siyo kweli, waarabu walianza mashambulizi ya collabo ili kuifuta IsraelHao wote walishambuliwa kwanza na Israel kabla hata hawajarusha risasi ya kwanza. Basically walivamiwa, ila ingekua one on one sidhani kama Israel wange survive.
Mbona mnaita watu kobazi na hakuna anayesema topic inabadilika...Mbona unakwepa mada, kobaz umeishiwa mada, umeanza topic nyingine ya Upinde
- LGBT rights in Iran have come in conflict with the penal code since the 1930s.
- There is a significant amount of literature in Persian that contains explicit same-sex illustrations.[20] A few Persian love poems and texts from prominent medieval Persian poet Saadi Shirazi's Bustan and Gulistan have also been interpreted as homoerotic poems
- Iran usenge walianza kabla ya waxungu, ingawa baada ya mapinduzi imepigwa marufuku, ushoga underground umeshamiri sana,
Study zinaonyesha usenge umeshamiri sana ktk nchi ambazo ni illegal, Iran usenge umeshamiri na walianza kabla ya wazungu, wana underground community zilizoshamiri, hata members wa IRG na maustadhi wapo kwa LGBTQMbona mnaita watu kobazi na hakuna anayesema topic inabadilika...
We mwenyewe ndiye umeanzisha mada ya ukobazi, tatizo lenu akili finyu kwamba kila anayepinga Israel ni kobazi.. hili linanishangaza sana...
Usianze kujificha kwenye kichaka cha watu wa aina hio wapo Iran , nachozungumzia hapa ni serikali kutambua usenge.... Benjamin Netanyahu ana clip zake akiwasifu na kuwakaribisha Israel....
Kwenye biblia na kitabu chao cha dini ya uyahudi ipo wazi Mungu hapendezwi na hio dhambi, lakini wameamua kukaza fuvu na wanafanya gay parade, Tel Aviv ni paradiso ya mashoga.. wakija kwenye kuiba ardhi za wenzao utaona wanavyorejea biblia na taurati ili kuhalalisha ushenzi wao...
Lakini taurati hio hio inakataza ushoga hawataki kuelewa, ndio maana tunawaambia hao washenzi ni vibaka na wezi wakubwa wanaotumia hivyo vitabu kuhalalisha ushetani wao....
taifa la mungu la mchongo,
Hivi hio nchi mnayosema imebarikiwa na ipi? hio nchi taifa teule , taifa la mungu, wanaofanya uasi na dhambi kubwa hio ndipo mnaita taifa la mungu , hivi hata kwa IQ ya mbuzi tu mnashindwa kujitambua?
Ni bora uwe masikini wa mali kuliko kuwa masikini wa akili....
Hawa washenzi ndio mnawaombea wayahudi weusi usiku na mchana, mnaweka vibendera kwenye ofisi na makanisa ?😂 😂
Hilo taifa mungu analibariki vipi ikiwa ushenzi kama huo umekatazwa kwenye kitabu chao na wao wanafanya?
Ndio maana naamini hizi dini mliletewa kuvurugwa waafrika, kuwa brainwashed.... badilika...
Labda mtoto wa juzi nachojua Israel alishambulia air force ya misri na kuiteketeza kabisa. Akalipua na maghala ya silaha so technically vita iliishia hapo maana Egypt alikua paralysed hata kabla hajarusha risasi ya kwanza.Five Arab countries—Egypt, Iraq, Jordan, Lebanon, and Syria—attacked Israel.
Israel ilishambulia in response to... wewe ndyo mwenye ubongo na uelewa wa watoto wa Generation Alpha, ingawa ni lizee lenye elimu ya kawaida, unashindwa kuelewa historical facts ambazo hazipindishwi, because that's what happened, baada ya kichapo baadhi ya nchi za kiarabu ziliomba kurudisha uhusiano na IrsarelLabda mtoto wa juzi nachojua Israel alishambulia air force ya misri na kuiteketeza kabisa. Akalipua na maghala ya silaha so technically vita iliishia hapo maana Egypt alikua paralysed hata kabla hajarusha risasi ya kwanza.
Alifanya hivyo hata kwa Iran alilipua silaha zote na air defence kabla hata Iran haijarusha kombora moja. Maana yake hii vita ya siku 12 Iran ameanza vita tayari hana silaha za anga ila kama ingekua vita ya face to face kama Russia na Ukraine nadhani Israel ingebaki historia tu.
