IQ Test: Kwanini Mzee Ishengoma alifurahia kuitwa " kaka" Na Mtoto wake wa kumzaa mwenyewe Tena mbele ya umati wa watu?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,103
27,084
Jambo hili lilitokea katika sherehe maalumu Kwa ajili ya kijana Cletus Ishengoma.

Katika sherehe hiyo Ndugu Cletus Ishengoma alisikika akisema " NIMEFURAHI SANA KWA KUWA SASA , BABA YANGU MZAZI MZEE RENATUS ISHENGOMA , AMEKUWA KAKA YANGU"

Baada ya kusema maneno hayo ukumbi mzima akiwemo Mzee Renatus Ishengoma walipiga makofi Na kushangilia..

Baadae Mzee Renatus Ishengoma pia alipewa nafasi ya kusema chochote ambapo nae pia alisikika akisema " NIMEFURAHI SANA KWA KUWA SASA MWANANGU WA KUMZAA MWENYEWE, CLETUS AMEKUWA KAKA YANGU" Kauli hii ya Mzee Ishengoma pia lishangiliwa Sana na wanaukumbi wote..

IQ test questions.

1. Kwanini Ishengoma alisema Sasa nimefurahi Kwa kuwa baba yangu mzazi amekuwa kaka yangu.

2. Kwanini Mzee Ishengoma alisema " sasa nimefurahi Sana Kwa kuwa Mtoto wangu WA kumzaa mwenyewe , Cletus amekuwa kaka yangu"

3. Na kwanini ukumbi mzima ulishangilia Baada ya kusikia Kauli hizo kutoka Kwa Cletus Na baba yake mzazi?

4. Kwanini Mzee Ishengoma alifurahia kuitwa " kaka" Na Mtoto wake WA kumzaa mwenyewe Tena mbele ya umati WA watu.

U HAVE ONLY THIRTY MINUTES..

AFTER THIRTY NINUTES NITATOA MAJIBU.

JIPIME IQ YAKO

Update: Nasubiria Kwanza majibu ya Kiranga .

Jf mmeni dis apoint Sana mbona code nyepesi Sana HII aisee. Ukiweza Kwa kutumia Tu Jina la Ishengoma unaweza kutegua kitendawili kama unazima koroboi vile

N.b: Kama Na kiranga atashindwa kujibu swali hili basi nitajitoa Jf. And this is not a threat. It is a promise.
# My life moves in the direction of my words

# naona genius wetu Kiranga ameingia mitini. Upo East Coast time difference is 7 hrs hata kama ungekuwa west coast still time difference is 10 hrs or something .

Anyways Wacha nijibu mwenyewe

HILI NDIO JAWABU.

Ni hivi Mzee Renatus Ishengoma ni wakili msomi WA muda mrefu Na Bwana mdogo Cletus ambae ni Mtoto wa damu WA Mzee Ishengoma Na yeye ameapishwa kuwa wakili. Mawakili huwa wanaitana " Learned Brother" or " Learned Sister " whichever come first.

Mzee Ishengoma is happy now his son has become his Learned brother ( a lawyer/Advocate) vile vile Bwana mdogo Cletus anafurahi Na yeye amekuwa wakili kama baba Ake, Wana ukumbi wanapiga makofi kufurahi achievement ya kijana Cletus.

" Legal Professional is the only professional where by ur biological father or son can become your legally brother"

N.b: Niliwawekea Hadi Jina " ISHENGOMA ILI AT LEAST NI WA RAHISISHIE KUWAZA KWA SABABU WAHAYA WENGI HUWA NI MAWAKILI BUT STILL BADO MMESHINDWA KUUMIZA VICHWA. KWA WACHACHE WALIO JARIBU HONGERENI SANA.

Mods naomba mnisaidie kutag walioomba kutagiwa.

Mother Confessor Okwaaa Mamndenyi EINSTEIN112
 
Kuna mapungufu kwenye habari yako Kwanza hujatuambia Ni sherehe gani?harusi?au ya kusimikwa upadri?au mahafali?
That is a part of the question Kwa Sababu ukitafuniwa Kila kitu itakuwa sio IQ test tena mkuu
 
Katika maisha ya mwanadamu kila mtu ana umuhimu wake, vile unavyojiona wa muhimu kadhalika mwenzako nae ni wa muhimu.

Huwezi kuuona umuhimu wa mwenzako huku kukiwa na tofauti au madaraja, unaweza kukosa umuhimu wa mtu kwa sababu ni mwanao, au mwanafunzi wako au mke na mume wako.

Lakini ukijishusha na kuwa sawa na kila mtu ndipo umuhimu wake hupatikana, kila mtu akiwa daraja moja na mwenzie ndipo umuhimu huonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata zero mkuu
 
Five sec one decision.
Qn no vs Ans
1. Kwanini ishengoma?? Kwanza Ishengoma hakutoa hii kauli bali mtoto wake Cletus ndiye aliyetoa hiyo kauli.
2. Kwanini mzee Ishengoma sasa alitoa hiyo kauli. Sababu ni kuwa alimsubria sana mtoto wake aweze kujumuika ukubwani yani kuanza majukumu kama ya mzee Ishengoma kwa muda mrefu na sasa mtoto amekubali kuyaanza hayo majukumu baada ya kuingia ukubwani. Hii inamanisha mtoto akiwa bado hajaoa ni ngumu sana kwa mzazi kuanza kumshirikisha mtoto mambo ya ndoa, siri za ndoa nk. Lakini mtot akisha oa hata kama amepishana na mzaz miaka 30 bado watajadili vzr mambo ya ndoa bila kuogopana.
3. Ukumbi ulishangilia kuona mtoto ameshafahamu kuwa ameshakuwa mkubwa na kuwa tofauti yake ni baba sasa hakuna hivyo ni sawa na angemwita kaka kwani kaka ndiye anayeweza kukwambia kila kitu mdg wake bila kukuficha wala kuogopa.
4. Kwanini sasa Ishengoma alishangilia?? Hii ni kwasababu ilimtatiza sana mzee Ishengoma hapo kabla akiwa anahisi mtoto wake anaenda kuwa mzigo na aliwaza angeanza vipi kuanza kuongea nae yaliyo sirini ilihali ni mwanae wa kumzaa?? Sasa haya maswali yalijibiwa na neno "kaka" hii ikimanisha mtoto wake Cletus anafahamu nini cha kufanya baada ya kumfuata mzee wake aliko.

Another extra time
 
Amekuwa sio mtoto tena, Bali mtu mzima baada ya kuoa. Ameingia kwenye brotherhood ya "wanaume"
 
Back
Top Bottom