Iran has killed all spies

Iran has killed all spies

Mkuu hakuna ukweli wowote ni propaganda za kipumbavu na kijinga.

Kuwakamata kungekuwa na faida maradufu kwa Tehran badala ya kuwauwa. Ni uzushi

Wameuwa raia wasio na hatia sasa ni uzushi tu.
Wewe sema tu kwamba ni uzushi lakini kusema kuwakamata kungekuwa na faida maradufu sio hoja! Sio hoja kwa sababu unachoweza kupata ni intel kwamba ndani kuna spies or spy wanaotumia Canadian Passport lakini unaweza usiwe na uhakika ni yupi na yupi among 63 passengers with Canadian Passport!!

Je, utawaweka wote ndani?! Mbaya zaidi, unaweza kuwa na intel ambayo haijakamilika na kuwafanya mukamate wasio husika na kuwaacha au kumwacha jasusi husika!!!

Halafu hiyo kuwakamata ingekuwa na faida mbona kama umeizungumzia kirahisi sana?! Hivi unaamini US wanaweza kupeleka spies uchwara Iran wakati wanajua kabisa wakidakwa kitanzi kinawahusu?! Sehemu kama ile lazima upeleke unbreakable spies!!! Mateso yakimzidia anakupa taarifa ambazo ungependa kuzisikia kumbe hazina impact yoyote!!!

Naweza kukubaliana na wewe ukisema ni habari za uzushi lakini eti ingekuwa na faida sana kwao kuwakamata wakati umeambiwa tu ndani kuna spies suspects with Canadian Passports!!!
 
Wewe sema tu kwamba ni uzushi lakini kusema kuwakamata kungekuwa na faida maradufu sio hoja! Sio hoja kwa sababu unachoweza kupata ni intel kwamba ndani kuna spies or spy wanaotumia Canadian Passport lakini unaweza usiwe na uhakika ni yupi na yupi among 63 passengers with Canadian Passport!!

Je, utawaweka wote ndani?! Mbaya zaidi, unaweza kuwa na intel ambayo haijakamilika na kuwafanya mukamate wasio husika na kuwaacha au kumwacha jasusi husika!!!

Halafu hiyo kuwakamata ingekuwa na faida mbona kama umeizungumzia kirahisi sana?! Hivi unaamini US wanaweza kupeleka spies uchwara Iran wakati wanajua kabisa wakidakwa kitanzi kinawahusu?! Sehemu kama ile lazima upeleke unbreakable spies!!! Mateso yakimzidia anakupa taarifa ambazo ungependa kuzisikia kumbe hazina impact yoyote!!!

Intelligence has to do that with all sophisticated means

1. Finger print

2. Face detection

3. Back ground

4. Existence

5. Communication facilities

6. Other intelligence techniques

Sio assumption ambayo ndio hasa tunasema uzushi na upumbavu
 
Wairan wa tandahimba wanahiji faraja, waacheni wajifariji jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee,ngoja tuendelee kuwatia moyo US.
tapatalk_1578553239033.jpeg

dodge
 
Bush alisema hivi.

Una lakusema hapo?
U.S alisemaje baada ya kulipua hiyo ndege. Yaani Iran walikosa hata kisingizio cha maana wanakuja kusema walijua ni missile, bora wangesema walijua ni jet fighter au recon plane.
Screenshot_2020-01-12-17-33-18-1.jpeg

dodge
 
Intelligence has to do that with all sophisticated means

1. Finger print

2. Face detection

3. Back ground

4. Existence

5. Communication facilities

6. Other intelligence techniques

Sio assumption ambayo ndio hasa tunasema uzushi na upumbavu
The problem watu mnaleta mambo ya movies na series kwenye real world!! Tell me, tuseme wewe ndo head wa intelligence pale Iran! How would you play it?! Au ndo unachukua hao 63 Canadian Passport Holders kisha unaenda kuwafanyia hayo uliyotaja hapo juu?! Seriously unaamini baada ya kufanya fingerprint, facial scanning, background check, and whatnot, kisha ungeingia kwenye intelligence database yenu na ungekuta taarifa zao zinazowa-link na spying activities?!
 
Wewe wasema Mkuu
 
Bush alisema hivi.

Una lakusema hapo?View attachment 1320898

dodge
Huyu alikubali kuwa wamedungua ndege na walilipa fidia. Hakukubali kuomba msamaha wala kutoa samahani. Hawa waligoma kuhusika na kisha wakakubali. Yote hayo hayanishtui, tatizo ni pale wanapodai operator alishindwa kutofautisha signature ya missile na ndege ya kiraia. Yaani ashindwe kutofautisha speed, direction path, heat signature, radar signature ya ndege kubwa vile na missile ambayo inakuwa ndogo. Whatever radar system aliyokuwa nayo hii inanishangaza bado. Ingekuwa wamelipua ndege yao ya kijeshi tungesema friendly fire maana vinaelekeana kwa hivo nilivotaja.
 
Sidhanii kama jamaa walikua mashushu kwel ila kama wakiwa mashushu adhabu kama hio size yao wala haina haja yakuwaleta mpaka chini waka anza kutaka kukombolewa kwa diplomasia

Ukikamata mashushu unawapa adhabu kama hio ili liwe funzo kwawengine ambao akili zao hazijakaa sawa....
We jamaa nilikuona una akili ila nimegundua ni jinga kabisa... Kama wangekuwa spies ndege ingeambiwa irudi uwanjani ingerudi tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamfano tu mkuu hata kama kweli watakua walikua ni majasusi unahisi IRAN Inaweza kujitetea kwa hoja dhaifu Kama Hio ?!...
Ili kuhalalisha mauaji hayo ya raia, Iran ina uwezo wa kusema chochote ili mataifa wasimseme zaidi. Lakini kusema ati hao wote walikuwa majasusi, iweje hiyo ndege iamke uanjani bila shida yeyote hvi inaingia akilini kweli?? Walishindwa nini kuwazuia hadi wapande ndege na ndege iinuke ndo iangushwe??
Maswali ni mengi kuliko majibu. Iran iwajibishwe tu kwa mauaji yaso na sababu
Kuwajibishwa kulikopo kukubwa ni kulipa fidia wahanga tu No More....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao mbaloz ni wapuuzi sana maana dunia hii yakimamboleo hasa katika mabaloz wa ulaya na nchi zilizo endelea endelea

99% Ya Baloz Wao Hua Ni Mashushushu Jamaa Wampe Anachokistahili...
Wamemdetain balozi wa UK pia, bunge la Iran limekaa kwa dharula kujadili ulazima wa kumfukuza balozi huyo.

Wanadai yeye ndie kahamasisha maandamano uchwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamagharibi wauaji sanaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom