Tumia akili japo kidogo Israel kwenye vita vya siku 12 ndiyo ilianza kuishambulia Iran kwenye usitishwaji mapigano unajua ilikuwaje mpaka aloyechokozwa akubali Ceasefire?
Ni kweli Iran alikubali kusitisha mapigano kwasababu Marekani na Israel zilikuwa zimejiandaa wakati Iran haikuwahi kufkiri majriani zake wataisaliti. Mazungumzo yalikuwa yanaendelea wakaviziwa.
Iran ilijua kuna military bases za Marekani zipo tayari. Walichofanya ni mbinu za kijeshi za ku retreat ili kujipanga.
Ndicho kilichotokea safari hii, wameshambuliwa wakajibu within 2 hours kwasababu walikuwa na plan ABCD .
1. Wakapiga kambi za Marekani zote middle East ili kuhakikisha hakuna kombora linazuiliwa
2. Wakapiga infrastructure za Nchi jirani, Jordan, Kuwait, UAE, Saud, Oman ili wasizuie makombora
3. Wakachosha mifumo ya anga ya Israel
Baada ya kumaliza, wanatemebeza kipigo , jana walisema wameingi offensive phase.
Israel inapigwa kila mji, kila mtaa ! makombora yanaingia popote .
Waajemi wanawatia adabu Wayahudi, siyo wapuuzi wa nchi za Kiarabu.
Muajemi anapigana na Marekani , Ulaya na Nchi za Kiarabu huku akitembeza bakora kwa Israel ikiwa mgongoni
Leo Netanyahu amesema '' Nimeongea na Trump tumekubaliana kwamba malengo yetu yatafikiwa kidiplomasia''
Juzi aliomba nchi za Ulaya zisadie , anapokea kichapo cha maana hajawahi kukutana nacho.
Iran ! ndiye mwamba wa middle East. Kafunga Hormuz , anatoza pesa kwa Yuan. Kapiga kambi zote za USA, kapiga nchi za kiarabu na Ulaya. Muajemi anapigana na Nchi zaidi ya 10 katika umasikini wa vikwazo wa miaka 40
Anatembeza kichapo kwa myahudi sawa sawa!
Katika vita hivyo ni dhahiri Israel aliibuka kidedea kwa kuweza kuilemaza mifumo yote ya ulinzi wa anga kulikosababisha Ndege-vita zao kutamba popote nchini Iran na kuweza kupiga popote bila kizuizi chochote na hakuna ndege-Vita yao iliyowrza kuangushwa na magaidi hao wa Iran.
Kuhusu Mashambulizi ya Iran nchini Israel hatakuwa na Impact kubwa kwa sababu makombola mengi sana yalipopolewa na mengine yaliangukia sehemu za wazi.
Kwa siku 12 hakuna askari wa Israel hata mmoja aliyekuwa na Iran alipoteza askari wengi sana Makamanda waandamizi akiwemo Mkuu wa Majeshi na ni Ujinga kudai kuwa Iran alishinda vita hivyo bila kuwa na Makamanda waandamizi na Mkuu wa Majeshi.
Unaongelea vita ya siku 12. Iran ilionyesha uwezo wa hali ya juu sana kwasababu makamanda waliuawa lakini vita ikaendelea. Makombora yalizuiliwa na Jordan, Saud Arabia, Kuwait, Oman, Iraq , UAE lakini yaliyopenya yalivuruga Israel. Muulize Trump ! Ndege za Israel ziliruka kutoka miltary bases za Marekani Kuwait, Oman, Jordan, Saud Qatar
Iran ikajifunza , this time around wakaanza kufuta vizuizi vya makombora, wakapiga nchi zote
Halafu wakapiga kambi za Marekani wakati wanatuma drones Israel
Baada ya kufuta vikwazo vya makombora , sasa wanatembeza kipigo Israel.
Yaani Israel imegeuzwa nyanya ikiwa mgongoni mwa Marekani , Ulaya na Nchi za Kiarabu.
Trump kaondoa Meli na vikosi vyake! Ulaya na Japan wanasema hilo ni la Israel ! hakuna anayetaka kukutana na kipigo cha Muajemi. Tel Aviv sasa ni Gaza 2.0 teh tehe teh ! Israel iliyosemwa haipigiki imechapwa kila kona , uchi! inapigwa kila usiku Iran inapotaka
Jeshi makini huwezi kuua Makamanda wake wakuu maana ukiua hao umeua Jeshi zima, Jeshi Makini huwezi kuua mkuu wa nchi kiulaini hivyo!!
