Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Siku zote anaekanyagwa ndo hulalamika sio anaekanyaga. Hivyo waislamu ndo wanaoonewa na mfumo kristo kwanini wasiseme?
DEWJI, Hebu nipe ushahidi wa jinsi waislamu wanavyoonewa, je kule wanakoishi waislamu wengi zaidi mbona ndo kuna machafuko sana tu, naheshimu mawazo yako kwa sababu ni yako sio yangu, endeleeni kufundisha watoto wenu hivyo hivyo waue wakristo mpaka waishe, wakishaisha kwa sababu watakuwa wamezoea kuuwa wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe.

Siungi mkono kabisa kitendi cha ustaadhi kushawishi watu wauwane. hiyo kazi mwachieni shetani, tuungane kupiga vita umaskini ili kujenga Tanzania iliyo bora kwa kila Mtanzania inawezekana kama tukikataa kuwa brain washed.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la msingi hapa si huyu bwana na wenzake kama yeye- akina ponda, farid nk
Tatizo letu la msingi ni kuwa na serikali legelege na kiongozi/viongozi wasio na busara za kutosha. Hapa nataja nieleweke vzr na kwa mtu aliyesikiliza hotuba yote ya Mwalimu, jana ITV atakubaliana na mimi. Mwalimu si tu alieleza juu ya ujinga wa mambo ya udini bali pia ameeleza ni kiongozi gani na mwenye mtazamo na uelewa gani anayeweza kukabiliana na challenge za udini. Tanzania hatuna mtu kama huyo ktk viogozi wetu!!!!

Tatizo la pili na mama la msingi IMANI YA UISLAMU. Toka mwanzo imejaa damu, kulipiza kisasi, kulazimiosha kuwa member, vitisho kwa mtu akitaka kutoka, utekaji (mtume ndo kaanzisha mambo utekaji wa wafanyabiasha kama invyoendelea somalia, mambo ya kuteka meli) toka mwanzo imejaa kujitoa muhanga kuua wenzako kwa kuahiwa kuiona mbingu na hata kupewa wanawake wazuri 70.
Hapa ndo lilipo tatizo mama na ukichanganya kukosa kiongozi mwenye busara tatizo linaongezeka kuwa kubwa siku baada ya siku, mwiso itakuwa tunayoyaona yanafanywa na Boko haramu, kule Mali, akina shababu nk
 
duuuuuu hiiiiii ni elimuuuuuu ganiii unaowatakiaa waislamuu wenziooo shidaaa mbonaa wewee huanziii unatumaaa wwenzakoooo waueee kwann yeye c muislamuu? kwa halii hiii ngojaaa wakristoo naoo wamkeee maanaa cjui kitakachoo tokeaaa onyo na ushaurii wanguu usichokozee mtuu aliyee tuliaa akiamkaa utajutaaa
 
Mzito Kabwela said:
Kutibalaikuml kisasi...
OK tuchukulie sasa wewe ndugu yako ameuliwa hivyo unachukua panga na kwenda kulipiza kwa unayemtuhumu kuwa kakuulia ndugu yako kutokana na ulivyoifahamu aya.

Jirani yako naye ana jamaa yake aliyeuliwa hivyo naye anandaa kikundi chake na kwenda kumuua muuwaji wa jamaa yake.

Mfanyakazi mwenzako naye mama yake ameuliwa hivyo naye anachukua bastola na kumuua mtuhumiwa wa mauji ya mama yake.

Halafu yule ambaye wewe umemuulia ndugu yake naye anakurudia wewe na kukuua kwa sababu ameifahamu aya kuwa kisasi kwa kisasi.

Jirani yako naye anarudiwa na ndugu wa aliyemuua na wanamuua.

Mfanyakazi mwenzako naye anarudishiwa kisasi cha kuua hivyo naye anauliwa.

...kutokana na ufahamu wako; hayo ndiyo makusudio ya aya?
 
Mkuu hiyo aya amei-quote Ustadh Ilunga kuhalalisha Ushetani wake. Mimi nimeiweka kama ilivyo.
 