Hebu onyesha picha ya hao LGBTQ wanatembea kwa maandamano Iran Tehran , ndipo niamini ukisemacho... zaidi ya hapo ni vi story vya kutafuta chatGPT na google , story ambazo zimetungwa na hata mimi naweza kuzitunga...Study zinaonyesha usenge umeshamiri sana ktk nchi ambazo ni illegal, Iran usenge umeshamiri na walianza kabla ya wazungu, wana underground community zilizoshamiri, hata members wa IRG na maustadhi wapo kwa LGBTQNimegundua wewe ni UPINDEunafanya tafiti kijanja, naendelea kukutoa matongotongo kuhusu LGBTQ wenzi wa IRAN, wanaendelea kustawi zaidi
Community Building:
Despite the legal restrictions, LGBTQ individuals in Iran have formed communities and support networks to share experiences, find solidarity, and offer mutual support.
Expression:
Some individuals express their identities and frustrations through various means, including online platforms and even through participation in protests against the regime.
The increasing prevalence of cyberspace played a pivotal role in providing LGBTQ+ individuals with platforms for expression and connection. The ability to communicate and organize online not only facilitated the growth of the movement but also marked a crucial turning point in the history of LGBTQ+ activism in Iran.
Hebu onyesha picha ya hao LGBTQ wanatembea kwa maandamano Iran Tehran , ndipo niamini ukisemacho... zaidi ya hapo ni vi story vya kutafuta chatGPT na google , story ambazo zimetungwa na hata mimi naweza kuzitunga...
Leta picha kama hizi LGBTQ wap makao makuu ya taifa teule la mungu... wanawake wakisagana na wanaume wakifirana, tena wana kiss hadharani mchana kweue na polisi wakiwalinda...
Yaani hawa ndio wa kupambana na wanaume kama Hamas? wanaume wamelegea kiasi hiki? 😂 😂 😂 😂
Nani kakudanganya wanawake Iran wapo oppressed, huu ndio uongo mnaonopewa na Israel...mwenyewe umewapenda UPINDE wenzakeo walivyo huru kwao, we huku unajificha usijulikane
😀harta kama ni LGBTQ, IDF hawatumii misuli kama HAMAS ni teknolojia, hata mlemavu anaoperate vyombo, ndyo maana mademu (IDF female pilots)wa israel waliomkojolesha na kumjambisha AYATOLLAH kule IRAN, akakimbilia kwenye mashimo ya nguruwe pori a.k.a kasongo
16 Israeli female pilots were in the skies over Iran — the same regime that spent years oppressing women. Now the tables have turned, from 30,000 feet. They are fighting for the FREEDOM of fellow Iranian women who are oppressed by the EVIL Islamic Regime.
Acha ujinga hapo sio Tehran, leta picha wanapita na parade la upinde pale Tehran...
View: https://youtu.be/Ai4U98GyI6c?t=43
mwenyewe umewapenda UPINDE wenzakeo walivyo huru kwao, we huku unajificha usijulikane
😀harta kama ni LGBTQ, IDF hawatumii misuli kama HAMAS ni teknolojia, hata mlemavu anaoperate vyombo, ndyo maana mademu (IDF female pilots)wa israel waliomkojolesha na kumjambisha AYATOLLAH kule IRAN, akakimbilia kwenye mashimo ya nguruwe pori a.k.a kasongo
16 Israeli female pilots were in the skies over Iran — the same regime that spent years oppressing women. Now the tables have turned, from 30,000 feet. They are fighting for the FREEDOM of fellow Iranian women who are oppressed by the EVIL Islamic Regime.
Unakataa nini?Mzee unalazimisha ionekane Israel alisaidiwa
Israel haina jeshi imara bana.Inashangaza taifa kupambana na kikundi cha mgambo, hawana air defense, hawana kifaru, hawana ndege wala silaha ya kueleweka, mwaka wa 3 hata kiatu cha mateka hawajakipata...
Siku ile siku ya kubadilishana mateka wametoka Hamas karibu 20,000 kushangilia ushindi ... kila siku IDF soldiers wanachinjwa... takwimu halisi ya askari waliokufa hadi sasa ni zaidi ya 10,000... injured ndipo usiseme...
Kwa sababu sote tunaielewa Israel huwa wanaficha sana madhara ya kivita na hasara waliopata... kwenye propaganda wanatumia 150 million usd...
