Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Huyo Shekh Ilunga ni nani ndani ya nchi hii hadi aogopwe ni zaidi ya shekh Farid au ponda.?
 
Huyo Shekh Ilunga ni nani ndani ya nchi hii hadi aogopwe ni zaidi ya shekh Farid au ponda.?

Mtapata shida sana maana Mashehe Ilunga wako kwa mamilioni na kila uchao wanazaliwa wapya sasa sijui mtafanyaje labda mjisalimishe!
 
ilunga ni jembe amejitolea kusema na uku tulipo wapo kama milion vile.tatizo mnaogopa kufa kwan yeye ndiyo kuandika kitabu yeye ni msomaji maandiko ayabadilik.machafuk lazima tz
 
Tatizo la waislamu nini ? Yote wanayofanya nikutujengea picha kuwa waislamu ni wakorofi na wenye kulalamika daima.

Wakipewa madaraka wanaharibu na wasipopewa ni kuleta chokochoko.
 
huyu jamaa anachochea udini wazi wazi na wala hatuon akichukuliwa hatua kama unataka kumsikia tafuta cd zake uzisike yani hata sijui lengo kuu lake nini kwa taifa hili
 
jamaa yake na ponda wote lao moja,nitakomesha udin ni kaul ya rais tusubiri tuone
 
huyu jamaa anachochea udini wazi wazi na wala hatuon akichukuliwa hatua kama unataka kumsikia tafuta cd zake uzisike yani hata sijui lengo kuu lake nini kwa taifa hili

Chukua hatua. Kila ukiona CD yake wewe kojolea tu. Ataacha mwenyewe.
 
huyu jamaa anachochea udini wazi wazi na wala hatuon akichukuliwa hatua kama unataka kumsikia tafuta cd zake uzisike yani hata sijui lengo kuu lake nini kwa taifa hili
huyu ni mtoto wa mzee hassan kapungu. huyu bwana nilimpenda sana zamani maana alikuwa anahamasisha maendeleo kwa waislam mfano kujenga mashule na mahospitali.lakini katika siku za hivi karibuni amekuwa akitoa hotuba za kuchochea chuki za kidini kitu ambacho kimekuwa kikiwakera watu wengi waliostaarabika na kuona mbali.mwaka jana tulikuwa naye kwenye kongamano pale diamond jubilee alikuwa akitoa kauli za kuchochea chuki za kidini na hivyo wengi tulimshangaa mno.hata hivyo inaonekana nyuma yake wapo watu wengi ambao wanamuunga mkono katika mpango wake huo unaokera.miongoni mwa watu wenye muelekeo kama wake ni Mzee Ponda Issa Ponda.
 
Eti wanataka kuchinja maaskofu na mapadre!! Wataangamia kabla azma yao haijakamilika, kazi kuwaza uovu tu! Hiyo pepo inayoendeka kwa kuua mtu, sijui ni pepo gani!!
 
Anatumwa na kutumika, uzuri wa serikali yetu huwa inasubiri hadi litokee tatizo ndipo ichukue hatua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom