IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Hapo chini ni maneno ya KAFULILA siyo ya kwangu, kumbe KAFULILA anataka fedha za ESCROW walipwe Standard Chartered - Hong kong na siyo IPTL/PAP.
Ona KAFULILA anavyokili kuwa fedha za ESCROW siyo mali ya umma.

View attachment 192789

TAFAKARI CHUKUA HATUA DHIDI YA WANASIASA KANJANJA KAMA KAFULILA
 
kafulila mnasema ni mla rushwa nyie mnaowatetea haowahuni mko sawa?,tuliambiwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa mali ya tanesco hilo mbona leo halisemwi?Itakuwaje mali yenye thamani kubwa kama iptl iuzwe kwa bei hiyo?,wakati pesa zake zilizoko benki zinazidi hiyo bei yake? nchi imejaa wahuni kila sekta leo mnajiorganise kumsakama kafulila iliwanaoibiwa wasije amshwa.
 
Mpumbavu ana tabia ya kushupaa na Mjinga ana tabia
kuduwaa...prof.kabudi.....Somo kubwa sana ndugu...wewe kaa hivyo hivyo
na umbulula wako huo.
 
kafulila mnasema ni mla rushwa nyie mnaowatetea haowahuni mko sawa?,tuliambiwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa mali ya tanesco hilo mbona leo halisemwi?Itakuwaje mali yenye thamani kubwa kama iptl iuzwe kwa bei hiyo?,wakati pesa zake zilizoko benki zinazidi hiyo bei yake? nchi imejaa wahuni kila sekta leo mnajiorganise kumsakama kafulila iliwanaoibiwa wasije amshwa.
Ni vyema basi watafiti wa masuala ya kisiasa, kiuchumi
namaendeleo ya jamii wakajielekeza kuchambua dhana ya
ushiriki wa wazawa kwa ubia na makampuni ya kimataifa
katika kuwekeza katika miradi mikubwa kadiri nchi yetu
inavyosonga mbele kujiletea maendeleo endelevu kuliko kukaa
kushupalia suala la IPTL/ESCROW.
 
PAP/IPTL ina dhamira kubwa kwa watanzania na inasononeka kwa kiasi kikubwa na kauli za wanasiasa uchwara wanazotoa dhidi yao kwa lengo la kuichafua heshima iliyojijengea kampuni hiyo mbele ya watanzania kwa umma kuwa ni ovu na hazina tija kwa taifa letu na kuwaomba watanzania kuzipuuza kauli hizo kwa kuwa hazina msingi wowote,kwa kuwa kauli hizo zinatolewa na wanasiasa wanaotumiwa na kampuni pinzani na IPTL ili kuwachafua.

Ni kweli iptl imejitahidi kupunguza machungu ya watanzania wanaoumia na gharama za umeme
 
Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kweli
si mchumia tumbo akanushe hapa kuhusu tuhuma za yeye
kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?
 
kafulila mnasema ni mla rushwa nyie mnaowatetea haowahuni mko sawa?,tuliambiwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa mali ya tanesco hilo mbona leo halisemwi?Itakuwaje mali yenye thamani kubwa kama iptl iuzwe kwa bei hiyo?,wakati pesa zake zilizoko benki zinazidi hiyo bei yake? nchi imejaa wahuni kila sekta leo mnajiorganise kumsakama kafulila iliwanaoibiwa wasije amshwa.
Kafulila mpigaji tu hana issue,mchumia tumbo tu kama kweli
si mchumia tumbo akanushe hapa kuhusu tuhuma za yeye
kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?
 
Pigo jingine kwa wafadhiri wa KAFULILA!! :A S wink:

attachment.php
 
Kafulilainabi di afahamu kuwa sio kila mtu ni lazima awe na mawazo na maoni sawa juu yakitu Fulani, kupishana mawazo ndio uhai wa fikra huru, sio kila anayeteteauonevu dhidi ya kampuuni ya IPTL/PAP amejitoa ufahamu kama anavyodai kila mtuana haki ya kuamini na kuunga mkono kile anachokiamini ni sahihi, mimi ninaaminiIPTL/PAP inaonewa na wanasiasa na wafanyabiashara uchwara wenye chuki dhidi yaIPTL/PAP.

