mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Umeshindwa kuwahurumia wazee huko kijiji?Teh teh teh hadi unatia huruma
dodge
Umeshindwa kuwahurumia wazee huko kijiji?Teh teh teh hadi unatia huruma
sasa unajibu nini na hiyo picha uliyo weka kichwa vitabu.kweli nchi kufika mpaka pale ni ngumu
Sent from my iPhone using JamiiForums
ili iweje ?, maana adhabu yake ni death sentence , sidhani kama walikua na muda huo wa kufanya execution na wakati nchi ilikua kwenye taharukiwawatie nguvuni
Hujui mambo ya Intelligence, watu wenye uraia pacha waogope sana wengi wao ni agents wa mashirika ya ujasusi ya huko Duniani, inawezekana hawakuwa wote 176 lakini inawezekana walikuwa wengiHao Canadians ni Iranians pia. Walikuwa na Duo nationality. Hii sijui ma spy ni pumba kama pumba zingine tu.
63 American spies with Canadian Passport waliwatambua baada ya ndege kupaa? Yaani intelligence yao ilishindwa kutambua all 63 Spies before??
Okey, let say walishindwa, so after being informed kwamba katika ile ndege kuna spies the only option ilikua kuitungua ndege, not even asking the pilot for emergency landing ili wawatie nguvuni hao so called spies??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamarekani hawawezi kutuma jasusi kijinga hivyo watu 63 wote wanachunguza nini ?? Halafu unadhani wao wajinga waondoke wote kama kondoo??Mkuu hakuna ukweli wowote ni propaganda za kipumbavu na kijinga.
Kuwakamata kungekuwa na faida maradufu kwa Tehran badala ya kuwauwa. Ni uzushi
Wameuwa raia wasio na hatia sasa ni uzushi tu.
Weka Source tuone ni lini msomali mmoja alijitoa muhanga akaua wasomali 200 kisa kutaka kuua mzungu mmojaunashangaa iyo, al-shabab anajitoa muhanga anaua wasomalia 200 na mzungu mmoja, target ni uyo mzungu,
Hahahaha Daaah humu ndani Kuna chai nyingi Eti Libya waliuawa watu million ....Hio Ndogo NATO Waliua Mamilioni Sababu Ya Gadaffi Wakaua Malaki Sababu Ya Saddam... n.k...m
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaglia uyo ni chizi!Hilo bao lako bora wangelipigia puli au wangetumia ndomu tu.
dodge
Us: kaua =qasim Suleiman MmojaWamarekani hawawezi kutuma jasusi kijinga hivyo watu 63 wote wanachunguza nini ?? Halafu unadhani wao wajinga waondoke wote kama kondoo??
Tena kwenye ndege moja??
Iran wote tumeiunga mkono kwa kitendo cha kuuwawa Gen wao kienyeji, nae mzembe anapanda gari kama la abiria wengine halina hata mtambo wa kumsaidia kudetect hatari yeyote....
Hasira zao wamezimalizia kwa abiria hawajaua hata mende kwenye kambi ya US...aibu kiwewe tu alipouwawa Mwamba Soleiman wakiona ndege wanajua sasa ni bomu lingine limeelekezwa kwa ayatollah..
Ayatollah mwenyewe analia wa maulai wamaulai ila ndio hivyo Soleiman kapigwa..wao wangepiga huko Huko sio abiria..ndege ilikua na watoto na akinamama.
Haina shida,Iran pia ilishawahi kuua US soldiers 241.Us: kaua =qasim Suleiman Mmoja
Iran: kaua =watu 50 Kwenye mazishi + watu 0 Kwenye makambi ya US pale Iraq + watu 176 Kwenye ndege ....total ya watu 226 na HAKUNA hata mmoja kati yao ni mmarekani......smh
Wewe wa wapi ? Umesahau?we mtoa mada una akili matope, yaani uue watu zaidi ya 150 kwa ajili ya maspies wawili au watatu
Hivi wale raia wa Marekani waliopewa tahadhali na ubalozi wao, waliondoka kwa usafiri upi?Logic but sizani kama CIA wanaweza kuwa 63 ndani ya ndege moja uo ni uongo labda walikuwepo watu kama 3 pengine mmoja.
Kama ni kweli kitengo cha usalama cha marekani kiliruhusu wasafiri wote pamoja basi kuna haja ya kuwafanyia uchunguzi waliowatuma.
Mambo ya usalama yamechange siku izi mashirika ya kijasusi yanawatumia adi, wanamitindo, wasanii hasa wa nyimbo za dini, wachezaji, wafanyabiashara, walimu wanafunzi, vilema hata wangonjwa
Uk inasemekana timu yake ya taifa iliyoenda Urusi kwenye kombe la dunia 2018 ilijaa majasusi kibao na waliondoka urusu na nyaraka kibao.
Angalia taifa la Marekani lilivyowekeza kwenye kila mchezo lengo waweze kufika popote duniani kwa kutumia mgongo wa michezo na kuchukua chochote au kufanya chochote.
Hakuna nchi duniani inayoweza kujizuia isifanyiwe ujasusi.
SourceThe recent Ukrainian Airplane incident in which the plane was shot down by an Iranian cruise missile in the land of Iran just a minutes after having taken off in Tehran and claimed the lives of approximately 176 passengers on board.
It has been finally revealed that, the Iranian government ordered the shooting down of the plane after its intelligence apparatus learnt in the last hours that ,some of the passengers in the Ukrainian Airline were US Spies camouflaged by Canadian Passports.
Remember that, the plane had 63 Canadian passengers, so, some of those 63 Canadian passengers were US and Israel Spies.
Tehran has not forgotten the assassination of its nuclear scientist which was carried out by Mossad agents who also were camouflaged by Australian Passports.
At first, they denied shooting down the plane, lastly they conceded,and said that they thought it was a missile.
Does a plane match a missile in such a way that it can be likened?
The CIA intelligence sources have questioned.
Sent using Jamii Forums mobile app