Iran iko juu ya Israel kijeshi

Iran iko juu ya Israel kijeshi

Kaka maandishi mengi huna facts, narudia tena kama iran angekuwa yupo vizuri as you said hapa asingekuwapo leo hapa alipo
Kumbuka unazungumzia taifa ambalo limewekewa vikwazo vya kiuchumi since 1979. Embu chukulia ingekua Israel ndio imewekewa vikwazo vya kiuchumi ingekua wapi!??
Tukienda techniacal terms huend israel akamzidi kwa vifaa, literaly israel na udogo wake wana ndege vita nyingi kuliko hata iran, and that ni airforce . What does iran have? Zaid ya missiles na drones?
Maybe na infantry . Nje ya hapo what else?
Unaizungumzia Israel ambayo inapewa zaidi ya $5 billions na USA for millitary aids na $ 4 billions na zaidi for Tel Aviv government budget. Yani unaitaja Israel ambayo inajazwa misaada ya silaha na fedha toka USA na EU tena unconditional aids. Ilhali Iran kufikia ilipofikia imepitia vikwazo vya kiuchumi na ARMY EMBARGO. Embu iweke Israel nafasi ya Iran je ingetoboa!?
Kwa missiles na drones hizo hizo alizonacho Iran anazitumia strategically na anasimama kivita.

Ubora wa jeshi unaoimwa kwa uwezo wa kurepel mashambulizi ya adui. And so far iran defence imefeli.

It doesnt mean hawana uwezo but wamefeli.
Hoja nyingine ya dhaifu bro,unasahau kuwa Iran anashambuliwa na mataifa mawili yenye nguvu ya kijeshi tena yakitumia ndege zaiddi ya 200 kwa wakati mmoja. Embu chukulia kama ingekua hata Ufaransa ndio inashambuliwa na 200+ fighter jets kwa wakati mmoja je ingetoboa!??
Hadi hapo tuisifu Iran imeweza kusimama na kujibu mashambulizi na kama isingekua Air defense system zao basi Iran ingekua majivu.
-Vipi USA iliweza ku repel mashambulizi ya Iran katika oambi zake 27 na balozi zake katika mataifa tano ya gulf states??
Tena ulinzi uliopo katika hizo balozi na hizo kambi ni sawa na uliopo USA. Je USA sio dhaifu? Je USA haijafeli?? Tena hapo ni Iran peke yake imelipua kambi zote hizo za USA na balozi za USA kwenye nchi 5 na kuziteketeza kabisa.
-Vipi Israel imeweza kuzuia makombora ya Iran? Je nayo haijafeli?
Kuachilia mbali wameshindwa kugusa ardhi ya Us. Means hawana jesh lenye uwezo wa kufika us na kushambulia.
Iran ilijikita kwa kuunda silaha za range ya middle east. Na sasa wanaunda silaha za ICBM. Mind you wakifanikisha kuziunda USA inaungua. Maana radar zote ambazo USA anazozimiliki zimeshindwa kufanya kazi mid east na ndio hizo hizo zinailinda USA soil.
Sourh china sea america hajafukuzwa, hajataka ku open war front nyingie as china ana us wanategemeana ki uchumi. So usitarajie direct war betwen china na us .
ALIFUKUZWA NARUDIA TENA ALIFUKUZWA. Ufilipino ni swahiba lia lia wa USA visiwa vyake vilipotekwa alilia sana kwa USA amsaidie kuvirejesha. USA alipeleka aircraft carrier na navy fleet South China sea.
Walipewa onyo na wakarushiwa dongfeng missiles karibia na mpaka wa maji waliokuwepo WAKAGEUZA.

Hoja zako dhaifu.
 
Imesaidia israel kwenye eneo ambalo watu hawatazami, ime weaken hezbollah and ime weaken leadership .
Japo kuangusha utawala wa i ra si kazi ya siku moja
Hizbollah unayosemea ina nguvu mara dufu ya mwanzo.
Northern Israel hakukaliki kuna internal displacement,Hizbollah wanashambulia kwa nguvu ambayo hata IDF hawakutegemea.

Kumuua Khamenei kulikua ni miscalculations,kumefanya utawala ufikirie ambayo hayakutakiwa kufikiriwa.
Hatimaye imeibua vita ya Jihad imeibuka kila upande wenye maslahi ya USA panalengwa. Hadi Iraq Usa maslahi yake yanalengwa na kikundi cha kijihadi.
Je hiyo ndio faida!??
 
Iran iko juu ya israel kijeshi kutoka na video moja huko youtube?

Kaka fanya more research , else iran isingepoteza viongozi kirahis
Hata mtoto mdogo akikuvizia kwa kushtukiza anaweza kuzikamata korodani zako. Iran ilikuwa kwenye mazungumzo na Marekani bila kujua kuwa wanapanga mpango wa kumuua kiongozi wa Iran. Hata hapa tz serikali haikuwa imejiandaa kwa watu kuchoma miundombinu ndio maana miundombinu mingi iliteketezwa. Lakini baada ya kujua walikuiona cha mtemakuni.
 
