IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Hii taarifa mbona nyepesi sana,huyo mwanasheria wa iptl mwepesi sana,ame dwell sana kum attack kafulila badala ya kuandika mambo yanayo eleweka.
Anamshambulia kafulila wakati mambo haya yanajulikana walivyo tuibia kwa mbinu za kisheria.
pekee yako ndo mzito humu jf
 
Tujikumbushe!!

View attachment 196308

Mshauri wa Biashara wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya VIP, James Rugemarila (katikati) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya IPTL akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam kuhusiana na Kampuni ya VIP kumaliza mgogoro uliokuwepo kati ya VIP na IPTL uliodumu kwa muda mrefu. (Kushoto kwake) ni Mkurugenzi Mteule wa VIP, Benedictor Rugemarila. (Wa kwanza kushoto) ni Mshauri wa Masuala ya Usalama wa kampuni hiyo, Kamala Stephen aliyehudhuria mkutano huo wa waandishi wa habari.

Kampuni ya VIP imemaliza mgogoro wa muda mrefu uliokuwa baina yake na Kampuni ya IPTL katika Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam tangu Februari 25,2002.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mshauri wa Biashara wa Kimataifa wa Kujitegemeawa wa VIP, James Rugemarila ambaye pia ni Mkurugenzi wa IPTL, alisema kuwa mgogoro huo ulidumu kwa muda mrefu na kuwagharimu fedha nyingi.
Aliongeza kuwa mgogoro huo ulikuwa na tafsiri mbalimbali na
kwa kuwa ulikuwa mahakamani walishindwa kutoa taarifa kwa jamii kuhofia kuingilia uhuru wa mahakama.
Rugemarila alisema kwa kuwa umeisha wameamua kuweka kila kitu wazi ili jamii ielewe na taarifa hizi zitatangazwa kwenye magazeti ya Jambo Leo, The African, Daily
News, Guardian, blogus, Channel Ten, ITV nk.
Akizungumzia zaidi kuhusu Kampuni ya Pan Africa Power Sulutions Tanzani LMT, iliyonunua hisa za VIP kwenye IPTL na kupewa kibali na VIP kuhalalisha ununuzi wa shea za Mechmar katika IPTL, alisema itawakomboa wananchi kwa kupata nishati hiyo kwa bei nafuu.
Aliongeza kuwa katika muda mfupi baada ya kampuni hiyo kuanza kazi itazalisha megawati 500 kwa bei kati ya uscents 6 na uscent 8 kwa kila unit ukilinganisha na bei za sasa zinazotozwa na makampuni ya kuzalisha umeme zilizo kati ya uscent 33 na 55 uscen kwa unit moja.
"Hii ni kampuni ya Kitanzania, ambayo ni bahati mbaya tu huyu Mkurugenzi wa PAP, Dr. Harbinder Singh Sethi amefiwa na jamaa yake ndiyo maana hayupo tutamleta mtamuona atakuja Jumatatu mtawasiliana naye, inaonesha Watanzania tunaweza," alisema Rugemaril
 
Yan humu jamvin kuna kitu nimegundua ukiopoziti na na mwanasiasa wa upinzani utaambiwa unawatete mafisadi
 
Tujikumbushe!!

View attachment 196308

Mshauri wa Biashara wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya VIP, James Rugemarila (katikati) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya IPTL akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam kuhusiana na Kampuni ya VIP kumaliza mgogoro uliokuwepo kati ya VIP na IPTL uliodumu kwa muda mrefu. (Kushoto kwake) ni Mkurugenzi Mteule wa VIP, Benedictor Rugemarila. (Wa kwanza kushoto) ni Mshauri wa Masuala ya Usalama wa kampuni hiyo, Kamala Stephen aliyehudhuria mkutano huo wa waandishi wa habari.

Kampuni ya VIP imemaliza mgogoro wa muda mrefu uliokuwa baina yake na Kampuni ya IPTL katika Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam tangu Februari 25,2002.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mshauri wa Biashara wa Kimataifa wa Kujitegemeawa wa VIP, James Rugemarila ambaye pia ni Mkurugenzi wa IPTL, alisema kuwa mgogoro huo ulidumu kwa muda mrefu na kuwagharimu fedha nyingi.
Aliongeza kuwa mgogoro huo ulikuwa na tafsiri mbalimbali na
kwa kuwa ulikuwa mahakamani walishindwa kutoa taarifa kwa jamii kuhofia kuingilia uhuru wa mahakama.
Rugemarila alisema kwa kuwa umeisha wameamua kuweka kila kitu wazi ili jamii ielewe na taarifa hizi zitatangazwa kwenye magazeti ya Jambo Leo, The African, Daily
News, Guardian, blogus, Channel Ten, ITV nk.
Akizungumzia zaidi kuhusu Kampuni ya Pan Africa Power Sulutions Tanzani LMT, iliyonunua hisa za VIP kwenye IPTL na kupewa kibali na VIP kuhalalisha ununuzi wa shea za Mechmar katika IPTL, alisema itawakomboa wananchi kwa kupata nishati hiyo kwa bei nafuu.
Aliongeza kuwa katika muda mfupi baada ya kampuni hiyo kuanza kazi itazalisha megawati 500 kwa bei kati ya uscents 6 na uscent 8 kwa kila unit ukilinganisha na bei za sasa zinazotozwa na makampuni ya kuzalisha umeme zilizo kati ya uscent 33 na 55 uscen kwa unit moja.
“Hii ni kampuni ya Kitanzania, ambayo ni bahati mbaya tu huyu Mkurugenzi wa PAP, Dr. Harbinder Singh Sethi amefiwa na jamaa yake ndiyo maana hayupo tutamleta mtamuona atakuja Jumatatu mtawasiliana naye, inaonesha Watanzania tunaweza,” alisema Rugemaril
Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika
mashirika ya umma yanayofilisika kila
kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi
huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti
fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali
kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na
makampuni shindani dhidi yetu pamoja
Standard Chartered, vinginevyo ajiseme
hadharani yeye ni mbia wa Standard
Chartered.
 
tujikumbushe kidogo BOT.jpg
 
Back
Top Bottom