Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,503
- 51,098
Marehemu hasemwi kwa ubaya. Msamehe kama alikukwaza. Siku ukifiwa na mtu wa karibu utakumbuka huu ujumbe.Hizo zote Ni juhudi za HAMNAZO.
Vinginevyo mchina na MIKOPO yake chefuchefu, Angekua kwa sasa ndio kinara.
itakuwa mikopo ya miaka ya nyuma kabla hawaja anguka hata libya nadhani itakuwa hivyoDuuu. Nimeshangaa kumuona Iraq anatudai pesa kibao
Iraq pamoja na Vita wana Maendeleo kuliko sisiiDuuu. Nimeshangaa kumuona Iraq anatudai pesa kibao. Hao wana shida ya vita vya wenyewe kwa wenyewe
Bora Iran mie nimeshangaa kumbe Africa kuna dona kantri?Mungu wanguu
Am speechless
Nimebaki nikiduwa a tu hadi sasa iran wamewezaje
Inauma sanaIraq pamoja na Vita wana Maendeleo kuliko sisii
tazama kulee Gaza wanalipuana daily lakini ukipaona mpaka unajiulizaa pako vzr kuliko kwetu kunakosifiwa kuna amaniii
Mbona Muisrael hatukopeshi, tatizo nini?
Deni ni deni tuuu ,haijaalishi, usitake kujibabaisha hapaa ,bakora imeingia mzayuni wa matagaitakuwa mikopo ya miaka ya nyuma kabla hawaja anguka hata libyanadhani takuwa hivyo
Wayahudi hatuwaoni humu sjui wameenda wapiMungu wanguu
Am speechless
Nimebaki nikiduwa a tu hadi sasa iran wamewezaje
IpiBora Iran mie nimeshangaa kumbe Africa kuna dona kantri?