Iran iko juu ya Israel kijeshi

Iran iko juu ya Israel kijeshi

We kapime akili zako kama kupoteza viongozi ndio wako chini Kumbuka ni wale wasaliti ndio wanatoa siri kwa kununuliwa kwa mamillion au billion bila vile Israel na USA hawana uwezo wa kugundua wewe upo wapi.
Bado huna facts kijana, usaliti ndani ya jeshi ni moja ya madhaifu ndani ya jeshi. The fact kwamba mpaka location za viongoz zinajulikana means kuna shida

Jeshi la amrekani lina wasaliti jeshini, kiongozi wao ameshafikiwa’ no

Udhaifu wa jeshi ni pamoja na kufeli kuwalinda viongozi wake haswa kufeli si zaidi ya mara moja
 
Vipi sina facts hivi wewe unaishi wapi Iran alipewa infomation yote ya Nuclear ya Israel na nani kama sio hao wanajeshi na mossad wa Israel kitu cha kwanza alicho fanya Iran katika mashambulio kule Israel aliwamaliza wote wanao husika na Nuclear na Israel wanaficha sa hivi hawana access tena ya Nuclear side hio Nuclear yao ni kama yai tu kwa sasa.

Hebu soma hapa

View: https://www.instagram.com/p/DVlqAXmEk4_/?igsh=MTFhbXdkN3V3bGQwZA==
 
Vipi sina fact hivi wewe unaishi wapi Iran alipewa infomation yote ya Nuclear ya Israel na nani kama sio hao wanajeshi na mossad wa Israel kitu cha kwanza alicho fanya Iran katika mashambulio kule Israel aliwamaliza wote wanao husika na Nuclear na Israel wanaficha sa hivi hawana access tena ya Nuclear side hio Nuclear yao ni kama yai tu kwa sasa.

Hebu soma hapa

View: https://www.instagram.com/p/DVlqAXmEk4_/?igsh=MTFhbXdkN3V3bGQwZA==

Russia intelligence claim? How is israel intelligence?
Kwamba na resources zote walizonazo wameishindwa , i doupt that and once again. Hiyo sio indication ya jeshi makini.

When viongoz wako wanapigwa na adui yule yule miaka nenda rudi, wajitafakari
 
Hahaha hivi wewe hujasikia babu yenu analalamika Russia intelligence wanampa infomation Iran. Ikiwa USA anasema vile na yeye super power uje wewe uitilie shaka hahaha 😂

Mwambie Shetanyahu atembee hivi bila bodyguard kama anaweza hi Leo kule Tehran na wako kwenye vita bado yuko barabarani kwa ajili ya siku ya Alquds

View: https://youtube.com/shorts/j0Bro5ExVYc?si=lJaj9cwssLqynYk7
 
Iran amewekeza sana, lakini hata simba akikutana na mbwamwitu wengi watampa changamoto. Halafu, Marekani na Israel wote wanamiliki silaha za nyukilia ambazo wanaweza kuzitumia kama watazidiwa sana na Iran.
huko kwenye nuclear mbali sana..mbona iran hata sasa makombora yake anayalenga yakatue makazi ya hao viongozi lakini hawafanikiwi na hayafiki? kwa nini wasiwekeze kwenye hilo kama unafikiri ni kazi rahisi?
 
Iran iko juu ya israel kijeshi kutoka na video moja huko youtube?

Kaka fanya more research , else iran isingepoteza viongozi kirahis
Ukinipa jina hata la diwani wa Israel aliyeuwawa nitaamimi hizi ngano zako!
 
Makobaz bhana 😂

Kelele nyingi, ila vitani mnalambishwa mchanga

Kama mnaona wivu Israel kuwa na USA, nanyi kuweni na Russia na China then moto uko pale pale
 
Ukinipa jina hata la diwani wa Israel aliyeuwawa nitaamimi hizi ngano zako!
Huwezi kulipata hata lile la mfagia barabara kwakuwa hakuna mtu hata mmoja anaruhusiwa kupiga picha wala kuandika na kusambaza tukio lolote lile. Matukio yao yamefungiwa gizani.
 
Makobaz bhana 😂

Kelele nyingi, ila vitani mnalambishwa mchanga

Kama mnaona wivu Israel kuwa na USA, nanyi kuweni na Russia na China then moto uko pale pale
Sisi haturopoki tunapoandika humu. Wameufyata mkia wao kwa Iran. Hasara waliyoipata Israel na Marekani is unspeakable. Very huge than expected. Israel will not remain the same for decades.

Two weeks kashindwa vita. Hizi wiki mbili ni baada ya Iron doom kushindwa kufanyakazi kabisa kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi kutoka Iran, Hezbollah na Houths kwa wakati mmoja. marekani imeshindwa kuzilinda mali zake zote kule ghuba. Huenda hizo 2 weeks ni za kwenda kufix mambo

View: https://youtu.be/V1ZWha11wQU?si=hbRpCFcDVhfc4qIG
 
Aliyekuambia huyu no muyahudi no nani?

Who cares!!!! Nani anatishika na meseji ya kwenye simu?

Nani hajui kuwa Bomb-Shelter zimeokoa watu wengi?

Nani hajui kuwa Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel imefanya kazi nzuri kuzuia makombola ya Iran?

Nani hajui Iran imepigwa kiasi ambacho si imara kama mwanzo?

Nani hajui kuwa Iran silaha ya ni Uongo na Upotoshaji??
 
Iko wazi, yaani ukiacha wapigane peke Yao, Israel hatoboi wiki
Ujinga ntupu unawasumbua Israel huwezi linganisha na Iran!! Ninyi mnaumizwa na Mahaba niue tu wala si chochote.

Hivi mnajua Iran ilivyo kubwa lakini anahangaika na anapigwa na viongozi wake kuuwawa .na hafanyi chochote kile.
 
Back
Top Bottom