zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,403
- 40,306
Nalazimisha kivipi? Kwani si marekani ndio ililipuwa vinu vya nuclear ama nini nimedanganya? B-2 bombers si za USA zilitumika?Mzee unalazimisha ionekane Israel alisaidiwa
Acha uongo walishambuliandio maana mpaka Leo kaishia kupiga majumba,
Haujui hii ni effective kuliko ballistic missile? Maana ndege inapiga target directly kuliko kutuma kombora 3000 km mpaka lifike limeshakosa ile precision.alikuwa anatumia kurusha mabom kutoka kwenye ndege....
Hamas wakijenga handaki mnawaita cowards ila wayahudi aah ni strategy? Kwa akili hizi ndio maana hata Mossad wamefeli kuwapata mateka kwenye eneo Size ya kariakoo tu.ukija israel kwa jinsi walivyozungukwa na maadui pande zote inasababisha nchi nzima kuwa na shelter nyingi chini ya ardhi....98% ya waisrael walikuwa chini kipindi cha vita...
End time prophecy ipi? Acheni brain washing hata enzi za Hitler walisema ndio mpinga kristo and blah blah hakuna sehemu bible inaitaja Russia acheni kubangaiza kulazimisha narrative zenu za kuhalalisha huu uhuni.end time prophecies ipo wazi sana kuwa russia
Rudi kasome biblia yako wapi imetaja neno waislam? Acheni upotoshaji wa kuwaabudu hao wahuni.kutaka kuifuta Israel na bado Israel itashinda.
Kichwa pumbu...itakuwa ni pigo takatifu la laser weapon from space, yaani ni moto toka angani
Another kichwa pumbu....Haijalishi mikakati hakuna wa kuishinda kivita Israel hapo mashariki ya kati, in fact end time prophecies ipo wazi sana kuwa russia atayakusanya mataifaya kiislamu na mengine mengi tu kutaka kuifuta Israel na bado Israel itashinda.
Hapana Israel alikuwa supported na USA, UK, France, Germany, Saudia, Jordan n.k zote hizo zilishambulia targets za Iran, hezbollah, Hamas na Houthi n.k
Mind you hapo nchi ni Iran pekee hivyo vingine ni vikundi tu havizidi hata watu elfu 10!!
Imagine sasa Iran angekua na support ya Russia na China au N.Korea!! Unadhani nini kingetokea?
BTW hii sio vita ya kidini ndio maana hta Saudia na Jordan zilisaidiq Israel
Umeandika gazeti zima alaf wenye akili wameipuuza comment yako. Jitafakari ndugu yang, sio kila kitu kinachohusu Israel pamoja na Shetaninyahu wenu ni vya kutetewa.Vita ni mkakati sio kujipigia tu popote ndio maana Iran alirusha makombora mengi bila data...ndio maana mpaka Leo kaishia kupiga majumba,lakini Israel alikuwa na mkakati kwamba Wanataka kuua viongozi tu ndio maana ile vita imeua viongozi wengi wa jeshi na wanasayansi kwa sababu ndio lengo lao...ilifika sehemu walitaka hadi kumuua ayatollah marekani akawakataza....iran yenyewe inakili wameuliwa watu zaidi ya 800 achilia mbali viongozi....ukija israel kwa jinsi walivyozungukwa na maadui pande zote inasababisha nchi nzima kuwa na shelter nyingi chini ya ardhi....98% ya waisrael walikuwa chini kipindi cha vita.....nakukumbusha tu vita ni plan ndio maana hujasikia israel karusha ballistic missile kwenda Iran sio kama Hana anayo shehena ya kutosha kwa sababu ana plan yake ndio maana alikuwa anatumia kurusha mabom kutoka kwenye ndege....
Middle east population ya >300 million, nchi zenye majeshi high tech inateswa na Irael yenye Population ya 9.5 MillionViongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.
Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali
Balozi za Uingeleza, Ujerumani na Uswisi zimefungwa
*Oooh hujui inasaidiwa na marekani yenye population ya >300M.million, nchi zenye majeshi high tech inateswa na Irael yenye Population ya 9.5 Million
Sasa mbona walidanganya kutungua f35?Israel ilituma magaidi walioutumia drones kulenga ADs za Iran..
Kama Israel hakusaidiwa ndege ya Marekani ilifuata nini nchini Iran?Mzee unalazimisha ionekane Israel alisaidiwa
HAISAIDIWI, wanasaidiana military and civilian technologies, siyo colloabo ya kinyonge/MUTUAL PARTNERSHIP*Oooh hujui inasaidiwa na marekani yenye population ya >300M.
*Pia sio middle east nzima inapambana na Israel in fact Israel ana marafiki wengi middle east kuliko Iran.
- Israel bila USA hamna kitu ndio maana hata kulipua vinu vya nuclear ilifanywa na USA.
- Saudi, Jordan n.k zilisaidia Ku intercept baadhi ya missiles zinazotoka Iran.