Kwenye vita ya siku 12 walianza kutumia Police kuwakamata raia waliokuwa wanarekodi makombora ya Iran yanavyoshuka.... tulishuhudia kwa macho yetu wakiwafukuza waandishi wa habari kwenye maeneo yaliyopigwa na Iran...
Israel haina uwezo kupambana na Palestine wakiachwa wapambane, US asipoiwezesha fedha Israel, wasipopewa silaha wala intel, Israel haina uwezo kupambana na Hamas.. hilo sina shaka nalo.. Hamas wana commandos ambao Israel hawapo..
We Kenge Egypt alimpiga Israel 1973 hadi Golda Meir alijihuzuru kwa aibu uwaziri mkuu wa Israel.Muulize Egypt, Syria na Lebanon walivyofanya miaka ile na kilichowakuta hawatasahau...Israel ni namba ingine
Wewe ndyo JINGA imbecile, sikiliza vizuri, hao ni mashoga wa Iran in exile wanwapambania mashoga wenzao ndani ya IranAcha ujinga hapo sio Tehran, leta picha wanapita na parade la upinde pale Tehran...
Leo utatafuta kwenye internet hadi vidole vikuume.. 😂 😂
Meir resigned in 1974, after her coalition government was unable to form a government, inaitwa DEMOCRACY!We Kenge Egypt alimpiga Israel 1973 hadi Golda Meir alijihuzuru kwa aibu uwaziri mkuu wa Israel.
KOBAZ KAMA HUELEWI NGELI HUWEZI ELLEWA HIYO VIDEO, Iran ushoga wameanza kabla ya wazunguAcha ujinga hapo sio Tehran, leta picha wanapita na parade la upinde pale Tehran...
Leo utatafuta kwenye internet hadi vidole vikuume.. 😂 😂
Waende kuwapambania Iran, hao ni wahuni wamelipwa pesa kuandamana nchi za wengine kuichafua Iran...Wewe ndyo JINGA imbecile, sikiliza vizuri, hao ni mashoga wa Iran in exile wanwapambania mashoga wenzao ndani ya Iran
Meir resigned in 1974, after her coalition government was unable to form a government, inaitwa DEMOCRACY!
nimeshatuma wa ndani ya Iran, ni florishing underground busnessWaende kuwapambania Iran, hao ni wahuni wamelipwa pesa kuandamana nchi za wengine kuichafua Iran...
Leta picha ya hao LGBT wakiwa ndani ya Tehran...
Picha za LGBT wakiwa Tel Aviv nimekuonyesha...
Acha ngonjera na upuuzi, weka hapa picha ya LGBT wakiwa Tehran...KOBAZ KAMA HUELEWI NGELI HUWEZI ELLEWA HIYO VIDEO, Iran ushoga wameanza kabla ya wazungu
View: https://www.youtube.com/shorts/zSvVzkLBbDs?t=7&feature=share
wewe ndyo MPUUZI nimeshakwambia Madevu anaua LGBTQ so wako undergraound kibao, wenye uwezo ndyo wanaenda exile, sijui unachobisha yaani as if IRAN ndyo mbinguni kwenuAcha ngonjera na upuuzi, weka hapa picha ya LGBT wakiwa Tehran...
Ukianza kurudi nyuma hivi unaelewa Sodoma na Gomora zilikuwa Israel ya sasa?
Hao ndio wataalamu na mafundi wa hizo kazi...
Punguza ujinga.. hakuna taifa linawazidi ukongwe hao waIsrael kwenye hio kazi..
Weka picha hapa LGBTQ wapo Tehran ...nimeshatuma wa ndani ya Iran, ni florishing underground busness
View: https://youtu.be/FCT4yEHZ1uk?t=29Fighting for Freedom - An LGBTQ + and Women’s Struggle in Iran
In 2001, an online Iranian LGBT rights organization called "Rainbow" was founded by Arsham Parsi, a well-known Iranian gay activist, followed by a clandestine organization named the "Persian Gay and Lesbian Organization". As of 2008, this group has been renamed as the "Iranian Railroad for Queer Refugees" (IRQR). While the founder of this group had to flee Iran and continue his work as an exile, there is an underground LGBT rights movement in IranAcha ngonjera na upuuzi, weka hapa picha ya LGBT wakiwa Tehran...
Ukianza kurudi nyuma hivi unaelewa Sodoma na Gomora zilikuwa Israel ya sasa?
Hao ndio wataalamu na mafundi wa hizo kazi...
Punguza ujinga.. hakuna taifa linawazidi ukongwe hao waIsrael kwenye hio kazi..