Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.
Labda nikuulize; Umesema kwa mujibu wa hadithi ya Ahlul Ilm ni kwamba hayo ya kuua watu walioko kwenye nyumba za Ibada ni wakati wa vita..........lakini ukauliza wakati wa amani?.............Labda ungetoa jibu kwa mujibu wa mafundisho Je ni sawa kuwaua maadui wakati wa Amani? Au hili mmeachiwa kuamua wenyewe?
Sidhani kama tutaelewana!
Ahlul Ilm ni watu wenye ilm.
Wanaposema kuwa tunakatazwa kuwaua viongozi wa Kikristo na Kiyahudi wakati tukiwa katika vita nao, ina maana wakati tukiwa hatuko katika vita nao ni katika mlango wa kwanza (makatazo yake yapo wazi zaidi)...hiki ni qiyaas.
Mzito Kabwela said:
Kutibalaikuml kisasi...
Kila kwenye fitnah lazima uwepo!...ningeshangaa sana kama usingejitokeza.
 
Sidhani kama tutaelewana!
Ahlul Ilm ni watu wenye ilm.
Wanaposema kuwa tunakatazwa kuwaua viongozi wa Kikristo na Kiyahudi wakati tukiwa katika vita nao, ina maana wakati tukiwa hatuko katika vita nao ni katika mlango wa kwanza (makatazo yake yapo wazi zaidi)...hiki ni qiyaas.Kila kwenye fitnah lazima uwepo!...ningeshangaa sana kama usingejitokeza.

Mbona yale maswali yangu mengine hujayajibu?!
 
Hawa watu wanalindwa na serikali huwezi kuongea maneno kama hayo alafu ukabakia huru kwenye nchi yenye utawala wa sheria
 
kwa sababu mimi si katika wanaostahiki kutoa Fatwa.

Umeandika vizuri kwa kutulia. Kwenye mijadala kama hii yenye kuteka hisia kirahisi inahitaji watu kufikiri kabla ya kuandika.

Sawa wewe hustahili kutoa Fatwa lakini mbona maswali yangu yako wazi! Na sikusema specific uhukumu mawaidha ya Shehe Ilonga............. na mbona mwanzoni uliyaelezea maswala ya Fatwa, au Fatwa ni fumbo la imani na kwa wengine ni kutekeleza tu!

Soma tena maswali yangu:

La pili umesema mtoaji Fatwa anaweza kuwa sahihi au sivyo........Je? utajuaje yuko sahihi au hayuko sahihi?
Je? ni mwanazuoni wa kiwango kipi anatakiwa kutoa fatwa? kuna vigezo vyovyote vya mtu ku-qualify kutoa fatwa?
Je? ni nani anayethibitisha kwamba hii fatwa si sahihi? na inarekebishwa vipi?
Na mtu anayetekeleza fatwa kama maelezo ya Ilunga na ikathibitika kwamba fatwa si sahihi, ni nini adhabu ya mtoa na mtekeleza fatwa?
 
ipo siku hii nchi kitanuka tuu....mark my words........
Nakubaliana nawe 100%, ikiwa Unguja padre kapigwa risasi halafu kiongozi anasema ni majambazi si muda mrefu kitanuka hapa!
 
mungu ampe umri mrefu sheih we2 illunga hassan kapungu.nachomkubali sheikh huyu anasema ukweli unaowauma makafiri.
 
mungu ampe umri mrefu sheih we2 illunga hassan kapungu.nachomkubali sheikh huyu anasema ukweli unaowauma makafiri.

wakristo ni makafir halafu na nyie waislam tuwaiteje?
 
Wenzetu Wakristo wamezoea kubebwa na Serikali ndio maana Askofu au Padre akilalamika kuwa Waislamu wanatangaza Yesu si Mungu! utasikia Shehe kakamatwa! lakini Mchungaji akisema Yesu ni Mungu hakuna Muislamu anaelialia na kuomba msaada wa Serikali!

Mpaka lini mtategemea msaada wa serikali? kila kitu kina mwisho wake!
 
kwani Ilunga kasema kipi kibaya au cha uongo? hii nchi ili uonekane mwema aidha usifie katoliki au chadema ukisema vyenginevyo wewe mbaya,,sijaona baya alilosema ila ni kusema ukweli mtupu,,kama mnahofia fujo wakatazeni kwanza watu wanaotoa miongozo kwa serikali kuwaweka vizuizini baadhi ya viongozi wa taasisi wasio na hatia yoyote kwa kutunga matukio ya uongo na kupanga.
 
na mbona mwanzoni uliyaelezea maswala ya Fatwa, au Fatwa ni fumbo la imani na kwa wengine ni kutekeleza tu!
Fatwa si fumbo la imani kwa wengine kutekeleza tu soma nilichoandika "Hivyo Muislamu halazimishwi kufuata Fatwa anachotizama ni ukaribu wa Fatwa; je iko karibu na usahihi au iko karibu na kosa? ..halafu anachagua mwenyewe.
 
Mmesikiliza hyo vdio pary 1 na 2 au mnajamba tu hapa?
Ndio mana mnataka kumuweka padri slaa?
Mbona mkapa hamkusema n mchungaj? Achen ubaguz wakidin ogopen kuonea waislam kwakuwa wao wanafurahia kiifo kwenda kwa mungu na ndio mana hyo sheh kazikwa na dam zake kafa shahd kumbkn maneno ya osama,sadam na gadaf kuwa ata wakifa wao watazaliwa wakwel wengne
USA haina na rafk wa mtu wakudum ina maslah ya kudum na nchi ndichoo anachosema shehe
Mungu Mkubwa
Tyson,mohamed ali,maiko jako nk wanaiona njia ya kweli kama hery thiery baDo ww

Hivi wewe ndio umeandika Utumbo gani huu?? Embu rudi standard 1 ujifunze kusoma na kuandika kwanza afu ndio ujiunge na Jukwaa la wasomi
 
Jamani tumuombe Mungu atujalie maarifa tuweze kuyatumia kuchambua yaliyo bora na kuyafuata, hivi kwa nini waislamu wawe ndo watu wanaojihisi kuonewa siku zote? Huyu shehe Mungu amfungue macho.
 
Jamani tumuombe Mungu atujalie maarifa tuweze kuyatumia kuchambua yaliyo bora na kuyafuata, hivi kwa nini waislamu wawe ndo watu wanaojihisi kuonewa siku zote? Huyu shehe Mungu amfungue macho.

Siku zote anaekanyagwa ndo hulalamika sio anaekanyaga. Hivyo waislamu ndo wanaoonewa na mfumo kristo kwanini wasiseme?
 
''IN JUST RETALIATION THERE IS LIFE O PEOPLE OF UNDERSTANDING'' QUR-AN 2:179. Nature of true muslim is not to be oppressed, suppresed and tortured and remain silent(inactive), he is supposed to react.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom