Kabisa Mkuu katumbili,huu ni upuuzi tu wa watu wachache kudhani kila mwenye mawazo huru anatumika,hatuwezi kuwa sawa kifikra bwana
kafulila mchumia tumbo,hana issue huyo akawaokote hao hao mambulula wenzake.

Ni kawaida kwa watanzania kumsifia anayewaibia na kumshutumu anayewatetea. Kama kweli kulikuwa na uwizi wa aina yoyote mwenye mali anapaswa kumsaidia mlinzi wake kumkamata na kumfikisha mbele ya sheria mwizi wake. Ni Tanzania mwenye mali anamsaidia mwizi wake kumwibia mali yake. IPTL/PAP ndiye anayetuhumiwa na Mheshimiwa David Kafulila (Mb) kuwa kawaibia watanzania. Ni jukumu la mtuhumiwa kuuthibitisha umma wa watanzania kuwa hajawaibia. Ni jambo la kushangaza kuwa wenye mali ndiyo wanaomwandamba mpiga filimbi ( whistle blower)
Wengi wanachangia kwa hisia kuwa Kafulila anatumika na washindani kibiashara wa IPTL/PAP,lakini tuna uhakika gani kama hawa wote wanaoitetea IPTL/PAP hawajanunuliwa, maana waswahili husema asifuye mvua imemnyea.Kama IPTL/PAP wanaweza kuhonga wakaruhusiwa kuchota hela BOT zilzokuwa ESROW Account watashindwaje kuwahonga wanajamii wachache tena wenye njaa ya vijisenti vidogo vya mlo wa kutwa wanaochangia humu ndani? Kenya inasifiki kuwa ni Taifa linaloongoza Afrika Mashariki kwa rushwa, utakuwa na uhakika gani kuwa kazi wanayokusudiwa kupewa nchini Kenya haipatikani kwa mkono wa rushwa? Katika nchi ya Tanzania kuna rushwa ya mtu mmoja mmoja, ya vikundi, taasisi na hata ya serikali unawezaje kuamini kuwa kinachosemwa Bungeni na wabunge ni kitakatifu hakina harufu ya rushwa. Kama kura za wabunge wa BMK zinaweza kununuliwa na serikali ili kupindisha ukweli wa mambo ni taarifa ipi amabayo inaweza kushindikana kupindishwa?Kama wabunge wote wa upinzani wanaweza kupuuzwa pamoja na hoja zao nzuri, ni nani atamsikiliza Kafulila kwenye nchi inayoshabikia kila tendo ovu linalotendwa na wakubwa?
????? Hata mimi.tufanye nini sasa..
Toka lini pesa za Umma zikawekwa escrow account Tanzania hii?
IPTL/PAP hawajfua umeme? Malipo yao yako wapi?
Au ulikuwa unataka mashirika binafsi yafanye kazi bure? Hata mashirika ya umma hayafanyi kazi bure, au umesahau hilo?
Kama "mnampuuza" kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumjibu? Toeni jibu ile tofauti ya bei kati ya IPTL naTANESCO iko wapi?Only in Tanzania Mbunge anaweza kutumia kinga ya mbunge vibaya kuchafua kampuni binafsi kwa kulipwa na watu wenye fedha na chuki dhidi ya makampuni binafsi
Kama "mnampuuza" kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumjibu? Toeni jibu ile tofauti ya bei kati ya IPTL naTANESCO iko wapi?
Kafulila atakoma kuingilia mambo ya kampuni binafsi, hivi kwani hawezi kupigania viwanda vya mawese vinavyoendela kufilisika kila siku huko kigoma badala ya kuingilia kampuni ambayo iko pale kisheria
Toka lini pesa za Umma zikawekwa escrow account Tanzania hii?
IPTL/PAP hawajfua umeme? Malipo yao yako wapi?
Au ulikuwa unataka mashirika binafsi yafanye kazi bure? Hata mashirika ya umma hayafanyi kazi bure, au umesahau hilo?
Kama "mnampuuza" kwa nini mnatumia nguvu nyingi kumjibu? Toeni jibu ile tofauti ya bei kati ya IPTL naTANESCO iko wapi?
