Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,815
- 33,486
policy ya iran sio pre emption
hajui maana yake mfafanulie.
policy ya iran sio pre emption
Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes
![]()
Arutz Sheva 7 A senior figure in the Iranian Revolutionary Guards, Mujtabi Du Al-Nour,
threatened on Saturday that Iran will destroy Tel Aviv in ten minutes if Israel makes a mistake and strikes the Islamic regimes nuclear facilities. Al-Nour, who is a representative of
Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, in a talk with journalists responded to Foreign Minister Avigdor Libermans (Yisrael Beytenu) comments from Friday, when he said Israel
should stop talking and start acting by striking the facilities said to be developing nuclear weapons. If the Zionists were sure that they would win in war they would already have initiated it, but they dont have the strength to do that so they just threatened, blustered
Al-Nour. According to the Revolutionary Guards leader, Iran has rockets that can reach the heart of Tel Aviv within six or seven minutes, even before the rockets of the Zionists reach
us. The threat, coming as it does during Irans efforts to increase its nuclear output capability by 19-fold and feasibly obtain the ability to equip nuclear warheads on the rockets Al-Nour
claims the country possesses, gives extra urgency to Prime Minister Binyamin Netanyahus warnings against a bad nuclear deal. Netanyahu is posed to address the US Congress on March
3 about the Iranian nuclear problem in a speech that has raised uproar among the left in Israel and the US, given its proximity to March 17 Knesset elections. The speech is meant to warn
against leaving Iran with nuclear capabilities as talks between world powers and Iran approach a March 31 deadline, with Netanyahu warning the deal in its current formation would leave
Iran a nuclear threshold state, and a state which has threatened to destroy Israel as Al-Nour reiterated on Saturday. source.Iran says they will destroy Tel Aviv in 10 minutes
Umeisoma wapi?Au ndio unataka jiintroduce kuwa ulipata scolarhip za kwenda jifunza ugaidi?Un aharaka kwelikweli ili uanze badili thread..ila sijui km itakusaidia nini km TZ yenyewe huijui ingawa upo hapo.
Umeisoma wapi?Au ndio unataka jiintroduce kuwa ulipata scolarhip za kwenda jifunza ugaidi?Un aharaka kwelikweli ili uanze badili thread..ila sijui km itakusaidia nini km TZ yenyewe huijui ingawa upo hapo.
Utaelewa wapi km kinauma sana....kwanza hata tz hujawahi ielewa na km umeenda huko kwa akili zenu za Mohamed said....utaenda ishia kuamini site tours zinazoongozwa na guides waliotoka usalama wa Iran mafundi wa propaganda kuliko shivji,kitila na haroub othman..au bashiru...watakaoumbia ushujaa wa Mkwawa na kujishangaza kwanini hawajaweka ktk list ya mashujaa wa dunia.Kumbe ni wauza watumwa na vibaraka wa waarabu ktk jihadi dhidi ya wamisonary na kusika na kuuza watumwatatizo hueleweki,unakosea sp mno inaonekana unaandika kama umrepaniki ama unafukuzwa.
Mara nyingi pigo kubwa hutokea waovu wanapotegemea ushindi mkubwa na hivyo kuweka rehani sehemu kubwa.Iran itarudishwa zama za mawe..wakitupa bomu la kwanza la nuclear n akutawaliwa for life km japan,german etc.Iran watakachofanywa watakula kiapo cha kuachana na vita na kuanza fanya kazi kwa bidii kuliko.Mlevi wa pombe za kienyeji unatuchafulia uzi nenda kalalwe. Unaongea Upuuzk mtupu usio eleweka
Mara nyingi pigo kubwa hutokea waovu wanapotegemea ushindi mkubwa na hivyo kuweka rehani sehemu kubwa.Iran itarudishwa zama za mawe..wakitupa bomu la kwanza la nuclear n akutawaliwa for life km japan,german etc.Iran watakachofanywa watakula kiapo cha kuachana na vita na kuanza fanya kazi kwa bidii kuliko.