Kweli kabisa
kila mtuu anamawazo yake
 
kafulila mnasema ni mla rushwa nyie mnaowatetea haowahuni mko sawa?,tuliambiwa baada ya miaka 20 iptl ingekuwa mali ya tanesco hilo mbona leo halisemwi?Itakuwaje mali yenye thamani kubwa kama iptl iuzwe kwa bei hiyo?,wakati pesa zake zilizoko benki zinazidi hiyo bei yake? nchi imejaa wahuni kila sekta leo mnajiorganise kumsakama kafulila iliwanaoibiwa wasije amshwa.

Mkuu sio kutete tuu tunaangalia hoja za kila upande then ndoo unakuja kwenye mjadala
 
wataumbuka safar hii mpaka bas
donors wanasubiri ripoti ya cag, this does not mean wameconclude kuwa kuna ufisadi. Donors wanasubiri finds za cag na kama kuna ufisadi kweli ni hatua gani zitachukuliwa. Hiki ndio kafulila alichofaulu kukifanya, ujinga wake yeye wa maslahi yake unaliumiza taifa. Kafulila tutamuhukumu watanzania kwa kutucheleweshea watanzania utekelezaji wa bajeti yetu. Upuuzi wa kafulila unawagharimu mpaka shangazi zake kakonko kule.​

Kafulila atakoma kuingilia mambo ya kampuni binafsi, hivi kwani hawezi kupigania viwanda vya mawese vinavyoendela kufilisika kila siku huko kigoma badala ya kuingilia kampuni ambayo iko pale kisheria

Kafulila ameshindwa kuwasemea wakulima wadogo kigoma wanaonyonywa fedha za mawese, amejivika usemaji wa kuisemea standard chartered huu ni upuuzi wa hali ya juu
 
Something is really doggy here,its either kafulila alipga hela za symbion kuichafua iptl au kafulila amepata hasira baada ya iptl kugoma kumpa hongo aliyotaka eti asiiharibie iptl,jamaa wakamtosa

Hilo nmeliona mkuu,ukizingatia na anguko la kisiasa kwenye chama chake, bila shaka anatafuta kick aonekane shujaa au hongo za washindani wa IPTL..Hivi mbona hili suala yupo mwenyewe tu,hujiuliz????
 
Mkatafute kick nyingine ziwabusti kisiasa mkome kujadiriIPTL/PAP, siyo mali ya umma hii ni kampuni binafsi. Mmeshindwa kuhoji mashirikayetu ya umma mengi yamekufa mengine yapo taabani mnakomaa na IPTL/PAP.Wanasiasa uchwara nyie. Rudini kwenye majimbo yenu mkawaongoze wapiga kulawenu.
 
Kama kafulila kaisingizia iptl,wamfikishe mahakamani.nami nasema iptl lazima iwajibike kwa dhuma yake kwa wtz.

Mwaka 2006 serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa kupitia Wizara ya Nishati na Madini, shirika la IPTL
naBenki Kuu ya Tanzania (wakala) kutokana na Mkataba
wakuzalisha na kuuza umeme kutoka IPTL kwenda TANESCO
kulianzishwa akaunti ya ESCROW.MAtakwa ya makubaliano ya
kuanzishwa na kutekelezwa kwa mradi wa kujenga,
kuendesha na kuzalisha umeme wa kuuza kati ya kampuni
binafsi ya IPTL na TANESCO ni kwa serikali kufungua letters
of credit au kufungua akaunti ya ESCROW.Akaunti hiyo siyo
fedha za serikali bali ni fedha ambazo ziliwekwa kutokana na
matakwa ya mkataba wa kuuza umeme kwa TANESCO kutoka
kampuni binafsi.
 
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014

http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html

Back
Top Bottom