IQ Test: Kwanini Mzee Ishengoma alifurahia kuitwa " kaka" Na Mtoto wake wa kumzaa mwenyewe Tena mbele ya umati wa watu?

Code simple sana kwa uelewawangu.
Ishengoma ni babu wa cletus then huyo Renatus ni mtoto wa ishengoma ,so cletus amekua kaka sababu ame share jina la ishengoma na baba yake
Cletus ishengoma
Renatus ishengoma
Kwanini neno "SASA UMEKUA....." why now?
 
Hawa wote ni mapadri wako kwenye sherehe yao.

Baba ni brother senior kwa mwanae.

sasa mwanae nae kawa brother

therefore wataitana kaka
Umejaribu vizuri sana. However mapadre hawaoi. Haupo Mbali Sana Na jibu.

Nimeshatoa jibu tayari. Hawa ni wanasheria. Baba Ni wakili WA muda mrefu Na Dogo ndio kapata uwakili. Hapo Ni kwenye sherehe ya kumpongeza Dogo kuwa wakili. They have become Learned brothers

Kwenye mtihani wangu ningekupa 9 over 10. Big up Sana.
 
Bila shaka ni Imani za kifreemason
Nope they are lawyers. Baba Ni wakili WA muda mrefu Na Dogo ndio kapata uwakili. They have become brothers.. nimeshangaa update majibu kwenye Uzi wangu.
 
Ndio maana ya IQ Test. Ukidadavuliwa inakuwa haina maana Tena ya kuitwa IQ test.
Pia siolazima neno kaka litumike kwa mwanasheria / wanasheria .

Kijana angeweza kumu adress baba yake na kumwita KAKA, Bado watu wangepiga makofi na kufurahi vilevile.

Neno kaka ni heshima sio legal mandate kwa wanasheria tu.
 
Okay
 
Tayari nimesha update majibu kwenye uzi

Kwa heshima ya watu wote waliojaribu, nakushukuru kwa kuleta hii changamoto.

Lakini ulivyotoa jibu, imeshusha hadhi yote ya swali na kulifanya kiwango cha chekechea kabisa. Nonsense kabisa. Unaulizaje swali specific kwa umma?
Bora hata Kiranga hajakatiza hapa, tungemsumbua rafiki yangu bure apoteze muda wake kufanya mambo ya msingi.

Ndio maana wasomi wanasema ukipima uelewa au uwezo wa sungura kwa kuogelea au samaki kupanda mti itakua hautendi haki.
 
Pia siolazima neno kaka litumike kwa mwanasheria / wanasheria .

Kijana angeweza kumu adress baba yake na kumwita KAKA, Bado watu wangepiga makofi na kufurahi vilevile.

Neno kaka ni heshima sio legal mandate kwa wanasheria tu.

Zoezi lote limeingia mafuta ya taa!
 
Umejaribu vizuri sana. However mapadre hawaoi. Haupo Mbali Sana Na jibu.

Nimeshatoa jibu tayari. Hawa ni wanasheria. Baba Ni wakili WA muda mrefu Na Dogo ndio kapata uwakili. Hapo Ni kwenye sherehe ya kumpongeza Dogo kuwa wakili. They have become Learned brothers

Kwenye mtihani wangu ningekupa 9 over 10. Big up Sana.
Hili ni swali ambalo huwezi kupima IQ kwa mtu ambaye hana taaluma ya uwakili.

Hata einstein angekuwepo asingejibu swali hili
Kwa heshima ya watu wote waliojaribu, nakushukuru kwa kuleta hii changamoto.

Lakini ulivyotoa jibu, imeshusha hadhi yote ya swali na kulifanya kiwango cha chekechea kabisa. Nonsense kabisa. Unaulizaje swali specific kwa umma?
Bora hata Kiranga hajakatiza hapa, tungemsumbua rafiki yangu bure apoteze muda wake kufanya mambo ya msingi.

Ndio maana wasomi wanasema ukipima uelewa au uwezo wa sungura kwa kuogelea au samaki kupanda mti itakua hautendi haki.
Amezingua kishenzi.

Ni swala la taaluma ya afya ya mwanadamu umpime mtu wa misitu
 
Tatizo limeanzia kwenye swali. Sio tu taaluma ya sheria, lazima awe anamjua au kumfaham Ishengoma kwamba ni mwanasheria. IQ haipimwi namna hiyo.
 
Djaribu vizuri sana. However mapadre hawaoi. Haupo Mbali Sana Na jibu.

Nimeshatoa jibu tayari. Hawa ni wanasheria. Baba Ni wakili WA muda mrefu Na Dogo ndio kapata uwakili. Hapo Ni kwenye sherehe ya kumpongeza Dogo kuwa wakili. They have become Learned brothers

Kwenye mtihani wangu ningekupa 9 over 10. Big up Sana.
Nilikuwa nasubiri jibu lako kwa hamu sanaaa. Infact umenifanya mtumwa kwenye huu uzi.

Bt jb lako linakuja kwa watalamu wa sekta fulani kitu ambacho sisi tusioijua sekta hiyo ya sheria vzr hatuwez kuelewa. Hapo kaka ulikuwa unapima IQ za wanasheria na siyo sisi wakufundisha wala madaktari wala kwingineko.
Though naweza kusema 98/100 wamepata hilo swal kwa mujibu wao. Sisi walimu hapa tunasema kwa kuwa swali lilikuwa nje na uelewa wa wengi basi.
 
Jambo hili lilitokea katika sherehe maalumu Kwa ajili ya kijana Cletus Ishengoma.