Get your facts straight
Kwani Hamas wanawahifadhi wapalestina kwenye mahandaki Ili kuwalinda dhidi ya mashambulizi ya Israel?Hamas wakijenga handaki mnawaita cowards ila wayahudi aah ni strategy? Kwa akili hizi ndio maana hata Mossad wamefeli kuwapata mateka kwenye eneo Size ya kariakoo tu.
Mosab Yousef, huyu ni mtoto wa fouder wa HAMAS, unachoshangilia yeye anakipinga na anaona ni mashambulio ya kipuuziHamas wakijenga handaki mnawaita cowards ila wayahudi aah ni strategy? Kwa akili hizi ndio maana hata Mossad wamefeli kuwapata mateka kwenye eneo Size ya kariakoo tu.
Unaongea nonsense hata Iran imesaidia Drone technology huko Russia so its not a big deal.HAISAIDIWI, wanasaidiana military and civilian technologies, siyo colloabo ya kinyonge/MUTUAL PARTNERSHIP
The U.S. has provided strong support for Israel; it has played a key role in the promotion of good relations between Israel and its neighboring Arab states. In turn, Israel provides a strategic American foothold in the region as well as intelligence and advanced technological partnerships 😀
The development of Microsoft Windows, Intel computer chips, instant messaging, the cellular telephone and many medical devices all have significant research roots in Israel.
Mkuu, kwani Google app which Nation coded it, hivi unategemea ukitumia search engine hiyo kuzungumzia suala la vita kati ya Iran na Israel utapata HITS zipi, kama siyo ya kuipendelea Israel na kujaribu kuiponda IRAN mara zote wakiongeza chumvi wanafikiri watu hawana akili ya kubaini uongo na kweli.Nalazimisha kivipi? Kwani si marekani ndio ililipuwa vinu vya nuclear ama nini nimedanganya? B-2 bombers si za USA zilitumika?
Interceptors za meli vita na submarine za USA ndio zilitumika kuzuia makombora ya Iran yaliyoelekea Israel.
Mind you France, US na UK walitumia pia ndege vita kupiga targets ndani ya Iran.
Mkuu upo ulimwengu gani si hata ugoogle tu
Hii ni kawaida tu mtoto kuwa against baba hata Bush kuna ndugu zake walimpinga, same to Obama kuna kaka yake huwa anampinga wazi wazi so it's not news maana ni ugomvi wa kifamilia zaidi kuliko itikadi.Mosab Yousef, huyu ni mtoto wa fouder wa HAMAS, unachoshangilia yeye anakipinga na anaona ni mashambulio ya kipuuzi
View: https://youtu.be/pjOEJumoABg?t=13
Nadhani umekosea kuni quote maana hoja yangu ni pro Iran sijaelewa why unaniweka kwenye pro-israel category.Mkuu, kwani Google app which Nation coded it, hivi unategemea ukitumia search engine hiyo kuzungumzia suala la vita kati ya Iran na Israel utapata HITS zipi, kama siyo ya kuipendelea Israel na kujaribu kuiponda IRAN mara zote wakiongeza chumvi wanafikiri watu hawana akili ya kubaini uongo na kweli.
Kitu kingine hizo virtual ie not real interceptor za Merikani sijui na nchi gani mnazo zipigia debe hapa mbona zilionekana wazi wazi zikishindwa miserably ku-intercept missiles za Iran mbona kila kitu kilikuwa kinaonekana wazi wazi kwenye TV na
media nyingine, missiles za Iran zilikuwa zinainyeshea Israel kama mvua na Israel ADS na za marafiki zake kama nilivyo sema tangu mwanzo zilishindwa kudhibiti missiles za Iran, missiles za Iran zilikuwa zina uwezo mkubwa wa kukwepa ADS za Israel na marafiki zake, Dunia nzima ilikuwa inashuhudia wazi wazi (live) jinsi Israel ilivyo kuwa inapata kipigo cha mbwa mwizi, na katika historia ya Israel haijawahi kudhalilika kiasi hicho, ingawa na Hezibolla nayo iliwahi
kuipa fundisho Israel lakini hii ya Iran ilikuwa komesha kusema kweli na ndio maana walikata shauri kwenda kuomba msaada kutoka kwa Trump, lakini kuna baadhi ya watu hawataki hilo lisemwe, binafsi niliwahi kumsikia Trump akikiri kwamba this time Israel ilipigika kweli kweli missiles zilikuwa zinanyesha kama mvua hayo ni maneno ya Trump siyo ya kwangu, je,tuseme na Trump hajui alisemalo???
Mlisema Hamas ni cowards ndio maana wanajificha kwenye handaki. Sasa nyie wajasiri kwanini mnaficha raia zenu chini ya ardhi? Mtaacha lini kuwa cowards?Kwani Hamas wanawahifadhi wapalestina kwenye mahandaki Ili kuwalinda dhidi ya mashambulizi ya Israel?