Watu hawana mpango wa assassinations,hiyo ni michezo ya marekani 1960-80s,hawara yake ndiyo kakomalia,yaani kawekeza kweli kweli kwenye assassination
Iran na hiyo tech yao na rasilimali zao wakiwekeza kwenye assassination watakua na efficiency kubwa tu
Lakini kumuua Trump au top military general itasaidia nini kung'oa mfumo?
Ayatollah kafa kachaguliwa mwingine, general huyu kafa kawekwa mwingine..kill the system,ni ujuha kufanya assassinations
Walidhani wakimuua khamenen basi wale waandamanaji wangejitokeza wengi zaidi kumalizia kuiangusha serikali, lakini haikuwa hivyo hata wao inawashangaza vibaya sana. Ndiyo maana Trump anawaita wajinga sana wasiostahili kusaidiwa.
 
Kumbuka unazungumzia taifa ambalo limewekewa vikwazo vya kiuchumi since 1979. Embu chukulia ingekua Israel ndio imewekewa vikwazo vya kiuchumi ingekua wapi!??

Unaizungumzia Israel ambayo inapewa zaidi ya $5 billions na USA for millitary aids na $ 4 billions na zaidi for Tel Aviv government budget. Yani unaitaja Israel ambayo inajazwa misaada ya silaha na fedha toka USA na EU tena unconditional aids. Ilhali Iran kufikia ilipofikia imepitia vikwazo vya kiuchumi na ARMY EMBARGO. Embu iweke Israel nafasi ya Iran je ingetoboa!?
Kwa missiles na drones hizo hizo alizonacho Iran anazitumia strategically na anasimama kivita.

Hoja nyingine ya dhaifu bro,unasahau kuwa Iran anashambuliwa na mataifa mawili yenye nguvu ya kijeshi tena yakitumia ndege zaiddi ya 200 kwa wakati mmoja. Embu chukulia kama ingekua hata Ufaransa ndio inashambuliwa na 200+ fighter jets kwa wakati mmoja je ingetoboa!??
Hadi hapo tuisifu Iran imeweza kusimama na kujibu mashambulizi na kama isingekua Air defense system zao basi Iran ingekua majivu.
-Vipi USA iliweza ku repel mashambulizi ya Iran katika oambi zake 27 na balozi zake katika mataifa tano ya gulf states??
Tena ulinzi uliopo katika hizo balozi na hizo kambi ni sawa na uliopo USA. Je USA sio dhaifu? Je USA haijafeli?? Tena hapo ni Iran peke yake imelipua kambi zote hizo za USA na balozi za USA kwenye nchi 5 na kuziteketeza kabisa.
-Vipi Israel imeweza kuzuia makombora ya Iran? Je nayo haijafeli?

Iran ilijikita kwa kuunda silaha za range ya middle east. Na sasa wanaunda silaha za ICBM. Mind you wakifanikisha kuziunda USA inaungua. Maana radar zote ambazo USA anazozimiliki zimeshindwa kufanya kazi mid east na ndio hizo hizo zinailinda USA soil.

ALIFUKUZWA NARUDIA TENA ALIFUKUZWA. Ufilipino ni swahiba lia lia wa USA visiwa vyake vilipotekwa alilia sana kwa USA amsaidie kuvirejesha. USA alipeleka aircraft carrier na navy fleet South China sea.
Walipewa onyo na wakarushiwa dongfeng missiles karibia na mpaka wa maji waliokuwepo WAKAGEUZA.

Hoja zako dhaifu.
Baada ya vita hii hakuna taifa litaiamini mifumo ya ulinzi ya marekani na Israel tena, wala silaha zao. Dunia itaelekea Iran na Urusi kutafuta silaha.
 
Mbona hoja zako za kitoto bro!??
Tena za kitoto sana.
Tukianza na Israel,Israel ipo chini kwa nguvu ya kijeshi na Iran.
Vita za hivi karibuni zimeonesha hilo. Israel haina capability ya kupigana na Iran katika all out war,pia wana lack endurance na resilience.
Kama isingekua Israel kupewa msaada na USA basi asingetoboa hata wiki.

USA mweupe kivita sehemu nyingi tu,ni hivyo teknolojia inamsaidia hususan katika masuala ya anga.
Ila akisimama na nchi ya kibishi hatoboi.
South China sea pale CHINA amemfukuza kama mtoto mdogo kwa kukosa uwezo wa kuzuia hypersonic missile.
-Korean war China amempasua vizuri tu USA Jangsari.
-Somalia 1993 amepasuka na kina Farah Aidid.
-Vietnam amepasuka na North Vietgong vizuri tu na akakimbia vita.
Msimpaishe tena na vita hii ya mwaka huu ndio imemvua nguo kabisa kiuwezo.
Iran tu imeweza kuteketeza kambi zake 27 za kijeshi middle east ambazo zina ulinzi sawa ama walau 90% na kambi zake za USA soil.
Chukulia kama Iran angekua anapiga hypersonic missiles ndani ya US soil hivi USA ingekuaje sasa hivi!??