Katika sherehe hiyo Ndugu Cletus Ishengoma alisikika akisema " NIMEFURAHI SANA KWA KUWA SASA , BABA YANGU MZAZI MZEE RENATUS ISHENGOMA , AMEKUWA KAKA YANGU"

Baada ya kusema maneno hayo ukumbi mzima akiwemo Mzee Renatus Ishengoma walipiga makofi Na kushangilia..

Baadae Mzee Renatus Ishengoma pia alipewa nafasi ya kusema chochote ambapo nae pia alisikika akisema " NIMEFURAHI SANA KWA KUWA SASA MWANANGU WA KUMZAA MWENYEWE, CLETUS AMEKUWA KAKA YANGU" Kauli hii ya Mzee Ishengoma pia lishangiliwa Sana na wanaukumbi wote..

IQ test questions.

1. Kwanini Ishengoma alisema Sasa nimefurahi Kwa kuwa baba yangu mzazi amekuwa kaka yangu.

2. Kwanini Mzee Ishengoma alisema " sasa nimefurahi Sana Kwa kuwa Mtoto wangu WA kumzaa mwenyewe , Cletus amekuwa kaka yangu"

3. Na kwanini ukumbi mzima ulishangilia Baada ya kusikia Kauli hizo kutoka Kwa Cletus Na baba yake mzazi?

4. Kwanini Mzee Ishengoma alifurahia kuitwa " kaka" Na Mtoto wake WA kumzaa mwenyewe Tena mbele ya umati WA watu.

U HAVE ONLY THIRTY MINUTES..

AFTER THIRTY NINUTES NITATOA MAJIBU.

JIPIME IQ YAKO

Update: Nasubiria Kwanza majibu ya Kiranga .

Jf mmeni dis apoint Sana mbona code nyepesi Sana HII aisee. Ukiweza Kwa kutumia Tu Jina la Ishengoma unaweza kutegua kitendawili kama unazima koroboi vile

N.b: Kama Na kiranga atashindwa kujibu swali hili basi nitajitoa Jf. And this is not a threat. It is a promise.
# My life moves in the direction of my words

# naona genius wetu Kiranga ameingia mitini. Upo East Coast time difference is 7 hrs hata kama ungekuwa west coast still time difference is 10 hrs or something .

Anyways Wacha nijibu mwenyewe

HILI NDIO JAWABU.

Ni hivi Mzee Renatus Ishengoma ni wakili msomi WA muda mrefu Na Bwana mdogo Cletus ambae ni Mtoto wa damu WA Mzee Ishengoma Na yeye ameapishwa kuwa wakili. Mawakili huwa wanaitana " Learned Brother" or " Learned Sister " whichever come first.

Mzee Ishengoma is happy now his son has become his Learned brother ( a lawyer/Advocate) vile vile Bwana mdogo Cletus anafurahi Na yeye amekuwa wakili kama baba Ake, Wana ukumbi wanapiga makofi kufurahi achievement ya kijana Cletus.

" Legal Professional is the only professional where by ur biological father or son can become your legally brother"

N.b: Niliwawekea Hadi Jina " ISHENGOMA ILI AT LEAST NI WA RAHISISHIE KUWAZA KWA SABABU WAHAYA WENGI HUWA NI MAWAKILI BUT STILL BADO MMESHINDWA KUUMIZA VICHWA. KWA WACHACHE WALIO JARIBU HONGERENI SANA.

Mods naomba mnisaidie kutag walioomba kutagiwa.

Mother Confessor Okwaaa Mamndenyi EINSTEIN112
Tafsiri ndogo huyu mzee hana busara yoyote kwa sisi tunaomjua kama anaweza tafuna binti kwenye umri na mtoto wake Hanna ambalo litakuwa la ajabu kwake.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nasubiri jibu lako kwa hamu sanaaa. Infact umenifanya mtumwa kwenye huu uzi.

Bt jb lako linakuja kwa watalamu wa sekta fulani kitu ambacho sisi tusioijua sekta hiyo ya sheria vzr hatuwez kuelewa. Hapo kaka ulikuwa unapima IQ za wanasheria na siyo sisi wakufundisha wala madaktari wala kwingineko.
Though naweza kusema 98/100 wamepata hilo swal kwa mujibu wao. Sisi walimu hapa tunasema kwa kuwa swali lilikuwa nje na uelewa wa wengi basi.
Stay in the know. An intelligence person unatakiwa kuwa una Jua vitu vingi Sana. Humu ndani Kuna Wana sheria but wameshindwa kujibu pia so it is not all about being ur professional or something but it is all about u being an intelligent person.
 
Kwa heshima ya watu wote waliojaribu, nakushukuru kwa kuleta hii changamoto.

Lakini ulivyotoa jibu, imeshusha hadhi yote ya swali na kulifanya kiwango cha chekechea kabisa. Nonsense kabisa. Unaulizaje swali specific kwa umma?
Bora hata Kiranga hajakatiza hapa, tungemsumbua rafiki yangu bure apoteze muda wake kufanya mambo ya msingi.

Ndio maana wasomi wanasema ukipima uelewa au uwezo wa sungura kwa kuogelea au samaki kupanda mti itakua hautendi haki.

Ndo maana ikaitwa IQ test. IQ test MTU anapimwa uelewa wake wa mambo mbalimbali in general. To know is a blessing and to do not know is a curse.

The code was very easy. I asked the same question at Nairalanders and I got the answer in less than five minutes..

Matter fact, humu ndani Hakuna wanasheria kwani?

Anyways " Ignorantia juris non excusat"

Bottom line Kwa kijana yoyote ambae ni graduate wa fun yoyote Ile hawezi shindwa kujibu swali rahisi kama Hilo..
 
Back
Top Bottom