Kila kwenye fitnah lazima uwepo!...ningeshangaa sana kama usingejitokeza.
Huu ni uwendawazimu. Fitna ipo wapi? Ilunga ame-quote andiko kwenye quran akisema Allah wenu amehalalisha kuua mimi kosa langu li wapi?
 
hivi huyu ustaadhi hajashikwa mpaka sasa hivi na kufikishwa mahakamani? sisi na mambo ya mombasa au uganda yanatuhusu nini? au anataka tanzania tuingilie siasa za nchi jirani? halafu kuuwa kwa sheikh au ustaadhi kuna uhusiano upi na Padri au Askofu? ana maanisha Maaskofu au Ma Padri ndio wanaongoza wahuni wa mtaani au maaskari? labda ikiwa serikali na mihimili zake ni sehemu ya Mpango wa huyu Ilunga, lakini kwa serikali yetu ninavyo ijuwa haita vumiliwa hata kidogo kitndeo hichi, na sitaki kuingilia hukumu, hivyo navuta subira wakati sirikali inafanya kazi yake kupitia IGP na DG wa uwt, kabla ya kumpa faili DPP.
 
Imenishtua anaposema na hata waumini tunaowengi tu tunaishi nao, hivi kama Mzazi wangu mmoja ni musilamu basi ana rukhsa ya kumuua mzazi mwenzie sababu tu kuna Shekhe ameuawa mahali fulani? Je, kuna haki ya kumuua huyu askofu sababu Shekhe ameuawa? Hivi kisasi hiki kinachoongelewa ni kipi.

Tunawaomba Waislamu ambao ni watanzania wenzetu wawe wazuri kuwasikiliza lakini wasitende hayo wanayowaambia kwani ikizuka vita wenzetu watakimbilia uarabuni na familia zao tutakao baki ni sisi tunaoshinikizwa kuuanaa jirani sababu siyo wa dini yetu.

Mungu tunayemuabudu hakuna mahali alisema muuane na maana halisi ya uislam ni AMANI sasa hii AMANI ya kuuana sijui sababu siyo wa dini hiyo Naomba Waislamu watujuze haya ni halali aliyoyasema?
 
Uliza elimu yake uone, haitoshi hata mahitaji ya maisha yake mwenyewe.

..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa.

..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna tatizo.

..halafu anakwenda mbali na kutoa kauli kwamba "akiuawa Shekhe basi tafuta Askofu umuue"!! Is he out of his mind?!!

..hebu tembeleeni link ya video niliyoweka hapo chini. unaweza kuanzia dakika ya 13. kinachosikitisha video nzima imekaa kimachafuko-chafuko tu. haya ni mambo mabaya sana kuwaaminisha wa-Tanzania.

Kwa wanaotumia simu, tembelea Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Imenishtua anaposema na hata waumini tunaowengi tu tunaishi nao,hivi kama Mzazi wangu mmoja ni musilamu basi ana rukhsa ya kumuua mzazi mwenzie sababu tu kuna Shekhe ameuawa mahali fulani?Je,kuna haki ya kumuua huyu askofu sababu Shekhe ameuawa?Hivi kisasi hiki kinachoongelewa ni kipi.Tunawaomba Waislamu ambao ni watanzania wenzetu wawe wazuri kuwasikiliza lakini wasitende hayo wanayowaambia kwani ikizuka vita wenzetu watakimbilia uarabuni na familia zao tutakao baki ni sisi tunaoshinikizwa kuuanaa jirani sababu siyo wa dini yetu.Mungu tunayemuabudu hakuna mahali alisema muuane na maana halisi ya uislam ni AMANI sasa hii AMANI ya kuuana sijui sababu siyo wa dini hiyo Naomba Waislamu watujuze haya ni halali aliyoyasema?
Mkuu mpumalanga, kunjani!! changia mkuu...nimependa kuona jina la mahali ambapo napajua vizuri.
 
hivi huyu ustaadhi hajashikwa mpaka sasa hivi na kufikishwa mahakamani? sisi na mambo ya mombasa au uganda yanatuhusu nini? au anataka tanzania tuingilie siasa za nchi jirani? halafu kuuwa kwa sheikh au ustaadhi kuna uhusiano upi na Padri au Askofu? ana maanisha Maaskofu au Ma Padri ndio wanaongoza wahuni wa mtaani au maaskari? labda ikiwa serikali na mihimili zake ni sehemu ya Mpango wa huyu Ilunga, lakini kwa serikali yetu ninavyo ijuwa haita vumiliwa hata kidogo kitndeo hichi, na sitaki kuingilia hukumu, hivyo navuta subira wakati sirikali inafanya kazi yake kupitia IGP na DG wa uwt, kabla ya kumpa faili DPP.

