Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

Udini gani sasa wewe, kwani umeambiwa Waisrael ni nchi ya Kikristo mpaka uhisi mada inakunangeni nyie wakiristo?

Mbona nilivyoitaja Marekani na Uingereza hukung'aka, ila nilivyotaja Israel umekimbia harakaharaka kuja kulalamika hapa!.
Hivi ukiwa na shida ya pesa unatangazia umma kuwa nahitaji kukopa halafu wenye pesa wanajitokeza au wewe mkopaji ndio unaangalia ukamkope nani ?
 
Muisrahell mpaka mkubali kubanduana wanaume kwa wanaume kama tabia zao zilivyo ndio atupe mkopo
Mikopo ni biashara tu kama biashara nyingine. Nadhani iletwe pia chart ya nchi zinazoongoza kuipa misaada Tanzania.

Lakini pia Tanzania haikuwa na mahusiano mazuri na Israel tangu enzi za Nyerere kutokana na mgogoro wa Palestina.
 
Anaturetea dawa za Ukimwi na vyandarua pekeee vinatosha kwa kuanzia maisha, na akituretea anatuambia tukubari ndoa za jinsia moja kwanza ndio tupate msaada
Kuna msaada wa mkopo na kuna misaada ya kibinadamu.. Israel alitusaidia for free alituanzishia jeshi la kujenga nchi JKT na misaada yote hadi silaha... akatujengea Hospital ya Bugando na Muhimbili zinatusaidia hadi leo hii alitujengea Soko kubwa la kariakoo losilo na mfano wake hadi vitukuu vyetu vitatumia... na mifumo bora ya kilimo alitupatia mbinu.. kiufupi Israel msaada wake ni elimu na tumefaidika...

Iran kwanza hata hiyo mikopo yake haijulikani labda ililipa mishahara ya maraisi na mawaziri.. ni ufisadi tu... na kama unajua msaada wa Iran kutudai tutajie usikute ni mkopo ya kujengea misikiti na pesa za kununulia tende arabuni.

Kuwait tunajua mikopo yake ni kujenga visima vua maji chumvi ni aidea za upuuzi tu..

Japan najua mkopo mkubwa ni barabara za kajima n.k ambazo zilishaharibika another upuuzi.

Ingekuwa raha barabara za concrete zilijengwa zamani so mnakuwa mnasikia raha kudaiwa na matunda yanaonekana...
 
Sasa ww utajuaje hiyo mikopo ya Iran wakati taari akili yako imeshakutuma usikubali Iran , ila Serikali yako inajua kuwa inadaiwa na Iran ,Serikali yako haitokuambia imekopa nn kwa nchi flan je ww umejuaje ?? Ila yote juu ya yote Iran ndio nchi inayoongoza kuwapiga tafu kupata ili kupata jeuri ya ww kukaa nyuma ya keyboard huku ukiitukana na kuiponda but taifa teure hata ubalozi wake uliowekwa juzi hapo dar kwa kulazimishwa ndio mnaona nchi inayowapiga tafu eeeeeeee ,kuweni na nyuso zenye haya basi
 
Deni ni deni tuuu ,haijaalishi, usitake kujibabaisha hapaa ,bakora imeingia mzayuni wa mataga
kama ndiyo furaha yako ni sawa ila nadhani una matatizo ya kulaumu na kutuhumu watu kitu gani pale kinahusu mataga ?huyo alikuwa anashangaa kwa hali ilivyo iraq ya sasa wanatukopeshaje? nijuavyo nchi hizo kabla ya kuangukia kwenye matatizo walikuwa wanatukopesha hata Libya pia walitukopesha nakumbuka enzi za mkapa alikopa pia Angola
 
Deni naloliona hapo nafikiri limejikita zaidi kwenye mafuta sio cash na ni ya zamani.
Kwa mfano Iraq na Libya hakuna serikali ya kusema inaikopesha TZ
 
Back
Top Bottom