Ipo haja ya kuwabana wanafunzi wote waliokopeshwa awali, wao ndio wanaomiza hawa

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,635
20,975
-->>Serekali yetu ilijitahidi sana kutoa fedha nyingi kwa wanafunzi pasipo kuweka umakini hasa Juu ya urejeshwaji wa fedha hizo.
-->>Ni vyema serekali ikazidisha umakini Juu hasa ya wale wote waliokopeshwa kwa kuwafuatilia kwa ukaribu na wapo waliokimbilia mpaka nchi za jirani kukwepa kulipa mikopo hii hivyo kuathiri wadogo zao.
 
wako hoi ktaa, weng hawana ajira wanauza sura mjin. weng hawana hata pakuanzia, walioajiliwa n wachache sana mkuu. walioingia kwenye kilimo nao soko linasumbua
 
Tujiulize kwanza kabla ya kuwabana hawa wanafunzi kwa sasa wapo wapi na wanafanya mini?Kama hatujui walipo wanachofanya hatujui tutawabana vipi?
 
-->>Serekali yetu ilijitahidi sana kutoa fedha nyingi kwa wanafunzi pasipo kuweka umakini hasa Juu ya urejeshwaji wa fedha hizo.
-->>Ni vyema serekali ikazidisha umakini Juu hasa ya wale wote waliokopeshwa kwa kuwafuatilia kwa ukaribu na wapo waliokimbilia mpaka nchi za jirani kukwepa kulipa mikopo hii hivyo kuathiri wadogo zao.
Hili suala lina ukakasi sana. Serikali ijitahidi kutengeneza mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri baada ya kuhitimu masomo yao ili iweze kuwabana kurejesha mikopo. Sasa kama serikali inabana na inafunga fursa kama za mahoteli na kumbi za starehe ambamo vijana wanaajiriwa humo, mikopo itarejeshwaje?
 
-->>Serekali yetu ilijitahidi sana kutoa fedha nyingi kwa wanafunzi pasipo kuweka umakini hasa Juu ya urejeshwaji wa fedha hizo.
-->>Ni vyema serekali ikazidisha umakini Juu hasa ya wale wote waliokopeshwa kwa kuwafuatilia kwa ukaribu na wapo waliokimbilia mpaka nchi za jirani kukwepa kulipa mikopo hii hivyo kuathiri wadogo zao.
Utarejesha vipi mkopo wakati huna hata kitega uchumi kinachokuingizia laki 1 kwa mwezi.Kuna watu wanajuta hata kukopa hizo hela.Japo wapo wenye ajira lkn hawalipi ila wengi ni choka mbaya ndugu zaidi ni kuwafunga tu gerezani maana hawana uwezo wa kulipa
 
Back
Top Bottom