Tatizo ni kwamba una wivu sana na kuumizwa roho na chochote ulichowahi fanya ktk jeshi...halafu unaona raia wanajua analyse issue kuliko wewe.SItaki kuambia kila unayemwona hapa ni hajapita jeshini.MAra nyingi sana watu waliopitia msoto hata walimu huwa hawapendi sana wanapoona wanafunikwa wasiopitia hizo njia.Pole sana....usichojua tena ni kwamba kuna vitu vinajulikana na vipo true kwa raia,na true kwa wanajeshi....so blaha,,,na hasira za kususa kwako hazina msaada.
As if bomu kulipuka linachagua raia na jeshi, as if kifo kinachagua raia na jeshi, as if wanajesh nao akili zao ni tofauti..kaulize kwanini majeshi mengine yanashinda vita si kwa mafunzo wala nini ila kwa kutumia silaha maalumu km ndege au kutomia manuwari kutuma mambomu mbali kwa vile nao pia wanakula kichapo toka kwa raia ktk mazingira mengine.Ndio maana baadhi ya silaha wananyimwa raia wasiwe nazo kwa vile wakiwa level na Jeshi wanaweza shinda au kuleta madhara ambayo ilkipigwa round ingine wanajeshi wanaweza nyoosha mikono au kufanya ukora .Kitakuuma sana km ulidhani njia uliyopita na wengine lazima wapite na wewe upate pa kuwapimia nini cha kujua...utaumia sana.Kwa taarifa yako si kwamba sijaona sana issue za military academy...kwa taarifa yako wanajeshi wengi sana ni manual ktk na wanakuwa opearated km robot..wanafuata instructions kwa kiongozi wao ktk kila move.Hahah sawasawa mtaalam wa jeshi, unadhan mambo ya kijeshi ni kama porojo za siasa zenu za CCM na CHADEMA eeh, haya endelea kutudadavulia mtaalam wa jeshi.
As if bomu kulipuka linachagua raia na jeshi, as if kifo kinachagua raia na jeshi, as if wanajesh nao akili zao ni tofauti..kaulize kwanini majeshi mengine yanashinda vita si kwa mafunzo wala nini ila kwa kutumia silaha maalumu km ndege au kutomia manuwari kutuma mambomu mbali kwa vile nao pia wanakula kichapo toka kwa raia ktk mazingira mengine.Ndio maana baadhi ya silaha wananyimwa raia wasiwe nazo kwa vile wakiwa level na Jeshi wanaweza shinda au kuleta madhara ambayo ilkipigwa round ingine wanajeshi wanaweza nyoosha mikono au kufanya ukora .Kitakuuma sana km ulidhani njia uliyopita na wengine lazima wapite na wewe upate pa kuwapimia nini cha kujua...utaumia sana.Kwa taarifa yako si kwamba sijaona sana issue za military academy...kwa taarifa yako wanajeshi wengi sana ni manual ktk na wanakuwa opearated km robot..wanafuata instructions kwa kiongozi wao ktk kila move.
taking their size into consinderation,it need many nuclear bombs to destroy iran
I wonder if the US doesn't have that 'many' amount of nukes to destroy them !?
Hahah hata unachoandika sikielewi sijui unaongelea marobot, au military academic au mabomu au manowari au silaha Maalumu au ukora au silaha walizonazo wanajeshi, jipange uandike vizur hueleweki kabisaa.
kumbe nawe umeona,huyu member mwenzetu haeleeweki anaongea nini,sijui tatizo nini
kumbe nawe umeona,huyu member mwenzetu haeleeweki anaongea nini,sijui tatizo nini
Huyu Mpuuzi mwarabu koko sijui kala maharage ya wapi huyu........
Huwezi kupambana na Israel wala kuifuta Israel! Hiyo ni ndoto ya mchana!
Kila silaha itakayofanyika dhidi ya Israel haitofanikiwa! Whether anaamini au haamini it's there!
Huyu Mpuuzi mwarabu koko sijui kala maharage ya wapi huyu........
Huwezi kupambana na Israel wala kuifuta Israel! Hiyo ni ndoto ya mchana!
Kila silaha itakayofanyika dhidi ya Israel haitofanikiwa! Whether anaamini au haamini it's there!