Iran has killed all spies

Iran has killed all spies

Person 1: "What did U do when SA attacked you?"
Person 2: " I ran"
 
Mzee Iran waliwataarifu Iraq masaa6 kabla ya mashambulizi...Iraq wakawataarifu USA masaa mawil kabla sasa kama angekufa Mtu si ingekuwa ujinga?
BADO UJINGA UPO PALE PALE: Kitendo cha mfumo wao wa ulinzi kushindwa kuzuia makombora kupiga kambi kumewashtua. ni KAMA WAMEVULIWA NGUO HADHARANI. Kufa ama kutokufa kwa sasa siyo issue,issue ni USALAMA WA ASKARI WAO VITA VIKIZUKA! HAWAJIAMINI TENA.
 
Kumpiga teke chura sio kumkomoa bali ni kumuongezea mwendo
Hawajutii,wamejifunza so next time watakua more careful na usitegemee kitu kama hiko kitajirudia...
 
63 American spies with Canadian Passport waliwatambua baada ya ndege kupaa? Yaani intelligence yao ilishindwa kutambua all 63 Spies before??

Okey, let say walishindwa, so after being informed kwamba katika ile ndege kuna spies the only option ilikua kuitungua ndege, not even asking the pilot for emergency landing ili wawatie nguvuni hao so called spies??

Sent using Jamii Forums mobile app
I thought to ask the same question

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatafuta pakutokea

Mbona mnatia hasira ndugu wa wafiwa nyie? Hii shughul Iran imechemka... acheni kuokoteza fix..spy wapande dege moja kama tipa la mchanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"I say gentlemen, I do believe we are in a quite spot of bother "
 
Marekani siku hizi ni ya kuomba mazungumzo bila ya masharti? Wanatia huruma hawa watu
Mnatafuta pakutokea

Mbona mnatia hasira ndugu wa wafiwa nyie? Hii shughul Iran imechemka... acheni kuokoteza fix..spy wapande dege moja kama tipa la mchanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200112_213152_com.rt.mobile.english.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kujali kama habari ni kweli au si kweli, lakini mnatakiwa kuelewa alichoandika mleta mada kwamba:-Kwamba intelligence iligundua ndani ya ndege kulikuwa na Majasusi wanaotumia passposrt za Canada! Aidha, kwenye ndege kulikuwa na ABIRIA (sio majusi) 63 waliokuwa wanatumia passport za Canada! Hivyo basi, kama kulikuwa na Majasusi waliokuwa wanatumia passport za Canada, basi majasusi hao wapo AMONG 63 passengers! Which means, kati ya hao 63, kulikuwa na ama jasusi 1, au 2, au 3, au 4 na kuendelea, au hata wote 63 lakini haku-conclude kwamba kulikuwa na majasusi 63!!!
uko makini kiongozi
 
Mkuu uko vizuri sana kichwani ,mada hii imewashinda wengi mno kuielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana Nchi za Ulaya na America kusini zinawapa watu uraia ili ziwatumie, au wanatuma watu wao huku kuja kuishi na kufanya shughuli kama kilimo au biashara ili kurahisisha mambo ya ujasusi, Wahindi na waarabu wanatumika katika hili
 
Mzee Iran waliwataarifu Iraq masaa6 kabla ya mashambulizi...Iraq wakawataarifu USA masaa mawil kabla sasa kama angekufa Mtu si ingekuwa ujinga?
Sawa hawakufa watu ila mifumo yao yaulinzi ilikua wapi mpaka kuruhusu makombora yaka piga kambi zao

Kwamaana kama sio taaarifa wangekufa kama kumbi kumbi .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wana ubavu c wakifute hako kakundi wanachokaita kakigaidi wauone moto wake utakavyo wawakia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Israel ndo msajiri wa vyama vya siasa Lebanon hadi akifute cha hezbollah!! Kama ni kufuta chama si angefuta hamas! Israel haina mpango wa kufuta vyama vya siasa vya nchi nyingine, hao Hezbollah wanakwazana na Israel sababu ya kuisadia hamas, lakin pamoja na kusaidia bado wameshindwa kuizuia Israel kuendelea kukalia maeneo ya waarab, yaani mtu anakuja kujenga nyumba kwenye kiwanja chako afu wewe na ukoo wako mnaishia kupiga yowe tu!. Huko nyuma walijaribu kushirikia lakini mbabe akamaliza mchezo ndan ya siku 6.
Iran ndo ajaribu kuifuta Israel kwenye uso wa dunia kama alivyawaaminisha nyie wananchi wake, si mnapenda mabikra?!

Kwan HIZBULLAH Ndio Wenye Nchi HIZBU c Nikakikundi tu Chawanaharakati Kilichojikusanya Kupambana Na ISRAHELL Sasa wanashindwa Vipi Kukifuta (Kukiondoa Kwa Njia Yakijeshi au ndio wanazidi kuwaogopa kama hamas)

Wayahudi hawawezi kukabiliana na matishio ambayo yapo mlangoni mwao ya HAMAS na HIZBU watawaweza WAAAJEMI

Halafu Haya Mabikra Hua Ynawauma Sana Eeeh Poleni Lakinj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom