With this definition, even the head of the state is not patriotic enough.
Kwa maelezo hayo hata mtawala wetu anajikuta si mzalendo halisi.
Kabisa kabisa ndugu umeliona hilo, many people have narrow view of patriotism.
With this definition, even the head of the state is not patriotic enough.
Kwa maelezo hayo hata mtawala wetu anajikuta si mzalendo halisi.
Kama wamechaguliwa kwa kura ya haki, Tanzania sasa hivi polisi na ccm wanaamua nani awe kiongozi hata kama wananchi hawamtaki. Uzalendo utatoka wapi bila haki kutendeka?nimejifunza kitu apa__hatuna budi kuwakubali viongozi teule kwa haki hata kama hawakuwa chaguo letu
Wazalendo wapo mkuu, ila utandawazi nao umechangia sana kuua uzalendo, ingawa wenzetu wameshaona mbali na kuanza kujihami, sio vibaya na sisi tukafanya hivyo mapema kabisa mkuu.Tz hakuna mzalendo hata mmoja
Mzalendo alikuwa nyerere tu....sahvi waliyobaki ni boshen tu
Ova
Mzalendo pekee labda mtu kama rais wa Uruguay,mzalendo utamuona namna anavyoishi hadi hatua anazochukuaWazalendo wapo mkuu, ila utandawazi nao umechangia sana kuua uzalendo, ingawa wenzetu wameshaona mbali na kuanza kujihami, sio vibaya na sisi tukafanya hivyo mapema kabisa mkuu.
sio sahihi sana kuhusianisha umaskini na uzalendo. nadhani kuwa active tu katika kujali maslahi ya nchi ni uzalendo tosha, regardless ya financial status.Mzalendo pekee labda mtu kama rais wa Uruguay,mzalendo utamuona namna anavyoishi hadi hatua anazochukua
Kwa tz suala la uzalendo ni ngumu kupatikana
Ova
Viongozi wa tz hawajali mambo muhimu ya jamii we jiulize wanashindwaje kuweka CT scan machine wakati kila leo wananunua mashangingi tena kwa garama kubwa kuliko hizo machine....Ukienda hospital huzikuti hizo machine....hapo huoni kama kuna shida mahalisio sahihi sana kuhusianisha umaskini na uzalendo. nadhani kuwa active tu katika kujali maslahi ya nchi ni uzalendo tosha, regardless ya financial status.