Iran iko juu ya Israel kijeshi

Iran iko juu ya Israel kijeshi

Assassination ni task tofauti na nguvu za jeshi,watu wakewekeza kwenye assassination kama walivyowekeza Israel hawashindwi kupukutisha hao wateule feki
Kama una Jeshi dhaifu unawezaje kuwaua viongozi wa nchi adui?

Kama Iran yeye ana nguvu kuliko Israel nitajie kiongozi yeyote wa Israel waliyemuua!!

Viongozi kote duniani wanalindwa sana ukiweza kumuua basi itakuwa umetumia mbinu za halo ya juu sana kumuua kiongozi huyo.

Kwa Israel kitendo hicho ni rahisi sana kuliko kumsukuma mlevi na kama huamini muulize Hassan Nasrallah aliyekuwa akilindwa kama mboni ya jicho lakini aliangamizwa.

Israel huwezi kuolinganisha na magaidi wa Iran
 
Assasination inaweza kuonyesha namna vyombo vya usalama vya nchi husika visivyo makini au uwezo mdogo. Haswa kama assanition za mara kwa mara means nchi husika hawajifunzi.

Israel na washirika hawawez kufanikisha mipango yao ka iran ingekuwa iko vizuri kiusalama

Swali rahis, mara ya mwisho lini america imepoteza kiongoz wake kwa assasination? What about russia, what about china?
Acheni kujidanganya Iran hana ubavu wa kupambana na Israel na akashinda!!
 
Wachambuzi wa vita na hisia za kidini ngoja niagize kitimoto hapa kilo mbili hapa na beer
 
Watu hawana mpango wa assassinations,hiyo ni michezo ya marekani 1960-80s,hawara yake ndiyo kakomalia,yaani kawekeza kweli kweli kwenye assassination
Iran na hiyo tech yao na rasilimali zao wakiwekeza kwenye assassination watakua na efficiency kubwa tu
Lakini kumuua Trump au top military general itasaidia nini kung'oa mfumo?
Ayatollah kafa kachaguliwa mwingine, general huyu kafa kawekwa mwingine..kill the system,ni ujuha kufanya assassinations
Kwani hiyo mifumo inaongozwa na nani?

Viongozi wanapouliwa kizembe hivyo udhaifu ni wa jeshi husika!! Viongozi wanapouliwa nchi inakosa msimamo ndiyo laana Rais wa Iran anasema tusishambulie nchi jirani viongozi wengine wanasema lazima tushambulie!! Unashindwa kujua nani Rais wa nchi!!

Kila kiongozi ana kipaji chake cha kuongoza sasa wanapouliwa ovyo-ovyo kama wanavyouliwa Iran haileti maana yoyote kuwa kiongozi.
 
Kama kiongozi anaelindwa anaweza kuuwawa kama panya vipi kuhusu raia? Adui akiweza kuingia chumbani kwako unapo ficha siri zako amekumaliza
 
Kama una Jeshi dhaifu unawezaje kuwaua viongozi wa nchi adui?

Kama Iran yeye ana nguvu kuliko Israel nitajie kiongozi yeyote wa Israel waliyemuua!!

Viongozi kote duniani wanalindwa sana ukiweza kumuua basi itakuwa umetumia mbinu za halo ya juu sana kumuua kiongozi huyo.

Kwa Israel kitendo hicho ni rahisi sana kuliko kumsukuma mlevi na kama huamini muulize Hassan Nasrallah aliyekuwa akilindwa kama mboni ya jicho lakini aliangamizwa.

Israel huwezi kuolinganisha na magaidi wa Iran

View: https://www.instagram.com/p/DQMmhIHDX8n/?utm_source=ig_embed&utm_campaign=embed_video_watch_again
 
Kama kiongozi anaelindwa anaweza kuuwawa kama panya vipi kuhusu raia? Adui akiweza kuingia chumbani kwako unapo ficha siri zako amekumaliza
Wewe Siri zako u aficha chumbani kwako!?
 
Kwani hiyo mifumo inaongozwa na nani?

Viongozi wanapouliwa kizembe hivyo udhaifu ni wa jeshi husika!! Viongozi wanapouliwa nchi inakosa msimamo ndiyo laana Rais wa Iran anasema tusishambulie nchi jirani viongozi wengine wanasema lazima tushambulie!! Unashindwa kujua nani Rais wa nchi!!

Kila kiongozi ana kipaji chake cha kuongoza sasa wanapouliwa ovyo-ovyo kama wanavyouliwa Iran haileti maana yoyote kuwa kiongozi.
Bado unaamini Iran haina msimamo baada ya ayatollah kuuawa?.. marekani kesho anaenda kujadiliana na nani?.. wakati wa vita ni jeshi na vyombo vya usalama ndiyo huongoza nchi, Iran wameoneshaa uimara wa mfumo wa utawala
 
Iran iko juu ya israel kijeshi kutoka na video moja huko youtube?

Kaka fanya more research , else iran isingepoteza viongozi kirahis
Nyuma ya Israel yupo mmarekan + CIA
Nyuma ya iran yupo peke yake , Israel bado mdogo kwa mu iran
 
Kama una Jeshi dhaifu unawezaje kuwaua viongozi wa nchi adui?

Kama Iran yeye ana nguvu kuliko Israel nitajie kiongozi yeyote wa Israel waliyemuua!!

Viongozi kote duniani wanalindwa sana ukiweza kumuua basi itakuwa umetumia mbinu za halo ya juu sana kumuua kiongozi huyo.

Kwa Israel kitendo hicho ni rahisi sana kuliko kumsukuma mlevi na kama huamini muulize Hassan Nasrallah aliyekuwa akilindwa kama mboni ya jicho lakini aliangamizwa.

Israel huwezi kuolinganisha na magaidi wa Iran
Israel hupeqa taarifa za kiintelijensia na marekani na NATO jumlisha GCC,anachofanya ni kufyatua risasi tu,ni Trump ndiye aliyesema anajua wapi ayatollah hulala na akashangaa habadili sehemu za kulala
Ayatollah alikataa kujificha akisema wafucheni raia wote wa Iran kwanza, ndiyo maana mpaka leo unasikia makamanda wa Iran wanauawa majumbani wakiwa na familia zao
Mtume alikua msitari wa mbele vitani, kwenye uislam uongozi siyo ubwanyenye,ulindwe wewe wengine wafe kama panzi
 
Hizo ndizo Akili za kijinga za Wafuga Midevu na Majini!!

Wapi Ali kuambiwa Ayatollah alikataa kujificha? Huko kwenye handaki alikuwa anafanya nini?
Daima mnaposhindwa mnaleta TAQIYAH zenu kutuzuga kuwa alitaka aliweza ili awahi Mabikira 72?
 
Not without 90 million Iranians! Deceased Iran leader Khamenei refused relocation advice by security Not without 90 million Iranians! Deceased Iran leader Khamenei refused relocation advice by security

Maana nyi mazombie kujitafutia taarifa wenyewe hamuwezi,habari zenyewe mnazipata toka mnara wa mlinzi,radio Maria,kiongozi
 
Wapi UHARO huo alisema Gaidi Ayatollah Ali Khamenei? Mnamuwekea maneno mdomoni huyo kwisha habari yake tunamsubili mwingine!!

Kwanza mazishi yake lini yalifanyika? Au bado mmemvundika maana aliuliwa na Marubani wa ndege-vita wanawake hivyo kakosa sifa ya kwenda kupata mabikira 72
 
Walau umeona habari tena toka vyanzo vya makafiri wenzio
 
Back
Top Bottom