Akiuliwa Shehe au kutekwa nyara basi Askofu au Padre nae atauliwa au kutekwa nyara! Jino Kwa Jino! Roho ya mashehe ina thamani sawa na roho za Wachunga kondoo!
Hakuna lugha wanayoifahamu Serikali zaidi ya Mtutu kwa Mtutu!
 
Namkubali sana shekh ilungd huwa anaeleza ukweli mtupu na ushahidi wa kutosha, hakurupuki kabisa huyu,mungu amjalie maisha marefu.
 
Du ka waislam ndo akili zenu hizi bac. Mtaendelea kuwa mikia milele period
 
mungu ampe umri mrefu sheih we2 illunga hassan kapungu.nachomkubali sheikh huyu anasema ukweli unaowauma makafiri.

baada ya kusoma post yako nimetafakari kidogo,nikabaini wewe ni mtu ambaye umejaa chuki ambayo imekupumbaza na kukutia upofu wa akili... unaweza niambia toka umezaliwa mpaka hapo ulipo sasa,umefanyiwa mambo mazuri na kupata msaada toka kwa watu wa dini yako tu? kama unamcha Mungu wa kweli basi kila siku kabla ujaropoka tafakari kwa makini.
 
..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa.

..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna tatizo.

..halafu anakwenda mbali na kutoa kauli kwamba "akiuawa Shekhe basi tafuta Askofu umuue"!! Is he out of his mind?!!

..hebu tembeleeni link ya video niliyoweka hapo chini. unaweza kuanzia dakika ya 13. kinachosikitisha video nzima imekaa kimachafuko-chafuko tu. haya ni mambo mabaya sana kuwaaminisha wa-Tanzania.

Kwa wanaotumia simu, tembelea Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube

hii hatari sana kwa nchi yetu. hawajamaa ukiwaachia basi itakuwa machafiko kila kukicha
 
Last edited by a moderator:
baada ya kusoma post yako nimetafakari kidogo,nikabaini wewe ni mtu ambaye umejaa chuki ambayo imekupumbaza na kukutia upofu wa akili... unaweza niambia toka umezaliwa mpaka hapo ulipo sasa,umefanyiwa mambo mazuri na kupata msaada toka kwa watu wa dini yako tu? kama unamcha Mungu wa kweli basi kila siku kabla ujaropoka tafakari kwa makini.

kama amesema kweli ukweli unauma sehemu alipo nifurahisha ni sehemu ya kisas
 
Tatizo la msingi hapa si huyu bwana na wenzake kama yeye- akina ponda, farid nk
Tatizo letu la msingi ni kuwa na serikali legelege na kiongozi/viongozi wasio na busara za kutosha. Hapa nataja nieleweke vzr na kwa mtu aliyesikiliza hotuba yote ya Mwalimu, jana ITV atakubaliana na mimi. Mwalimu si tu alieleza juu ya ujinga wa mambo ya udini bali pia ameeleza ni kiongozi gani na mwenye mtazamo na uelewa gani anayeweza kukabiliana na challenge za udini. Tanzania hatuna mtu kama huyo ktk viogozi wetu!!!!

Tatizo la pili na mama la msingi IMANI YA UISLAMU. Toka mwanzo imejaa damu, kulipiza kisasi, kulazimiosha kuwa member, vitisho kwa mtu akitaka kutoka, utekaji (mtume ndo kaanzisha mambo utekaji wa wafanyabiasha kama invyoendelea somalia, mambo ya kuteka meli) toka mwanzo imejaa kujitoa muhanga kuua wenzako kwa kuahiwa kuiona mbingu na hata kupewa wanawake wazuri 70.
Hapa ndo lilipo tatizo mama na ukichanganya kukosa kiongozi mwenye busara tatizo linaongezeka kuwa kubwa siku baada ya siku, mwiso itakuwa tunayoyaona yanafanywa na Boko haramu, kule Mali, akina shababu nk

Yan we hujui hata unaongea nn acha kutoa ushahid wa din usoifahamu coz iman ye2 na yako n v2 vwili tofauti,muislam ndugu yake muislam haijalish n mkenya au msomali hivyo kuuawa Rogo kenya inatuhusu sana na kisasi ni wajibu ktk din yetu..xpect non less
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom