Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

mkuu amesema ndani ya dakika kumi yatakua yuameshatua tel aviv kabla hata shambulizi la israel halijatua.

hapo pia anaongelea long range rada,kama ulisikia karibuni waliweka rada inayocover eneo kubwa na mashariki ya kati mpaka israel.
maana yake ni kuwa ndege zitaonekana zikija kushambulia kabla hata hazijatoka ndani ya anga la israel kuja iran
Kwani haiwezekani ndege zikatoka Israel zikawa zinaelekea India tuseme? Mimi si mtaalamu sana wa usalama wa anga naomba unijuze hapo.
 
Mhh waarabu ni kabila mkuu,inamaana,wamisri ni kabila moja na wairaq,au wasaudia,

wote wanaongea kiarabu japo matamshi wanaweza tofautiana kidogo.

pia yataka ujue kuwa kiarabu ni lugha ilianza karne ya 6,nadhani kipindi hata jesus alishakufa.kilichofanyika ni watu wa maeneo hayo kuadopt kiarabu,utaisoma vizuri wikipedia topiki ya ARABISATION.
Kwa hiyo mwanzo kabisa wamisri hawakuongea kiarabu.
wairag kama sikosei wakiongea kiaramac(sp)
 
mkuu amesema ndani ya dakika kumi yatakua yuameshatua tel aviv kabla hata shambulizi la israel halijatua. hapo pia anaongelea long range rada,kama ulisikia karibuni waliweka rada inayocover eneo kubwa na mashariki ya kati mpaka israel. maana yake ni kuwa ndege zitaonekana zikija kushambulia kabla hata hazijatoka ndani ya anga la israel kuja iran
hakuna kitu hapo..sema iran ilipokaa rada za Urusi,na nchi nyingine km syria,jordan na nyingine zinafika.Ila Israel wana covert project nyingi sana na wana ndehe invincible ktk rada,kila siku wana update na kurusha ndege ambazo wanajifanya wanakosea na hazitunguliwi,lengo ni kutrigger system za ulinzi za Iran ili kujua response time,na sensitivity ,pamoja na ku fagia data.Jamaa wana ndege km Meli za kichina,na japan.Meli ya japani ikija shusha mizigo wakati wa kuondoka wanaachia net zinavua samaki, na kuzifunga ktk viwanda vidogo ndani..haswa nyangumi.Hawa jamaa midege yao na marafiki zao zinafungwa mitambo zikipita ktk angaa zinaondoka na data kibao kuhusu mawasiliano,radar, radio,tve etc.Wanapiga sana Iran..iran anaishia kulalama na kujisifu uongo kuwa kakimbiza ndege za adui ....israel huwa hawajibu hayo maswali.Walituma virus wa computer hadi leo wairan hawataki hata kusema hasara yake ktk mashine.zilizipeleka kasi hadi zinavunjika na nyingine kuchafua majini yalichujwa.Wengine wanapiga miziki ya kiyahudi ktk computer za maabara za iran,na wanapiga tarehe zenye maana kitaifa israel,na nyimbo zenye maana israel.
 
Kwani haiwezekani ndege zikatoka Israel zikawa zinaelekea India tuseme? Mimi si mtaalamu sana wa usalama wa anga naomba unijuze hapo.
Kuna trick nyingi sana ila Israel wana kila data na weledi wa kuwalipua hawa jamaa..Ila lazima wafanya hilo kwa kushirikiana na mataifa mengine.Lazima waulize mataifa rafikia ua hata muhimu km wapo tayari.Mfano urusi wapo,wafaransa wapo,wachina wapo,wanajenga hiyo mitambo kuilipua ni kwamba utaua hao raia.Pia kuna mataifa km Saudi Arabia lazima wajiandae kwa silaha ili ikilipuka vita washia wasijeiboa saudi arabia km hapo tuu shida.Halafu kuna issue ya israel kugombana kidogo na US ili kuzuga na kuwafanya jamaa wajisahau US wapewe nao dili ya hela nyingi,kisha wakachukue siri kisha wailipue for all...Kuna issue ya Mataifa yenye kuto mafuta kuongeza kiasi cha mafuta ili bei isiyumbishe uchumi wa dunia.Then kitakachofuatia ni kusikia tuu taarifa za ghafla kuwa imereportiwa kuna ndege zilitokea upande wa kusini au maghatibi mwa Iran na inasemekana vivu vya Nuclear vinawaka vyote pamoja na vingine kdhaa ambavyo havikuwa vikijulikana.Urafiki wa US na Iran ni Zuga ili US manowari na kila kitu zisogee karibu.Wanajua Iran atachapa Mataifa fulani km Saudi,Israel,Qatar na ataita magaidi wake wamsaidie
 