Kama huelewi hata hela hizo ziliwekwaje ESCROW A/C, tutajadili nini na wewe? Kama pesa hizo zilikuwa za IPTL/PAP ziliendaje ESCROW a/c , au tuseme, kwa uwelewa wako escrow a/c ni mojawapo ya a/cs za IPTL? Kama Tanzania inawafanyisha wawekezaji kazi bure, hao wawekezaji wanakuja kutafuta nini Tanzania? Au tuseme hauelewi motive behind ya kila muwekezaji? Kama vimaswali hivi vidogo huwezi kujiuliza na kuvipatia majibu unachangia nini katika mada kama hii? Better ask a foolish question than do a foolish action. Bora ukakaa kimya watu watafikiria kuwa una busara kuliko kuchangia hoja usioijua maana utakuwa unawajulisha watu ulivyopungukiwa na uwelewa wa mambo madogo madogo unayopaswa kuwa unayajua bayana
Kafulila anaposema Singasinga Seth haruhusiwi kufanya biashara Kenya, wakati Singasinga huyo huyo, ameshapewa kibali cha kuzalisha umeme na kuuza Kenya ikiwa ni mara 20 zaidi anayozalisha Tanzania, Hivyo ni kichaa pekee anayeweza kuamini upuuzi huu wa Kafulila.
Kama unajua kuunganisha dots utaelewa ni kwa nini Singasinga amepata kazi Kenya. Mhe. David Kafulila anaituhumu IPTL/PAP kuchota fedha zlizowekwa escrow akaunti zikisubiri uhakiki upembuzi gharama halisi za capacity charge. Ailidhaniwa kuwa katika kuwasilisha gharama hizo IPTL/ PAP waliweka bei za juu kuliko hali halisi. Kabla ya upembuzi yakinifu wa kujua bei halisi fedha zilizowekwa escrow akaunti zilichotwa kinyume cha maamuzi ya awali. Hapandipo Mhe. Kafulila anaegamia kuituhumu IPTL/PAP kuwa imezichota hela hizo kifisadi katika mazingira yasiyokubalika ya rushwa. Narudia tena kusema Kenya, katika Afrika Mashariki na Kati inaongoza kwa rushwa. Mahali popote penye jamii inayopenda rushwa mtoa rushwa ni mazingira mazuri kwake. Singasinga, mtoa rushwa, sio ajabu kupata kazi Kenya kwa misingi ileile ya kupenyeza rushwa. Kumtetea IPTL/PAP kwa msingi kuwa amepata kazi Kenya ni sawa na kusema kama Kenya anapata kazi kwa kupenyeza rushwa kwa Tegeta escrow kwa nini wasichote hela hizo kwa misingi ileile inayowezekana Kenya? Kenya sio nchi ya kutolea mfano wa nchi waadilifu. Ukifanya hivyo ni sawasawa na kulaumu ulevi kwenye bar au kilabuni. Ukishutumu ulevi katika ya walevi, ukilaumu umalaya katikati ya changudoa si dhani kama kuna mtu atakaye kusikia. Hapa ndipo tulipofikia, watanzania wote tuna mawazo ya udokozi kiasi kuwa kumlaumu mdokozi au mwizi watu watakushangaa
Kama huelewi hata hela hizo ziliwekwaje ESCROW A/C, tutajadili nini na wewe? Kama pesa hizo zilikuwa za IPTL/PAP ziliendaje ESCROW a/c , au tuseme, kwa uwelewa wako escrow a/c ni mojawapo ya a/cs za IPTL? Kama Tanzania inawafanyisha wawekezaji kazi bure, hao wawekezaji wanakuja kutafuta nini Tanzania? Au tuseme hauelewi motive behind ya kila muwekezaji? Kama vimaswali hivi vidogo huwezi kujiuliza na kuvipatia majibu unachangia nini katika mada kama hii? Better ask a foolish question than do a foolish action. Bora ukakaa kimya watu watafikiria kuwa una busara kuliko kuchangia hoja usioijua maana utakuwa unawajulisha watu ulivyopungukiwa na uwelewa wa mambo madogo madogo unayopaswa kuwa unayajua bayana
IPTL inachafuliwa taswira yake bila sababu ila palipo na ukweli uongo hujitenga, watanzania wameanza kujua uongo wa baadhi ya wanasiasa wanaojitafutia umaarufu kupitia kuchafua kampuni za watu
Hizo pesa ziliwekwa Escrow kwa ajili ya matatizo waliokuwa nayo wabia na ni pesa halali ambazo kila mmoja alikuwa anataka alipwe yeye na kesi ilikuwa mahakamani mpaka watakapotatua mzozo wao, na walipoutatua kisheria mahakama ikaamua sasa wakabidhiwe wenyewe.
Una tatizo la kuelewa hilo?
Hebu tulete hoja za msingi mezani,sio singasinga eti alipenyeza rushwa kenya we ulikuwepo wakati anatoa rushwa
Yani makala lirefu nkajua kuna madini kumbe ----- tupu,kweli kuna umuhimu wa elimu ya awali