IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL wezi tu na wote mnaoitetea ni wapumbavu sana hamna hata uzalendo kwa nchi yenu basi hizo pesa mnazolipwa kuwatetea IPTL na iwe laana kwenu na watoto wenu,msifanikiwe na daima vizazi kwenu visiwe na amani

wezi kivipi mkuu tufafanulie mzee?au ndio mnafuata maneno ya kafulila?
 
Leo ndo nmeelewa vizuri

Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika
mashirika ya umma yanayofilisika kila
kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi
huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti
fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali
kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na
makampuni shindani dhidi yetu pamoja
Standard Chartered, vinginevyo ajiseme
hadharani yeye ni mbia wa Standard
Chartered.
 
Hii taarifa mbona nyepesi sana,huyo mwanasheria wa iptl mwepesi sana,ame dwell sana kum attack kafulila badala ya kuandika mambo yanayo eleweka.
Anamshambulia kafulila wakati mambo haya yanajulikana walivyo tuibia kwa mbinu za kisheria.
 
mkuu mbona kafulila anawamuatack iptl mbona umesemi au ndo kunya anyeee kuku akinya bata kaharisha
hacha kupendelea upande mmoja wewe pima hoja za upanda zote then ndoo uwonge
 
Kam attack nmekuelewa vizur au Mkuu riport ya Kafulila ilikuwa ni kuattack IPTL nahc unasoma kwa makengeza soma vzur
 
Tunachojuwa hapa kuna kitu, haiwezekani mpaka leo hio ripoti toka kwa mkaguzi mkuu haijatoka, na wahisani ghafla wanataka au wanampango wa kutukatia misaada, tusubiri hiyo ripoti, kama ikiwasafisha basi poa, ila kama BOT, IPTL na TANESCO walifanya UFISADI, basi lazima watu wafilisiwe na kunyea debe..
 
mkuu mbona kafulila anawamuatack iptl mbona umesemi au ndo kunya anyeee kuku akinya bata kaharisha
hacha kupendelea upande mmoja wewe pima hoja za upanda zote then ndoo uwonge

Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika
mashirika ya umma yanayofilisika kila
kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi
huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti
fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali
kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na
makampuni shindani dhidi yetu pamoja
Standard Chartered, vinginevyo ajiseme
hadharani yeye ni mbia wa Standard
Chartered.
 
Tunachojuwa hapa kuna kitu, haiwezekani mpaka leo hio ripoti toka kwa mkaguzi mkuu haijatoka, na wahisani ghafla wanataka au wanampango wa kutukatia misaada, tusubiri hiyo ripoti, kama ikiwasafisha basi poa, ila kama BOT, IPTL na TANESCO walifanya UFISADI, basi lazima watu wafilisiwe na kunyea debe..
CAG si amesema ripot ipo kwenye hatua za mwisho kukamilika,sasa iweje mmshurutishe kuitoa ripot wakati bado haijakamilika?
 
Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika
mashirika ya umma yanayofilisika kila
kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi
huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti
fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali
kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na
makampuni shindani dhidi yetu pamoja
Standard Chartered, vinginevyo ajiseme
hadharani yeye ni mbia wa Standard
Chartered.
kabisa mkuu
 
Tunachojuwa hapa kuna kitu, haiwezekani mpaka leo hio ripoti toka kwa mkaguzi mkuu haijatoka, na wahisani ghafla wanataka au wanampango wa kutukatia misaada, tusubiri hiyo ripoti, kama ikiwasafisha basi poa, ila kama BOT, IPTL na TANESCO walifanya UFISADI, basi lazima watu wafilisiwe na kunyea debe..
tusubiri tu ripot mkuu
 
Back
Top Bottom