USA anachotakiwa kushukuru hakuna vita iliyopiganwa katika ardhi yake.
Hayo masuala ya assassination attempts huwezi ukayafananisha na TOTAL OUT WAR ni mambo mawili tofauti.
Ingelikua hivyo basi alipouawa Syed Khamenei basi Iran ingeshateketea.
Marekani bila nyukilia ni hamna kitu.
Supapawa wa mchongo.
Paper tiger 🐅
Kubwa jinga linapigwa na Kila mtu.
 
Huyu jamaa sidhani kama anafuatilia hii ishu ama hii vita.
Hajui hasara aliyoingia USA na Israel kwasasa kwa kumuua yule mzee.
Hadi Pakistan maslahi ya USA na Israel yameguswa.
Anakwambia eti ilileta faida.
Trump anajuta kudanganywa na Netanyahu na kujiingiza kiboya. Trump haungwi mkono na wananchi wake kuhusu hii vita na hasara anayoisababishia nchi yao. Kuna uchaguzi unakuja hivi karibuni wa katikati ya mhula na kuna kombe la dunia ambalo maandalizi yake yamefunikwa na vita ya kipumbavu ambayo ameingia bila kutarajia. Anajiona kama vile amejinyea usoni, hata FIFA wameshikwa na butwaa kuhusu huu upumbavu wa trump.
 
Marekani bila nyukilia ni hamna kitu.
Supapawa wa mchongo.
Paper tiger 🐅
Kubwa jinga linapigwa na Kila mtu.
Wanasayansi wa Marekani na Magharibi walibweteka wakidhani wako juu sana kuliko wengine. Hata nchi ya Ugiriki ilianguka kwenye nyanja ya sayansi na elimu baada ya wananchi kubweteka na kujiingiza kwenye starehe na kujivunia usomi wao na kujisahau kufanya zaidi hadi wakapitwa na watu wengine. Hata Marekani itaanguka tu kwakuwa vijana wao hawataki kusoma mambo magumu tena, wanatumia vilivyoko kwanza na starehe za aina mbalimbali. Kuna siku Marekani itakuwa historia kama ilivyokuwa kwa Ugiriki.
 
Trump anajuta kudanganywa na Netanyahu na kujiingiza kiboya. Trump haungwi mkono na wananchi wake kuhusu hii vita na hasara anayoisababishia nchi yao. Kuna uchaguzi unakuja hivi karibuni wa katikati ya mhula na kuna kombe la dunia ambalo maandalizi yake yamefunikwa na vita ya kipumbavu ambayo ameingia bila kutarajia. Anajiona kama vile amejinyea usoni, hata FIFA wameshikwa na butwaa kuhusu huu upumbavu wa trump.
Mifumo ya ulinzi inayolinda Israel na kambi za USA mashariki ya kati ni mifumo ile ile inayolinda Washington DC na Pentagon.
Sasa chukulia Iran ingekua na kombora la kufika USA sijui ingekuaje.
Kambi zako zote 27 zimeshambuliwa kwa wakati mmoja na zimeharibika.
Iran inapigika hatukatai ila Iran imeonesha uanaume.
 
Wanasayansi wa Marekani na Magharibi walibweteka wakidhani wako juu sana kuliko wengine. Hata nchi ya Ugiriki ilianguka kwenye nyanja ya sayansi na elimu baada ya wananchi kubweteka na kujiingiza kwenye starehe na kujivunia usomi wao na kujisahau kufanya zaidi hadi wakapitwa na watu wengine. Hata Marekani itaanguka tu kwakuwa vijana wao hawataki kusoma mambo magumu tena, wanatumia vilivyoko kwanza na starehe za aina mbalimbali. Kuna siku Marekani itakuwa historia kama ilivyokuwa kwa Ugiriki.
USA imejidhalilisha
 
Iran iko juu ya israel kijeshi kutoka na video moja huko youtube?

Kaka fanya more research , else iran isingepoteza viongozi kirahis
We kapime akili zako kama kupoteza viongozi ndio wako chini Kumbuka ni wale wasaliti ndio wanatoa siri kwa kununuliwa kwa mamillion au billion bila vile Israel na USA hawana uwezo wa kugundua wewe upo wapi.
 
Wanasayansi wa Marekani na Magharibi walibweteka wakidhani wako juu sana kuliko wengine. Hata nchi ya Ugiriki ilianguka kwenye nyanja ya sayansi na elimu baada ya wananchi kubweteka na kujiingiza kwenye starehe na kujivunia usomi wao na kujisahau kufanya zaidi hadi wakapitwa na watu wengine. Hata Marekani itaanguka tu kwakuwa vijana wao hawataki kusoma mambo magumu tena, wanatumia vilivyoko kwanza na starehe za aina mbalimbali. Kuna siku Marekani itakuwa historia kama ilivyokuwa kwa Ugiriki.
Marekani inamtaji wa watu kutoka mataifa yote duniani ambao wanaipambania Marekani, wa iran wachina , wahindi , wakorea na nk wapo Marekani wanaitumikia kwa akili na kwa maarifa makubwa
 
Back
Top Bottom