IQ Test: Kwanini Mzee Ishengoma alifurahia kuitwa " kaka" Na Mtoto wake wa kumzaa mwenyewe Tena mbele ya umati wa watu?

Jambo hili lilitokea katika sherehe maalumu Kwa ajili ya kijana Cletus Ishengoma.

Katika sherehe hiyo Ndugu Cletus Ishengoma alisikika akisema " NIMEFURAHI SANA KWA KUWA SASA , BABA YANGU MZAZI MZEE RENATUS ISHENGOMA , AMEKUWA KAKA YANGU"

Baada ya kusema maneno hayo ukumbi mzima akiwemo Mzee Renatus Ishengoma walipiga makofi Na kushangilia..

Baadae Mzee Renatus Ishengoma pia alipewa nafasi ya kusema chochote ambapo nae pia alisikika akisema " NIMEFURAHI SANA KWA KUWA SASA MWANANGU WA KUMZAA MWENYEWE, CLETUS AMEKUWA KAKA YANGU" Kauli hii ya Mzee Ishengoma pia lishangiliwa Sana na wanaukumbi wote..

IQ test questions.

1. Kwanini Ishengoma alisema Sasa nimefurahi Kwa kuwa baba yangu mzazi amekuwa kaka yangu.

2. Kwanini Mzee Ishengoma alisema " sasa nimefurahi Sana Kwa kuwa Mtoto wangu WA kumzaa mwenyewe , Cletus amekuwa kaka yangu"

3. Na kwanini ukumbi mzima ulishangilia Baada ya kusikia Kauli hizo kutoka Kwa Cletus Na baba yake mzazi?

4. Kwanini Mzee Ishengoma alifurahia kuitwa " kaka" Na Mtoto wake WA kumzaa mwenyewe Tena mbele ya umati WA watu.

U HAVE ONLY THIRTY MINUTES..

AFTER THIRTY NINUTES NITATOA MAJIBU.

JIPIME IQ YAKO

Update: Nasubiria Kwanza majibu ya Kiranga .

Jf mmeni dis apoint Sana mbona code nyepesi Sana HII aisee. Ukiweza Kwa kutumia Tu Jina la Ishengoma unaweza kutegua kitendawili kama unazima koroboi vile

N.b: Kama Na kiranga atashindwa kujibu swali hili basi nitajitoa Jf. And this is not a threat. It is a promise.
# My life moves in the direction of my words
Baba na Mwana wanaweza kuwa Kaka,iwapo Wazazi wa Baba (Renatus) watamuasili(adopt) mwana(Cletus)..
Technically,ili uweze kuasili,lazima haki ya wazazi(parents rights) isitishwe..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Scenario ya 2:Ukizaa na mama yako mzazi, aliyezaliwa ni mwanao,na kwa kuwa pia ni mtoto wa mama yako,anaweza kuwa sibling/"kaka" yako kwa mama yako..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Scenario ya 3:Brother/kaka/ndugu katika imani..
Pengine mwanaye amerudi kuwa mtu wa Imani..
Kuitana kaka katika masuala ya imani/kiroho ni vitu vya kawaida sana

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Wanashauriana kama vijana,kama mi Baba yangu tushakua kama marafiki, tukipata time tunakunywa pamoja story za hapa na pale.watoto wa ujanani tunashida sana inafika mahala unkuta ulipochakata na dingi keshachakata sa kwanini msiitane Kaka
 
Good try but hujapatia. However nimependezwa na ulivyo fikiri kama ingekuwa mtihani ningekupa 7 out of 10
Sherehe ya Ushirika,
Scared ritual for the sake of their brotherhood,
Ukumbi mzima waweza kuwa members wengine.
 
Ila Taifa stars wameimarika sana,ila bahati haiku upande wetu...mambo ya "Baba mzazi" na "mwanangu wa kumzaa mwenyewe" mtajua wenyewe!
 
Sherehe ya Ushirika,
Scared ritual for the sake of their brotherhood,
Ukumbi mzima waweza kuwa members wengine.
Haujapatia lakini nimependa jinsi ulivyo Waza nakupa 8 ya 10.
 
Wanashauriana kama vijana,kama mi Baba yangu tushakua kama marafiki, tukipata time tunakunywa pamoja story za hapa na pale.watoto wa ujanani tunashida sana inafika mahala unkuta ulipochakata na dingi keshachakata sa kwanini msiitane Kaka
Zero
 
Back
Top Bottom