IPv4 and IPv6 Connectivity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IPv4 and IPv6 Connectivity

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by bampami, Mar 10, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,859
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280
  Habari ya asubuhi wanajF!
  Naomba msaada katika hili.

  Nina moderm ya vodafone Mobile Broadband zte. Kila ninapounganisha na internet inakubali lakini kwenye IPv4 na IPv6 connectivity inaniambia No NETWORK ACCESS. Hvyo nashindwa hata kufungua page.Nawaombeni msaada namna ya kusolve hili tatizo.
  Ahsante.
   
 2. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,859
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280
  Naombeni msaada katika hili wadau.
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Try to be simple but clear. Watu kimya sabbau sidhani kama kuna aliyelewa tatizo lako kulingana na maelezo yako. Inawezeana wewe unachodhanini tatizo wala sio tatizo.

  Otherwise endelea kukomaa na kudodosa uelewe tatizo au jaribu kuelezea tatizo vizuri bila kujaribu kuelezea sababu ya tatizo.

  Unaweza kujaribu kwenda kwenye DOS command then run
  ipconfig /all ii ujue kama kati ya mashine unayotumia na ISP kuna mawasiliano
   
 4. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,859
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280
  thanks you brother, hope ntalitendea kazi.GBU
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujamfahamisha ataipata vipi hiyo run ipconfig/All?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. w

  wakwetu 2 Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata mi pia nisaidieni wakuu , tatizo nn na ina athari zozote kwenye internet na nibadilisheje
   
 7. j

  junior05 Senior Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu kweli hata mie bado sijakuelewa kwani hyo mobile broadband umepewa ip na ISP wako au vp
  Mana kwa uelewa wangu modem huna haja ya ww kuweka ip manual huwa inatumia DHCP meaning inapata ip automatically na inaweza kubadilika mara kwa mara kulingana na kupool available ones
  Na kama utaenda hapo kwenye ipconfig /all utaona ni ip gani unayotumia kwa sasa
  Nadhani ungejaribu kuwasiliana nao
   
Loading...