Iran has killed all spies

Iran has killed all spies

Ili kuhalalisha mauaji hayo ya raia, Iran ina uwezo wa kusema chochote ili mataifa wasimseme zaidi. Lakini kusema ati hao wote walikuwa majasusi, iweje hiyo ndege iamke uanjani bila shida yeyote hvi inaingia akilini kweli?? Walishindwa nini kuwazuia hadi wapande ndege na ndege iinuke ndo iangushwe??
Maswali ni mengi kuliko majibu. Iran iwajibishwe tu kwa mauaji yaso na sababu
 
The recent Ukrainian Airplane incident in which the plane was shot down by an Iranian cruise missile in the land of Iran just a minutes after having taken off in Tehran and claimed the lives of approximately 176 passengers on board.

It has been finally revealed that, the Iranian government ordered the shooting down of the plane after its intelligence apparatus learnt in the last hours that ,some of the passengers in the Ukrainian Airline were US Spies camouflaged by Canadian Passports.

Remember that, the plane had 63 Canadian passengers, so, some of those 63 Canadian passengers were US and Israel Spies.

Tehran has not forgotten the assassination of its nuclear scientist which was carried out by Mossad agents who also were camouflaged by Australian Passports.

At first, they denied shooting down the plane, lastly they conceded,and said that they thought it was a missile.

Does a plane match a missile in such a way that it can be likened?

The CIA intelligence sources have questioned.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila piamleta mada kumbuka cia na mossad watu wao wakifa huwa kamwe serikal zao hazikiri walikuwa spy hivyo kuna Dalili za uwongo hapa.
 
The recent Ukrainian Airplane incident in which the plane was shot down by an Iranian cruise missile in the land of Iran just a minutes after having taken off in Tehran and claimed the lives of approximately 176 passengers on board.

It has been finally revealed that, the Iranian government ordered the shooting down of the plane after its intelligence apparatus learnt in the last hours that ,some of the passengers in the Ukrainian Airline were US Spies camouflaged by Canadian Passports.

Remember that, the plane had 63 Canadian passengers, so, some of those 63 Canadian passengers were US and Israel Spies.

Tehran has not forgotten the assassination of its nuclear scientist which was carried out by Mossad agents who also were camouflaged by Australian Passports.

At first, they denied shooting down the plane, lastly they conceded,and said that they thought it was a missile.

Does a plane match a missile in such a way that it can be likened?

The CIA intelligence sources have questioned.

Sent using Jamii Forums mobile app
lugha nzuri, mada matango pori
 
we mtoa mada una akili matope, yaani uue watu zaidi ya 150 kwa ajili ya maspies wawili au watatu

Sorry, huyu ametoa mada na si yeye kahusika kulipua hiyo ndege.
Kama kuna mwenye matatizo ni aliye amuru hiyo ndege idunguliwe na si mleta mada.
 
Amerika na Israel iliwajibishwa lini kwa mauaji na unyama anaofanya? Au kwakua ni Iran?
Ili kuhalalisha mauaji hayo ya raia, Iran ina uwezo wa kusema chochote ili mataifa wasimseme zaidi. Lakini kusema ati hao wote walikuwa majasusi, iweje hiyo ndege iamke uanjani bila shida yeyote hvi inaingia akilini kweli?? Walishindwa nini kuwazuia hadi wapande ndege na ndege iinuke ndo iangushwe??
Maswali ni mengi kuliko majibu. Iran iwajibishwe tu kwa mauaji yaso na sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran walinishangaza eti wamefananisha ndege na cruise missile. Yaani ndege ya abiria ilivo na speed ndogo vile na radar signature kubwa washindwe kuitofautisha na kombola. Hata heat emission ya ndege ni ndogo kuliko ya missile
Ndio ufungue tafakari pana..then why waliishoot?
 
Logic but sizani kama CIA wanaweza kuwa 63 ndani ya ndege moja uo ni uongo labda walikuwepo watu kama 3 pengine mmoja.
63 American spies with Canadian Passport waliwatambua baada ya ndege kupaa? Yaani intelligence yao ilishindwa kutambua all 63 Spies before??
Niliuliza swali kama hili kwa hawa Mapopoma wa Lumumba sikujibiwa. Maspy wa Marekani 63 wapande ndege moja utafikiri nao wako kwenye payroll ya Makonda?
Bila kujali kama habari ni kweli au si kweli, lakini mnatakiwa kuelewa alichoandika mleta mada kwamba:-
It has been finally revealed that, the Iranian government ordered the shooting down of the plane after its intelligence apparatus learnt in the last hours that ,some of the passengers in the Ukrainian Airline were US Spies camouflaged by Canadian Passports.

Remember that, the plane had 63 Canadian passengers, so, some of those 63 Canadian passengers were US and Israel Spies.
Kwamba intelligence iligundua ndani ya ndege kulikuwa na Majasusi wanaotumia passposrt za Canada! Aidha, kwenye ndege kulikuwa na ABIRIA (sio majusi) 63 waliokuwa wanatumia passport za Canada! Hivyo basi, kama kulikuwa na Majasusi waliokuwa wanatumia passport za Canada, basi majasusi hao wapo AMONG 63 passengers! Which means, kati ya hao 63, kulikuwa na ama jasusi 1, au 2, au 3, au 4 na kuendelea, au hata wote 63 lakini haku-conclude kwamba kulikuwa na majasusi 63!!!
 
Iran walinishangaza eti wamefananisha ndege na cruise missile. Yaani ndege ya abiria ilivo na speed ndogo vile na radar signature kubwa washindwe kuitofautisha na kombola. Hata heat emission ya ndege ni ndogo kuliko ya missile
Hapa US yenyewe ilishindwa kutofautisha nini mpk ikalipua ndege ya abiria?
Screenshot_2020-01-11-07-14-10-1.jpeg

dodge
 
Amerika na Israel iliwajibishwa lini kwa mauaji na unyama anaofanya? Au kwakua ni Iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kakaa, acha tu ushabiki ka huo. Udungue ndege ya kiraia kisa imebeba wazungu?? Hii si vyema hata shetwani atakataa. Kule ndani walikuwepo watu mbalimbali, wanaotegemewa mno. Uwaue tu kwa sababu ya kiu yako ya damu au kwa sababu ya hasira ya kuuliwa kwa askari muuaji mkuu?? Sitaki hata kusoma utakacho andika tena
 
US ilivyotungua ndege ya abiria ya Iran unajua alichokisema George HW Bush?

Screenshot_2020-01-12-17-33-18-1.jpeg

dodge
 
Nijibu swali langu kwanza

Back
Top Bottom