshi kama supersonic speed inaishia mach2.5 mpaka mach3.
wakati kuna makombora yana hadi mach 10.means kombora liko na speed mara dufu,uwezekana wa kombora kutumia dakika 8 tangu lifyatuliwe mpaka kutua tel aviv,sio kitu ya ajabu.

kukupa idea mfano kombora la ICBM la mrusi linaweza kutua washington marekani ndani ya dakika 20-30.
tofauti na ndege kufikia target itachukua masaa.
ndo kisa cha jamaa kudai ndani ya dakika 10 watakua wameshapiga tel aviv.sioni kipi cha ajabu hapo kwani anaongelea makombora na si kwenda kupiga kwa ndege.
Sasa tangu upigwe, protokali ifuatwe na huyo kiongozi aamuru kujibu mapigo kisha ndiyo hayo makombora yarushwe unadhani hizo dk 10 zitatosha? Hii kauli ya kisiasa zaidi kubali au kataa ila ndio ukweli.
 
Kwa tafsiri hii wapalestina hawapaswi kuitwa waarabu wanapaswa kuitwa wapalestina,

Wapalestina ni waarabu. Arab ni kabila kama ilivyo Persia au Kurd au pashtun usidhan wote middle east in waarabwaarab kuna makabila lukukilukuki.
 
Naamini tutakapopata uelewa halisi wa democrasia na soko huria na kujenga mazingira sahihi kwa haya kukua basi tutakuwa tumepata jibu. Swali lina baki ni vipi?

Mimi naweza jibu simply time will tell. Je hili litatosha kuwa jibu?Kwangu mimi naona ndilo jibu linaloweza kuwa sahihi.Sababu ya kupendelea jibu hili ni hii:

Democrasia inavyopanuka ndivyo opportunities zinavyozidi kuwa sawa kwa wote.Na free market inakuwa vizuri ktk democrasia.Free economy inamfanya kila anyejituma na kuwa na uwezo kufanikiwa.

Kufanikisha hili tunahitaji kuweka mazingiza safi na huru kwa ukuaji wa democrasia na soko huria.Nikimaanisha usawa na free enviroment.Hapa bado serikali haijaweza kuaichia huo uhuru ingawaje si kwa ni mbaya kwani watanzania bado hawapo tayari kuhimili hilo.

Mojawapo ya vitu vinavyoleta maana ktk democrasia na soko huria ni pamoja na elimu sahihi.Sasa hapa elimu sahihi ya washikadau ktk mazingira ya Kitanzania ni balaa jingine.Na hili si tu kwa tabaka la wasiofika shule,bali tabaka zima la wasomi wa Kitanzania.Wasomi wetu wetu wa kitanzania wana perspective tofauti kuhusu utandawazi democrasia, maendeleo ya sayansi na teknologia pamoja na mahusiano yetu na mataifa yaliyoendelea kwa ujumla.Sasa kupotoka kunaanzia ktk tabaka la wasomi na wanachuoni na kuendelea kupotoka kunajizidisha hadi kwa raia.

Raia wamekuwa wakijengewa hofu na mtazamo potofu kuhusu democrasia kabla hata mfumo wa vyama vingi kuingia na baadaye hali hiyohiyo ikajikuta ikiingia ktk utandawazi.Leo hii wasomi wetu hawajaonesha nia madhubuti na na kuandaa mipango ambayo si tuu itatuwezesha kulitua soko la marekani kupitia AGOA bali kufanya hata kaujanja tuweze litumia vizuri zaidi ya wenzetu.Soko la Marekani ni soko Tamu na lenye utajiri mkubwa kiasi cha kufanya kila taifa Duniani kupigana kikumbo kulifuata.

Usalama wa raia na mali ndio kitu cha kwanza kuangaliwa,kutoka usalam wa raia na mali zao,bima ndio inatakiwa ifuatie ili kutoa uslama kwa makampuni, baada ya bima mabenki yatakuwa huu kuchukua risk ktk kulegeza masharti, unafuu wa masharti nio utaleta uhuru wa kiuchumi kwa mtanzania ktk kuanzisha chanzo cha mapato.Ushindani ktk soko huria utamlazimisha kila mtu kutafuta usahihi kwa kila muda unaojishuhulisha ktk biashara. Kupanga kodi kwa usahihi kutaleta mvuto ktk biashara halali zaidi na hivyo kuachia uchumi kwa wote.

Kufikia maendeleo kunahitaji ufanisi ktk kila sector na pengine kuanguka kwa wale wasio imara.Hapa namaanisha kuweza kuwa mshindani na kama huwezi ushindani basi uweze jibadili na kuanzisha njia nyingine ila legho ni kujikomboa.Sasa hali hii haijaweza hata fanywa na wasomi wenye kila kitu elimu na njia za kupata mitaji ila wanakosa kitu kimoja ubunifu.Tunavyozidi kubuni vitu ndio tunavyofungua mzunguko wa hela na mifumo ya kiuchumi.

Kutokana na mapungufu haya na mengine ni wazi kuwa tutajifunza kupitia makosa, kutakuwepo na wale watakaoenguliwa na kujiengua hadi pale watakapopatikana waelewa na pale mazingira yatakapokuja kuwa mazuri na huru.Hapa hapatakuwepo watu dhaifu kiakili kwa wakiwepo basi watakuwa wakitumika na kama hawatabadilika basi watajikuta wakibaki wakitumika.