Jeshi la Iran unaua makamanda wote wanaofuatia wanachukua madaraka na wanatembeza kipigo
Kuua makamanda hakujasaidia kitu kwasababu Israel inapokea kipigo haijawahi kupokea tena kwa nchi yenye vikwazo vya uchumi miaka 40. Muajemi anapiga na kufumua kila udogo wa Israel leo utatuambia nini.
Kinyume chake Jeshi la Israel limejizolea umaarufu mkubwa kwa kuwaangamiza viongozi wa Jeshi dhaifu la Iran
Na wanaofuati wanatoa dozi vizuri tu kuonyesha jinsi Jeshi la Iran llivyojipanga.
Yaani hao wanaotoa dozi siyo majenerali ni wadogo tu lakini Israel imegezuwa majivu
Israel inachukua kichapo na kila mtu anadharau jeshi lake.
Hivi kuna jeshi la Israel wakati Waziri mkuu kabebwa na Marekani na Ulaya huku akiomba msaada.
Vita imedhihirisha Israel si chochote si lolote bila Marekani na ulaya.
Israel Inachapwa kipigo cha mbwa koko! Tena inapigwa na nchi katika vikwazo miaka 40!
Netanyahu hana ofisi. Iran inapiga inapotaka
Mpaka leo hakuna kiongozi yeyote wa Israel aliyeuwawa zaidi tu ya Propaganda za kujifariji kuwa Netanyahu wamemuua wakati si kweli.
Wapo chini ya mahandakii wakisikiliza kipigo juu! wananyukwa vizuri na nchi iliyo katika vikwazo miaka 40
Wanapigwa wakibembea mgongoni mwa Mataifa ya magharibi! wanapokea kipigo bila huruma
Waziri mkuu Neta anaomba nchi za Ulaya na Japan zisadie maana kipigo ni kikali
Watu ambao hawajapitia mambo ya kijeshi mara zote hawawezi kumwelewa Trump katika Statements zake Trump anaweza kusema hili kumbe anamaanisha jingine kabisa!!
Kule JWTZ ulikuwa unasafisha vyoo na vyombo vya chakula. Kwa akili yako hata AK47 sijui kama unaweza kuitumia
Unasahau jinsi Iran inavyopoteza viongozi wa kijeshi na viongozi wengine?
Na inaendelea kutoa dozi, Israel inachukua kipigo hadi PM anaomba msaada wa Mataifa
Trump kaondoa meli zake zote kubwa na Lincoln imepigwa, Ford Imepigwa
Iran imetungua F-15 kwa mara ya kwanza !
Umesahau jinsi Jeshi la anga la Iran ambavyo halionekani kuonyesha upinzani kwa Ndege-vita za Israel na Marekani nchini Irani?
F-15 zimepigwa! nitajie Taifa lililowahi kutungua F-35 zaidi ya Iran
Wellm Israel inageuzwa Gaza ! inapokea kipigo kama M23 ya Congo! hakuna Iron dome, David Sling, Arrow, Patriot au upuuzi mwingine, Muajemi anapiga kila anapotaka na kwa wakati wake!
Israel inaonekana nyanya hata wavivu kama Egypt na Turkey sasa wanameza mate
Umesahau Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ambayo imeshindwa kuzuia Ndege-vita za Israel kupiga zinapotaka huko Iran? Au umesahau nini wakati Meli-Vita za Iran 36 zimezamishwa? Hilo hulioni umekalia ushabiki maandazi!!
F-35 Stealthy !
Mifumo ya Israel ipo wapi hadi nchi inegeuzwa jivu! Inapigwa haijawahi kutokea tangu Taifa hilo liundwe.
Tena inapigwa na ''mgonjwa' wa vikwazo vya uchumi wa miak 40. FIikiria bila vikwazo vita ingekuwaje,!
Myahudi anaynyukwa ! hana pa kutokea. Trump anaomba po! BB anaomba mataifa yasaidie maana kipigo ni kikali. Muajemi si wale Waarabu wapumbavu! ni muajemi, msomi na namba 4 kwa IQ duniani
Wale waarabu wavaa vilemba hawajui wafanye nini! hawamwezi mwajemi! kawatandika na wametulia
Wapeni MASHIA WA IRAN maua yao!
Dunia inashangalia kipigo cha wakubwa! Yaani juu ya mbeleko mtu anachukua konzi anachukua mikwaju!