We jamaa bwana, kwa hiyo hii ndiyo plan yako? Imejaa matatizo kibao sina hata haja ya kuichambua.
 
Wayahudi watu wabaya sana walimmpiga pipe mungu wetu badae wakamtundika msalabani
Mbea bhana..huwa nusu ya maisha yenu huimaliza ktk habari za uongo ,mnazozisingizia kuambiwa na fulani ambaye ni muumini kwa hiyo hawezi kuwa mwongo.Wayahudi hawakumuua mungu wako wala wangu.Waliua manabii..ila si Yesu achilia mbali pipe unayosema.Wayahudi walimshitaki kwa Utawala wa Rumi.Hata kitabu kinachokupa bangi hakisemi hivyo.Kwa vile hamkielewi ndio maana huwa mnadhani kinasema Yesu hakufa.Mkaongezea uongo ktk tfasiri kuwa atarudi kuja kufa.Kimeuliza kutok tk ushahidi wa wayahudi kuwa hawakumuua, je walimuua?Wayahudi hawakuruhusiwa kuua km wewe uisivyoruhudiwa kuua mtu hata km ana hatia ya kuhukumiwa kifo.Ila haimaamishi hakufa au kuuliza.Walioua ni askari wa kirumi na msalama ulikuwa ndio njia ya warumi ya kuua na si ya wayahudi.Wayahudi ni mawe.
 
Wana JF nawakubali saana kwa uongo, baada ya kusikia sikia habari khs nuclear bombs, b 52, sijui mig... Na wao hujifanya wamekua wachambuzi wa mambo ya ki jeshi hahah,wakati hata Bastola hamja wahi kuishika endeleeni na uongo went, kalagabaho
 
Kuna habari zipo na zinaweza kuwa veryfied...Kila vita ikipaganwa sio siri Saudi Arabia hushirikishwa na kukubali kuongeza mafuta..Sasa hii inahitaji uchambuzi gani?Na linapokuja suala la kuikabili Iran Saudi wapo na Israel,wanaweza tofautiana timing na jinsi ya kutatua issue.Sasa hili nalo linahitaji vipi kumiliki silaha.Linapokuja suala la Virus,imewekwa ktk mitandani na Iran wakatangaza hasira yao na kusema kuwa baada ya miezi kadhaa wameweza safisha computer zao na kutengeanisha Iran na internet kabisa,kwa stayl ambayo inathibitisha vyote vilivyosemwa upande wa pili ila wao wanaongeza tuu chumvi kwamba tumekabiliana nazo.Sasa haya yanahitaji nini kuwa na silaha.Iraq ikivamiwa walikwenda jamaa wa Un muda is mrefu wakamtoa sadam,sasa Iran wamekubali dili hku wakipiga kelele kuwa wanaua cha kufanya jamaa wakiwa freak ,huku israeli wkailia uongo kuwa wanachukia hiyo dili..wakati wamarekani huwajumlisha wayahudi km wataalamu wao ktk nchi ambayo hawaruhusiwi kuingia...na hii unahitaji silaha kuona?Wakati urusi na Ufaransa wakiteteta ,kuna wataalam na makampuni yao ndie yemepewa contract ya kufanya hizo kazi..na muda huuu hazijaisha nani atapiga vita raia wa wengine,tena marafiki na maspy wao kabla hawajalipwa?na hii nayo inahitaji kuwa na silaha...Kipindi Syria imetangazwa kuwa ngege za israel zimeonekana zikienda kaskazini,mida ya asubuhi...syria wakasema tumefukuza ndege za Maadui wa kizayuni,Israeli wakasem tumekuwa tukifanya mazoezi ya kawaida tuu....ktk anga n ahatukwaruzana na watu(Yaani walifanikiwa-bila kikwazo),baadae UN wakasema kuna Jengo linawaka,Assad akasema ni jengo godown bovu limelipuliwa,Israel wakasema hawana taarifa,UN wakasema wameona ktk satelite udogo unabebwa na malori huku ukipakiwa na vijiko...mwenye akili ana haja ya kuwa bunduki kujua kuwa Israel wameshamaliza mtambo ,na wameingi ana kutoka ndege zao zikatoka fasta,na Assad kala hasara,na anakimbiza udongo kwa vile anajua UN wakienda pima watakuta sumu za mabomu.Na nani alimwambia aseme kuwa si jengo la maana limepigwa wakati israel wanasema hawajui..ili jamaa wajiseme wenyewe.Kunahitaji nini kuisoma Iran?
 