Kwa hiyo kwa jamii yetu nadhani muda ndio utasema na kutupa jibu. Tutashuhudia wengine wakifanikiwa tutashudia tukishindwa na hapo ndipo tutakuwa tumejenga jamii yetu kitaaluma na zaidi tutakuwa na uelewa sahihi wa mazingira. Huku kuelewa mazingira ndipo kutakapotusaidia tafuta njia ya kuyatawala au kuishi ndani yake.

Hapa elimu sahihi ndio itaongoza majadiliano sahihi na hivyo kutupa majibu sahihi na utendaji sahihi popote na muda wote.
Ahsante.

Mhh waarabu ni kabila mkuu,inamaana,wamisri ni kabila moja na wairaq,au wasaudia,
 
Leave udin out of this,iran anapgika ila cost yake ni kubwa na dunia itatikisika,hawa jamaa wamejiandaa miaka mingi sana,israel huwa hapend kuongea bal kutenda na ukiona israel anapga kelele kwa miaka 20 ujue hali ngumu,mataifa ya russia na n.korea wakiwa upande wa nchi flan totally hakika hata marekan anachemka,assad mpaka leo yupo,wamempelekea proxy war kbao na bado,na uchokoz wote wa n.korea lakn marekan kmya anaishia kufanya drills,mbona kwa sadam hakufanya drills?usiombe kupgana na mtu ambaye ameshaona maisha yake hayana thaman zaid ya kukuua wewe
imagine uko ulingon na mtu,wew unapenda kuish lakin yeye hana cha kupoteza,you better ran,ndo maana kenya wanaendeshwa na vbaya alshabab
 
Wapalestina ni waarabu. Arab ni kabila kama ilivyo Persia au Kurd au pashtun usidhan wote middle east in waarabwaarab kuna makabila lukukilukuki.
Wapalestina kuna waliochanganya damu na waarabu ila si waarabu.Na wala waarabu hawachanganyiki nao zaidi ya kuwachukua km chambo kufikia malengo ya supremacy ya kidni na kiarabu ktk Israel.Wapalestina ni wafilistine waliopigwa na Wafalme wengi na walikuwa wavamizi wabaya sana,waliokuwa wkairandaranda ktk iliyopo palestina na majwanga ya nchi zinazowahifadhi ambazo zilikuwa ktk milk ya Israel miaka kablaya Mfalem Daudi leo hizo nchi zinawaweka km wakimbizi ila zimemeza kabisa historia ya wapalestine ambao walikuwa km masai ktk maeneo hayo.Hadi leo waarabu na kelele zao Bado wamewaweka ktk makambi Lebanon,Jordan,Syria,Saudi etc na wanaaawangalia kwa makini sana kwani ni magaidi na wenye vurugu nyingi sana.Na wanatumikishwa km kawa,huku wakipewa motisha kurudi kwao ili watoe mzigo.
 
Mhh waarabu ni kabila mkuu,inamaana,wamisri ni kabila moja na wairaq,au wasaudia,
Waarabu si kabila ila mkusanyiko wa makabila....Wamistri wana waarabu waliomeza wengine ila si waarabu kiasili,Iraq pia kuna waarabu,kuna wakurdi, waajemi(persians/Iranians) etc ila waarabu wanajaribu na kulazimisha sana kupitia dini na ubavu kuwa wateule na wamiliki,
 
Leave udin out of this,iran anapgika ila cost yake ni kubwa na dunia itatikisika,hawa jamaa wamejiandaa miaka mingi sana,israel huwa hapend kuongea bal kutenda na ukiona israel anapga kelele kwa miaka 20 ujue hali ngumu,mataifa ya russia na n.korea wakiwa upande wa nchi flan totally hakika hata marekan anachemka,assad mpaka leo yupo,wamempelekea proxy war kbao na bado,na uchokoz wote wa n.korea lakn marekan kmya anaishia kufanya drills,mbona kwa sadam hakufanya drills?usiombe kupgana na mtu ambaye ameshaona maisha yake hayana thaman zaid ya kukuua wewe imagine uko ulingon na mtu,wew unapenda kuish lakin yeye hana cha kupoteza,you better ran,ndo maana kenya wanaendeshwa na vbaya alshabab
The issue ni kwamba si kwamba Assad au nani hawezi pigwa na Israeli na US i kwamba hapo Middle East kupo complicated sana.
 
Hv wairani si waarabu?,km wapalestina mnawaita waarabu,waturuki pia inakuaje useme wairani si waarabu,mh nijuze mkuu

wairan ni wairan,
wapalestina ni waarabui,ila mpalestina na msaudia unaweza fananisha kama mtanzania na mkenya.wote mgozi nyeusi,wanaongea kiswahili lakini matamshi kidogo tofauti.
mturuki si mwarabu,ni mturuki
 
Sasa tangu upigwe, protokali ifuatwe na huyo kiongozi aamuru kujibu mapigo kisha ndiyo hayo makombora yarushwe unadhani hizo dk 10 zitatosha? Hii kauli ya kisiasa zaidi kubali au kataa ila ndio ukweli.

mkuu amesema ndani ya dakika kumi yatakua yuameshatua tel aviv kabla hata shambulizi la israel halijatua.

hapo pia anaongelea long range rada,kama ulisikia karibuni waliweka rada inayocover eneo kubwa na mashariki ya kati mpaka israel.
maana yake ni kuwa ndege zitaonekana zikija kushambulia kabla hata hazijatoka ndani ya anga la israel kuja iran
 
Back
Top Bottom