Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,065
- Thread starter
-
- #201
Tazama Hii channel Al mayadeenMbona skyline ya Tel Aviv iko vile vile tu?
Hayo mabomu ya Iran yanatunguliwa juu kwa juu na mengine yanadondoka na kulipuka mchangani.
Tunamuwinda KHUMANEI kwa Sasa.....bikra 72 wamewapokea leo viongoz wanne top leaders magaidiHahaha yeye si ndio mchezo wake kupiga majumba hujaona Tehran kapiga majumba mimi nataka aendelea kupiga majumba Iran ili Tela Aviv igeuzwe desert
Huyo babu fala sana!
Hali ilivyo Tel Aviv...Mm nataka hayo maghorofa ya Tel Aviv yadondoke Yote, bila hvy Iran n kama paka shume tuu
π€£π€£Sasa mtu katuma makomboran150, mawili tu yamepenya, mpaka Sasa Kuna majeruhi mmoja tu!!!! Unataka atengeneze air defense gani Sasa????
Ndio nini sasa!?
Mpaka muda huu mmeua kiongozi gn wa Israel, hata kama n balozi wa nyumba kumi kumi nitajie πIran imejivua aibu, inaenda kubaki kuwa Taifa lenye heshima yake. Unaenda mchezea chatu singeli tena kinyume nyume, acha wamezwe.
Wewe unasubiri kusimuliwa?Zika lipue vichaka
Hao waoga sana, wameshakimbia si ndiyo walianza. Wamejificha, ila kaeni mkao wa kula, vita ndiyo imeanza kwa Iran.Mpaka muda huu mmeua kiongozi gn wa Israel, hata kama n balozi wa nyumba kumi kumi nitajie π
Mbona sky scrapers zipo freshi tu!Hali ilivyo Tel Aviv...View attachment 3367289
Huyu KHUMANEI siku zake zinahesabika huyu ndio anawacost wananchi wa iran...wananchi wenyewe hawataki kuongozwa kidini nchi inaongozwa kipumbavu watu Hawana uhuru na maisha yako..ndio mana hujasikia wakilalamika hapo wanaomba tu huyo KHUMA-NEI auliwe tu mana yeye ndio anawapa kichwa wengine , yeye mwenyewe kajificha
Ndio nini sasa!?
πππ
Hao wote nafasi zao zimezibwa tayari, na walioziba nafasi zao wapo kazini saa hii.
Ila nadhani itakuwa sio yeye, itakuwa kuna kijana anahandle akaunti yake, maana sidhani kama kwa umri wake anaweza kuwa calm kiasi cha kutweet mfululizo tena wakati kama huu.Huyo babu fala sana!
Yaani bado anaendelea kutumia Twitter?
Ndo maana wanaliwa vichwa kizembe sana.
Piga kabisa hizo mbuziii , mamaee zaoo .Yaani wawakande vya kutosha vilivyo leo hawa Wazayuni ,wayahudi feki ili wakiona neno Iran wawe wanadondosha kinyesi na mikojo
Sawa, mkiua hata balozi mmoja wa nyumba kumi kumi hapo Israel njoo uniite samia πsi mlikuwa mnanadi hivyo ? mnakana sa ivi ? Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu
hapa Iran anashusha zile Fattahs za mwaka 2020, za 2021 bado hazijaguswa