Muungano wa TANU na ASP uliozaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 1977 ndio muungano mkamilifu usio na Kero!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Ni Muungano mkamilifu kwa sababu TANU ilitoa kila ilichomiliki kadhalika ASP wakatoa kila walichomiliki wakaingiza Kwenye kapu moja na wakawa kitu kimoja tena Wamoja wanaoishi kwa Umoja ambao ni Chama Cha Mapinduzi CCM

Ndio sababu CCM ni Imara Tanganyika na Zanzibar Tofauti na Vyama vingine vyote vya Siasa

Jumaa kareem!
 
..tulitakiwa tuwe na SERIKALI MOJA.
 
Back
Top Bottom