Ten minute labda wawape Hezbollah na wengine makombora mengi sana makubwa ya kupigia karibu ili patriot ikianza fuata yawe yemshaingi ktk anga ya Tel Aviv,otherwise mambomu makubwa yakisafiri angani yanaonekana tangu mbali sana na ni rahisi kuyatungua kuliko vidogo.Mbaya zaidi wao watapigwa within seconds na manuari za US zilizopo ktk ghuba na Ujerumani,Uturuki, etc.Itageuzwa kuwa km shamba liliolimwa.
 
Kuna habari zipo na zinaweza kuwa veryfied...Kila vita ikipaganwa sio siri Saudi Arabia hushirikishwa na kukubali kuongeza mafuta..Sasa hii inahitaji uchambuzi gani?Na linapokuja suala la kuikabili Iran Saudi wapo na Israel,wanaweza tofautiana timing na jinsi ya kutatua issue.Sasa hili nalo linahitaji vipi kumiliki silaha.Linapokuja suala la Virus,imewekwa ktk mitandani na Iran wakatangaza hasira yao na kusema kuwa baada ya miezi kadhaa wameweza safisha computer zao na kutengeanisha Iran na internet kabisa,kwa stayl ambayo inathibitisha vyote vilivyosemwa upande wa pili ila wao wanaongeza tuu chumvi kwamba tumekabiliana nazo.Sasa haya yanahitaji nini kuwa na silaha.Iraq ikivamiwa walikwenda jamaa wa Un muda is mrefu wakamtoa sadam,sasa Iran wamekubali dili hku wakipiga kelele kuwa wanaua cha kufanya jamaa wakiwa freak ,huku israeli wkailia uongo kuwa wanachukia hiyo dili..wakati wamarekani huwajumlisha wayahudi km wataalamu wao ktk nchi ambayo hawaruhusiwi kuingia...na hii unahitaji silaha kuona?Wakati urusi na Ufaransa wakiteteta ,kuna wataalam na makampuni yao ndie yemepewa contract ya kufanya hizo kazi..na muda huuu hazijaisha nani atapiga vita raia wa wengine,tena marafiki na maspy wao kabla hawajalipwa?na hii nayo inahitaji kuwa na silaha...Kipindi Syria imetangazwa kuwa ngege za israel zimeonekana zikienda kaskazini,mida ya asubuhi...syria wakasema tumefukuza ndege za Maadui wa kizayuni,Israeli wakasem tumekuwa tukifanya mazoezi ya kawaida tuu....ktk anga n ahatukwaruzana na watu(Yaani walifanikiwa-bila kikwazo),baadae UN wakasema kuna Jengo linawaka,Assad akasema ni jengo godown bovu limelipuliwa,Israel wakasema hawana taarifa,UN wakasema wameona ktk satelite udogo unabebwa na malori huku ukipakiwa na vijiko...mwenye akili ana haja ya kuwa bunduki kujua kuwa Israel wameshamaliza mtambo ,na wameingi ana kutoka ndege zao zikatoka fasta,na Assad kala hasara,na anakimbiza udongo kwa vile anajua UN wakienda pima watakuta sumu za mabomu.Na nani alimwambia aseme kuwa si jengo la maana limepigwa wakati israel wanasema hawajui..ili jamaa wajiseme wenyewe.Kunahitaji nini kuisoma Iran?

