Toa uk...ma wewe! Mbulula m..mako ms..nge wewe!! unatoka kamasi kutete ujinga wa kafulila kwa buku 10, tafuta kazi ufanye kijana mjini ukiwa unadanganyika kirahisi hivyo utaf...rwa nyau wewe.
Nimekuuliza unajua nini kuhusu escrow account unashindwa kujibu alafu unakurupuka kuongea ujinga, wezi wa hii nchi unawajua wewe?? Angalia mashirika ya umma yote yamekwisha kufirisika huo ndio wizi wa mali ya umma, EPA, RCHMOND, Meremeta, KIWILA, Mazabuni yanapandishwa bei huko kwa ajiri ya 10%, Upo uchafu mwingi tu kwenye hii nchi unafanywa kila siku. Unakurupuka eti wizi wa mali ya nchi! Unajua hata chanzo cha escrow account wewe, Unajua Power Purchase Agreement inatamka nini? Nimekuuliza unajua kwamba mpaka leo SYMBION ya wamarekani na mbia wao ROSTAM wanachukua hela ya Capacity Charge kutoka TANESCO na wanaidai serikali Mabilioni ya shiringi wakati wote tunajua chanzo cha SYMBION ni DOWANS na mama yao ni RICHMOND.
Acha ujinga wewe! unaniquote kwa uh...ro wa hivyo, IPTL wamezalisha umeme, kama swala ni Capacity Charge, IPTL walishusha capacity charge kutoka $ 3.6 mil mpaka $ 2.6 mil.
""" Mwaka2006 serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Wizara ya Nishatina Madini, shirika la IPTL na Benki Kuu ya Tanzania (wakala) kutokana naMkataba wa kuzalisha na kuuza umeme kutoka IPTL kwenda TANESCO kulianzishwaakaunti ya ESCROW.MAtakwa ya makubaliano ya kuanzishwa na kutekelezwa kwa mradi wa kujenga,kuendesha na kuzalisha umeme wa kuuza kati ya kampuni binafsi ya IPTL naTANESCO ni kwa serikali kufungua letters of credit au kufungua akaunti ya ESCROW.
Akauntihiyo siyo fedha za serikali bali ni fedha ambazo ziliwekwa kutokana na matakwaya mkataba wa kuuza umeme kwa TANESCO kutoka kampuni binafsi. Katika mkataba wakufungua akaunti ya ESCROW kuna kifungu kinasomeka, required amount means theamount in Tshs. That the government of Tanzania shall deposit from time to timein the ESCROW account which equals not less than two months estimated tariffpayments under the PPA, provided that such amount shall be adjusted annually byIPTL and TANESCO pursuant in the PPA in the article 11 hereof, and governmentof Tanzania will be entitled will be entitled to review independently, thecalculation of the required amount pursuant to this agreement.
Tafsiriyake kwa Kiswahili ni kwamba kiasi kinachopaswa kuingizwa na serikali katikaakaunti ya ESCROW ni kile ambacho kinalingana na madai ya malipo sawa na miezimiwili ya gharama ya kuuza umeme ambazo IPTL inadai TANESCO, IPTL na TANESCOwatafanya marejeo kuhusiana na kiasi cha gharama za umeme kila mwaka. Hayo nikwa mujibu wa makubaliano ya kuuza na kununua umeme kwa mujibu wa makubalianoya mkataba wa mauzo ya umeme (Power Purchasing Agreement) au kwa kifupi PPA nakama ilivyobainishwa kwenye kifungu cha 11. Serikali itakuwa huru kufanyatathmimini yake kuhusu gharama halisi za uzalishaji na uuzaji wa umeme kwamujibu wa mkataba wa PPA.""""