Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,675
- 40,920
Kwa mtazamo wangu naona ipo haja hapa nchini, somo la uzalendo likawepo katika mitaala ya elimu yetu ya msingi na sekondari.
Ukiachana na JKT kwa mujibu wa sheria, kuna umuhimu wa hili kufanyika.
Ingawa kwa asilimia kubwa mzalendo ni mzalendo tu bila kufunzwa, ila ninaona sio vibaya kuwafundisha wananchi toka wakiwa wadogo kuwa wazalendo na Taifa lao, itasaidia mengi.
Sasa sijui wataandaa vipi hili somo, lakini naona ipo haja, wenzetu wameshatangulia, na sisi sio vibaya kwa hali ya sasa, tukalifanya hili mapema.
BBC NEWS | Asia-Pacific | Japan schools to teach patriotism
https://www.tandfonline.com/doi/abs/10.1080/00131911.2014.975783?src=recsys&journalCode=cedr20