Eti eeh sawa expert wa mambo ya kijeshi, humu kuna watu hua wanajifurahisha tu wengine naona hua wana question mpk credibility ya putin na wakubwa wa majeshi mengine makubwa hua wkt kati yao hakuna hata anayejua mambo ya ki jeshi ukimuuliza jeshini wewe umeshawahi kua na cheo na ulifanya nini hakuna kitu, zaid ya kusoma kwenye vimitandao uchwara na UNCLASSFIED data zao, ila endeleeni hivo hivo wataalamu wangu wa majeshi ya nchi kavu,majini, nuclear, angani hahah
 
Israeli hawezi kuigusa Iran.hivi sasa Iran anatengeneza bomu la nuclear special for Israeli na leo ayatollah ametangaza western powers wakiongozwa na marekani wasipoondoa vikwazo kwa iran wasahau kuhusu program za kinuklia za Iran kusitishwa. Nafurahi sana taifa moja linavyosumbua vidume vya dunia.go on Iran go on
 
Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

Arutz Sheva 7
– A senior figure in the Iranian Revolutionary Guards, Mujtabi Du Al-Nour,

threatened on Saturday that Iran will destroy Tel Aviv in ten minutes if Israel “makes a mistake” and strikes the Islamic regime’s nuclear facilities. Al-Nour, who is a representative of

Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, in a talk with journalists responded to Foreign Minister Avigdor Liberman’s (Yisrael Beytenu) comments from Friday, when he said Israel

should stop talking and start acting by striking the facilities said to be developing nuclear weapons. “If the Zionists were sure that they would win in war they would already have initiated it, but they don’t have the strength to do that – so they just threatened,” blustered

Al-Nour. According to the Revolutionary Guards leader, Iran has rockets that can reach the heart of Tel Aviv within six or seven minutes, “even before the rockets of the Zionists reach

us.” The threat, coming as it does during Iran’s efforts to increase its nuclear output capability by 19-fold and feasibly obtain the ability to equip nuclear warheads on the rockets Al-Nour

claims the country possesses, gives extra urgency to Prime Minister Binyamin Netanyahu’s warnings against a bad nuclear deal. Netanyahu is posed to address the US Congress on March

3 about the Iranian nuclear problem in a speech that has raised uproar among the left in Israel and the US, given its proximity to March 17 Knesset elections. The speech is meant to warn

against leaving Iran with nuclear capabilities as talks between world powers and Iran approach a March 31 deadline, with Netanyahu warning the deal in its current formation would leave

Iran a nuclear threshold state, and a state which has threatened to destroy Israel as Al-Nour reiterated on Saturday.
source.Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes

Mkuu Mzizi Mkavu, nakuhakikishia kabla hawajaanza kurusha hizo missile zao watapata pigo ambalo hawatolisahao nadhani unakumbuka kilichotokea Misri kabla jetfighter zao hazijaruka kwenda kupiga Israel..upo hapo?
 
Mimi Sina lakusema tungojee ni nani atakuwa ni mshindi.
 
