Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

israel hata ale maharage ya wp hawezi kwa iran
hahahahaha netanyahu sijui kala maharage ya wp
kampumzike Bibi netanyahu
kalale bibi
umechoka bibi
hufai bibi
umepuuzwa bibi
kamlambe usa na saudia bibi
kalee wajukuu bibi
uzee
kalale bibi
huna jipya na lolote
cjui ume2mwa na nan pale israel kunywa damu za wapalestna ama
ushindwe na ulegee netanyahu
kaoge mzee!!!!
Ushabuma!!!
 
Amekula maharage ya wapi Huyo babu,waarabu wanaongoza kwa propaganda duniani, Kiboko yao ni TOMAHAWK CRUISSE MISSILE usipime.
 
Israel mapimbi gu..hezbolah wanawatoa jasho itakuwa iran
iran ndio hao hao hezbolllah. majuzi israel ilishambulia hezbollah ikaua komando wa jeshi wa iran.

CNN)A senior commander of Iran's Revolutionary Guard was killed in an Israeli airstrike in Syria over the weekend, Iran's semiofficial Fars news agency reported. Gen. Mohammed Ali Allahdadi was killed in the same Sunday airstrike that killed six others during a field inspection in Quneitra, a Hezbollah statement said.
link
http://edition.cnn.com/2015/01/18/middleeast/syria-israeli-airstrike-hezbollah/
 
waarabu wako very delusional . sasa haka kazee kanajaribu kuongea as if kanajua vizuri namna gani Israel ilivyo...
 
waisrael wajaribu kugusa iran waone mziki watapigwa na wataangamizwa wote
 
Khafiris wanabwabwaja tu. Si waanzishe mtanage tuone. Pathetic Iran
 
Ayatollah, amwulize mwenzake M.Ahmednejad aliesema ataifuta Israel kwenye world map,aliishia wapi…wale ni next level…by the way Netanyahu kashasema hata Golan hawashuki tena,wale wanaitwa madogo wababe!
 
Kuna trick nyingi sana ila Israel wana kila data na weledi wa kuwalipua hawa jamaa..Ila lazima wafanya hilo kwa kushirikiana na mataifa mengine.Lazima waulize mataifa rafikia ua hata muhimu km wapo tayari.Mfano urusi wapo,wafaransa wapo,wachina wapo,wanajenga hiyo mitambo kuilipua ni kwamba utaua hao raia.Pia kuna mataifa km Saudi Arabia lazima wajiandae kwa silaha ili ikilipuka vita washia wasijeiboa saudi arabia km hapo tuu shida.Halafu kuna issue ya israel kugombana kidogo na US ili kuzuga na kuwafanya jamaa wajisahau US wapewe nao dili ya hela nyingi,kisha wakachukue siri kisha wailipue for all...Kuna issue ya Mataifa yenye kuto mafuta kuongeza kiasi cha mafuta ili bei isiyumbishe uchumi wa dunia.Then kitakachofuatia ni kusikia tuu taarifa za ghafla kuwa imereportiwa kuna ndege zilitokea upande wa kusini au maghatibi mwa Iran na inasemekana vivu vya Nuclear vinawaka vyote pamoja na vingine kdhaa ambavyo havikuwa vikijulikana.Urafiki wa US na Iran ni Zuga ili US manowari na kila kitu zisogee karibu.Wanajua Iran atachapa Mataifa fulani km Saudi,Israel,Qatar na ataita magaidi wake wamsaidie
Hakuna urafiki kati ya Iran & USA..... Na haitatokea kabisa....
Mwezi ulioisha Iran revolution guards waliwateka US Navy walio kuwa wamevuka mipaka ya Iran baharin... Waka fanyiwa humiliation kali sana.. Iran is technologically advanced... Almost kila kitu wanatengeneza wenyewe....
 
Ten minute labda wawape Hezbollah na wengine makombora mengi sana makubwa ya kupigia karibu ili patriot ikianza fuata yawe yemshaingi ktk anga ya Tel Aviv,otherwise mambomu makubwa yakisafiri angani yanaonekana tangu mbali sana na ni rahisi kuyatungua kuliko vidogo.Mbaya zaidi wao watapigwa within seconds na manuari za US zilizopo ktk ghuba na Ujerumani,Uturuki, etc.Itageuzwa kuwa km shamba liliolimwa.
Wewe jamaa burudan..... USA anapigana kuzui interconnected ballistic missile, ambayo urefu wake in kama semi trailer..... Logic ni kwamba ICBMs ni ngumu ku intercept... Yanakimbia speed kali sana.
 
chezea iran weye! mwisrael asubiri kuangamizwa 2
It could be the other way round, Iran could be destroyed in two minutes (by God) Israel and its people is the chosen nation of the Creator. Read the Holy Books!!! remember the 1967 and 1973 Arab wars against Israel and what happened. Remember in the Holy books when Haman wanted to massacre the Jews and what happened to him after the wife of the Iranian(Leader of Persia) leader had married a Jew - Esther. It means Iranians are actually a cross breed of Jews since they had Jewish wives.
 
Back
Top Bottom