Eti eeh sawa expert wa mambo ya kijeshi, humu kuna watu hua wanajifurahisha tu wengine naona hua wana question mpk credibility ya putin na wakubwa wa majeshi mengine makubwa hua wkt kati yao hakuna hata anayejua mambo ya ki jeshi ukimuuliza jeshini wewe umeshawahi kua na cheo na ulifanya nini hakuna kitu, zaid ya kusoma kwenye vimitandao uchwara na UNCLASSFIED data zao, ila endeleeni hivo hivo wataalamu wangu wa majeshi ya nchi kavu,majini, nuclear, angani hahah
Tatizo ni kwamba una wivu sana na kuumizwa roho na chochote ulichowahi fanya ktk jeshi...halafu unaona raia wanajua analyse issue kuliko wewe.SItaki kuambia kila unayemwona hapa ni hajapita jeshini.MAra nyingi sana watu waliopitia msoto hata walimu huwa hawapendi sana wanapoona wanafunikwa wasiopitia hizo njia.Pole sana....usichojua tena ni kwamba kuna vitu vinajulikana na vipo true kwa raia,na true kwa wanajeshi....so blaha,,,na hasira za kususa kwako hazina msaada.
 
Israeli hawezi kuigusa Iran.hivi sasa Iran anatengeneza bomu la nuclear special for Israeli na leo ayatollah ametangaza western powers wakiongozwa na marekani wasipoondoa vikwazo kwa iran wasahau kuhusu program za kinuklia za Iran kusitishwa. Nafurahi sana taifa moja linavyosumbua vidume vya dunia.go on Iran go on
Haha..kwa vile israeli wamepiga usingizi......Iran ,wana laana.Ya kukana utamaduni ambao wazazi wao waliuapia na kuuwekea wakfu na sasa wamevaa utamaduni wa kifo.Juhudi zote zinafanyika kwa mwito wa shetani ili wawahi ktk kifo.The first Bomb litapasuliwa angani ,au nchi jiran za kiarabu na km ni Nuclear .Iran itakuwa jangwa lililochafuliwa na mionzi....Ni kwamba hujui kwanini mataifa km US wana kambi dunia kote?Na zimekaa kimikakati.Ili waweze respond haraka iwezekanyo kwa kupeleka zahma nyumbani kwa adui.
 
Eti eeh sawa expert wa mambo ya kijeshi, humu kuna watu hua wanajifurahisha tu wengine naona hua wana question mpk credibility ya putin na wakubwa wa majeshi mengine makubwa hua wkt kati yao hakuna hata anayejua mambo ya ki jeshi ukimuuliza jeshini wewe umeshawahi kua na cheo na ulifanya nini hakuna kitu, zaid ya kusoma kwenye vimitandao uchwara na UNCLASSFIED data zao, ila endeleeni hivo hivo wataalamu wangu wa majeshi ya nchi kavu,majini, nuclear, angani hahah

Bora umesema ww
 
Haha..kwa vile israeli wamepiga usingizi......Iran ,wana laana.Ya kukana utamaduni ambao wazazi wao waliuapia na kuuwekea wakfu na sasa wamevaa utamaduni wa kifo.Juhudi zote zinafanyika kwa mwito wa shetani ili wawahi ktk kifo.The first Bomb litapasuliwa angani ,au nchi jiran za kiarabu na km ni Nuclear .Iran itakuwa jangwa lililochafuliwa na mionzi....Ni kwamba hujui kwanini mataifa km US wana kambi dunia kote?Na zimekaa kimikakati.Ili waweze respond haraka iwezekanyo kwa kupeleka zahma nyumbani kwa adui.

Kwamba umewai ishi iran
 
Kwamba umewai ishi iran
Umeisoma wapi?Au ndio unataka jiintroduce kuwa ulipata scolarhip za kwenda jifunza ugaidi?Un aharaka kwelikweli ili uanze badili thread..ila sijui km itakusaidia nini km TZ yenyewe huijui ingawa upo hapo.
 
Back
Top Bottom